mwanza

  1. M

    Natafuta epoxy resin kwa mwanza na hata dar es salaam

    kama kichwa kinavyojieleza natafuta epoxy resin nipo mkoani ila karibu na jiji la mwanza kwa huu mkoa nimetafuta bila mafanikio. Sasa nauliza kama naweza kupata mwanza na hata dar es saam ikiwezekana ni vizuri kama nikajulishwa na bei yake ahsante
  2. Yoda

    Sababu gani hupelekea watu kujenga na kuishi juu ya milima katika jiji la Mwanza? Maisha ya makazi huko milimani huwa yakoje?

    Ningependa kujifunza kuhusu watu wanaoishi milimani katika jiji la Mwanza. Nini hupelekea watu masikini kwenda kujenga na kuishi juu ya hii milima ukizingatia Mwanza bado ina maeneo makubwa tambarare? Materials na vifaa vya ujenzi huwa vinafikishwaje juu ya vilima ukizingatia kuwa havina...
  3. M

    Hii ni sawa na Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza

    Uchaguzi wa mwaka huu ni sawa na mechi kati ya Barcelona vs Toto Africa ya Mwanza
  4. tonicimmobility

    Chui aua askari wa wanyamapori Mwanza

    Askari mmoja wa idara ya wanyamapori ( TAWA) anaefahamika kwa jina la Enock Rugaimukamu Gration mkazi wa Pasiansi wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza amefariki dunia mara baada ya kujeruhiwa na chui katika sehemu mbalimbali za mwili wake. Akizungumzia tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Dcp...
  5. M

    IFM Mwanza yageuka dampo la degree za insurance and risk management,

    Bachelor of Accounting - 81 Bachelor of Banking and Finance - 103 Bachelor of Science in Insurance and Risk Management - 553 Ni kweli taifa linahitaji vijana wenye taaluma za Insurance na tunaipongeza IFM kuwa na hii kozi lakini ukweli mchungu ni kwamba uhitaji wake ni mdogo mno sokoni. Kwa...
  6. B

    Chui aliyejeruhi watu wanne Mwanza auwawa kwa risasi. Hili ni tukio la kutengeneza?

    Chui aliyevamia makazi ya watu katika mtaa wa Usalama, Kata ya Mahina Jijini Mwanza na kujeruhi watu wanne, akiwemo mtoto wa miaka kumi, mwananchi mmoja na askari wawili wa Mamlaka ya Uhifadhi wa Wanyama Pori, amedhibitiwa na kuuawa kwa kupigwa risasi kufuatia operesheni iliyoendeshwa na askari...
  7. O

    KIJANI kusomba Watu Hawajaanza Leo! Mimi Mwenyewe Nikiwa Mwanafunzi Darasa la 4 Shule Flani Apo Mwanza Nilisombwa Kwenda Kumshangilia JK 2005 kirumba!

    Wakuu hawa jamaa hii michezo Hawajaanza leo ni tangu miaka na miaka uko nyuma! Kwahiyo ata Aya yanayosemwa sasa ni marudio tu na ni kama hawa jamaa hii michezo washaizoea! Nikiwa Mwanafunzi wa darasa la 4 mkondo A pale shule ya msingi Nyamanoro, nakumbuka tulisombwa kwenda CCM kirumba tena...
  8. Masalu Jacob

    Hii itasaidia Tanzania: Local MedicAid Card

    Habari za leo ! Naomba nitoe wazo ikiwapendeza Serikali na mamlaka husika muwaruhusu watu au taasisi binafsi watoe mchango yao na nyinyi mfanye ruzuku kiasi kwenye malipo ya Afya kwa watu wote wasio na kipato toshelevu kama wafuatao; 1. Familia masikini 2. Walemavu 3. Wenye mimba 4. Watoto...
  9. Think2

    Leo Agosti 26 ni siku ya kuupokea mwenge wa uhuru jijini Mwanza katika viwanja vya Nyamhongoolo

    Sisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo . Kila kitu kitakuepo kama ●Pombe ●Nyama choma ●Wazee wa pisi hapa ndo kwenyewe ila tumia mpira ●Na burudani za...
  10. K

    Natafuta Frame ya biashara Mwanza

    Habari za wakati huu natafuta frame ya biashara mwanza mjini ambayo kodi yake haitazidi 200,000 kwa mwezi. Je naweza kupata maeneo gani?
  11. S

    Gazeti la Mwananchi nawauliza Mwanza kuna jimbo linaitwa Morogoro?

