Kwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni aibu ya karne.
RC Said Mtanda anafahamika kuwa ni mtendaji mzuri, lakini nadhani atakuwa Sasa amechoka...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetangaza kuwepo kwa upungufu wa uzalishaji na usambazaji wa maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza kutokana na hitilafu ya umeme katika vituo vya uzalishaji na usambazaji wa maji.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa Juni 9, 2026, hali...
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu tatizo sugu la kukatika kwa umeme katika eneo la Buswelu Center, jijini Mwanza.
Kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa, kumekuwa na changamoto kubwa ya kukatika kwa umeme mara kwa mara, hasa nyakati za jioni (kuanzia saa 12 hadi saa 2 usiku). Tatizo...
Anonymous
Thread
center
eneo
kukatika
kukatika kwa umeme
mwanza
sugu
tatizo
tuna
umeme
Katika Mkoa wa Mwanza, Kata ya Kirumba, kuna kituo cha afya kinachoitwa Optimisim Dispensary ambacho kinakabiliwa na malalamiko makubwa kutoka kwa wananchi na hata baadhi ya wafanyakazi wake.
Inadaiwa kuwa hakijasajiliwa rasmi, na baadhi ya watumishi wanaotoa huduma hawana leseni hai za kufanya...
Tunaomba sauti ya wazazi ifikishwe kwa mamlaka za elimu katika Mkoa wa Mwanza kuhusu suala linalohusu baadhi ya shule kuendelea na masomo hata wakati wa likizo rasmi za wanafunzi.
Kumekuwa na taarifa kwamba baadhi ya shule zinaendelea na ratiba za masomo wakati wa likizo, hali ambayo imeibua...
Mwanza (Nyamagana), tuliahidiwa ujenzi wa barabara mwaka 2011 na mipaka ya barabara ikawekwa.
Hata hivyo, tangu miaka ya 1980 barabara hii haijafanyiwa ukarabati wa kina. Jiji limekuwa likiziba mashimo kwa kuchelewa, hali inayoacha maeneo mengi kuharibika na kusababisha ajali pamoja na...
ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?
Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
Anonymous
Thread
ccm
ilemela
majengo
mapya
mwaka
mwana
mwana ccm
mwanza
serikali
serikali ya ccm
sheria
wananchi
Hii meli mpya kabisa inafanya route zipi?
Hii meli nakumbuka tuliambiwa imeanza rasmi safari zake kati ya Mwanza na Bukoba mwezi Sept mwaka jana.
Lakini sasa hivi nadhani hii route bado inahudumiwa na MV. Victoria peke yake.
Wenyeji wa Mwanza, Bukoba Musoma hii meli inato huduma huko mliko?
Au...
Jiji la Mwanza licha ya kupewa upendeleo wakati wa JPM hadi kujengewa stand kubwa mbili za kimkakati ya Nyegezi (Nyamagana) na Nyamhongolo (Ilemela) lakini bado viongozi waliopewa kuongoza Jiji hilo wapo karne ya 18.
Bado ma bus yanaingia Mjini kabisa eneo linaitwa NATA na kupakilia abiria pale...
Kumekuwa na changamoto ya ukosefu wa taa za barabarani katika barabara nyinginza jiji la Mwanza hivyo kupelekea barabara nyingi usiku kutopitika na pia kuvutia wahalifu.
Kwa mfano, barabara inayoenda hospitali ya Rufaa ya Bugando ni giza tupu usiku hivyo kuhatarisha usalama wa wagonjwa na ndugu...
Mimi ni Mkazi wa Mwanza, nimesoma Course ya Mortuary Attendant. Course yetu huwa hutolewa kwa Certificate, hadi sasa tumefika wafanyakazi 200 wa fani hiyo lakini cha kushangaza Serikali imejenga majengo ya mortuary Lakini imesahau kuajiri watumishi wake, naomba mtusaidie na sisi tuweze kupata...
Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita.
Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
abiria
airport
arusha
bajeti
dar
fedha
ila
inashangaza
kidogo
kiwango
kuliko
kuona
kutengwa
mapato
mara
mwanzamwanza airport
ndogo
ni kwanini
ni ya
nyingi
pili
sawa
shughuli
sio
uwanja
vingine
viwanja
wengi
zaidi ya
MIRADI YA MIUNDOMBINU YA MAJIJI – BAJETI YA MWAKA 2026/27
1. JIJI LA DAR ES SALAAM
BRT na Maboresho Makubwa ya Barabara
I. BRT Awamu ya 3: Maktaba – JNA – Gongolamboto (km 23.3)
II. BRT Awamu ya 4: Maktaba – Morocco – Mwenge – Tegeta pamoja na Mwenge – Ubungo (km 30.1)
III. BRT Awamu ya 5...
Tunaomba sana wahusika watutatulie kero ya usafiri katika eneo la NATTA jijini Mwanza. Mimi binafsi napitia eneo hili mara kwa mara, na hali ya foleni imekuwa mbaya sana. Pale kuna vituo viwili vya daladala—kimoja cha kwenda mjini na kingine cha kutoka mjini—lakini miundombinu iliyokuwepo...
Malalamiko yamezidi nimeona nilifikishe hili hapa jukwaani ili Watanzania wengine walifahamu.
Wazazi wamekuwa wakichangishwa michango ya kila siku, michango isiyokwisha, yaani kwa kifupi shule hii imekuwa na mradi wa kuchangisha pesa kwa wazazi kila siku - yaani imekuwa haina tofauti na private...
Tunaamini kupitia jukwaa hili tutapata haki zetu.
Asilimia kubwa ya Watumishi wa Hospitali ya Sekou Toure ya jijini Mwanza tumekuwa tukidhulumiwa malipo ya Extra Duties ya mwezi wa 5&6 kila mwaka takribani mwaka wa 6 sasa.
Na mwaka jana tokea mwezi wa 4 hatukulipwa ambapo jumla imekuwa miezi 3...
Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport?
https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck
Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao.
Tumechelewa sana kuweka...
airport
baada
bado
haraka
jambo
kanda
kanda ya ziwa
kuhusu
kujenga
kujenga uwanja
kujengwa
kupinga
kuzuia
kwenu
moyo
mradi
muhimu
mvutano
mwanza
sababu
sana
sauti
serengeti
tanzania
ujenzi
ujenzi wa uwanja
utalii
uwanja
wabunge
ziwa
Leo hii Trc wanajinasibu kuwa shirika linajiendesha lenyewe bila kupata ruzuku toka serikalini. Hizi zote ni juhudi za Shujaaa wa Afrika.
Alikuwa makini sana kusimamia pesa za umma. Kutandika reli na kuweka njia za umeme kama angekuwepo mradi ungekuwa umekamilika.
Leo hii watu wangeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.