    Gazeti la Mwananchi katika habari yake ya leo inayohusu list ya walioteuliwa kugombea ubunge kupitia CCM mkoa wa Mwanza limeandika mgombea jimbo la Morogoro ni Kafiti, hilo jimbo liko wapi kule Mwanza.
  12. M

    DOKEZO Mwauwasa Mwanza hamuyaoni maji haya?

    Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida. Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama bwawa.Inasemekana mamlaka inataarifa na hili lakini haijachukua hatua ya kulifunga bomba hilo labda kwa sababu...
  13. Roving Journalist

    Sakata la Mtoto aliyelawitiwa Nyakato - Mwanza, RC Mtanda asema kesi imefikishwa Mahakamani na Mtuhumiwa kapelekwa Gerezani

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda leo jumatatu Agosti 18, 2025 amelitolea ufafanuzi suala la Mtoto Mkazi wa Nyakato Wilayani Ilemela aliyesemekana kulawitiwa na Mtuhumiwa Steven Ibasa (Baba Claudia) tarehe 14 Agosti 2025. Mtanda akiwa ofisini kwake ametoa mwenendo wa kesi hiyo ambapo kwa sasa...
  14. Wagumu Tunadumu

    Kigari cha kiume kinauzwa 9 Milioni, Mwanza

    Hakijawahi guswa engine wala gearbox
  15. Kimwagacampus729

    KERO Wakazi wa Mwanza eneo la Isamilo hatuna maji takriban wiki nzima, Serikali iangalie suala hili kwa umakini

    Samahani kwa usumbufu utakaotokea, ila nina jambo la moyoni ambalo nahitaji kulitoa. Kwangu mimi na kwa jamii inayonizunguka, limekuwa likitusumbua sana. Ni kwamba hatuna pa kusemea matatizo yetu moja kwa moja, lakini namshukuru Mwenyezi Mungu kwa uwepo wa mtandao huu pendwa wa jamii...
  16. Nigrastratatract nerve

    CCM jengeni Chuo kikuu Mwanza na Hospital kubwa yenye hadhi ya nyota tano muziite CCM MEDICAL UNIVERSITY and Teaching Hospitali

    Haya mabilioni ya shilingi zenu njoeni muwekeze Mwanza mjenge Hospital ya hadhi ya nyota tano hafu mjenge chuo kikuu kikubwa Sana
  17. Melubo Letema

    Kesho uchaguzi rasmi wa RT Mwanza

    Shirikisho la riadha Tanzania -RT kesho linatarajia kufanya uchaguzi wao mkuu wa viongozi mbalimbali, ikiwemo rais na makamu wake; nafasi ya uwakilishi wanawake na nafasi ya ujumbe kwenye kamati ya utendaji. Nafasi ya katibu hakuna kwenya uchaguzi huu , bali itakuwa ni ya kuajiriwa; watu...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Mwanza: Watu 1,000 wanusurika kifo baada ya stoo ya kuhifadhia mafuta ya petroli kulipuka

    Watu 1,000 wamenusurika kifo baada ya stoo ya kuhifadhia mafuta ya petroli kulipuka na kuteketea kwa moto katika Kisiwa cha Benzi, Kata ya Kayenze, wilayani Ilemela mkoani Mwanza. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza, ACF Elisa Mugisha, amesema tukio hilo limetokea...
  19. A

    KERO Nyamagana, Mwanza: Miundombinu mibovu inasababisha mazingira magumu kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kanindo iliyoko kata ya Kishiri

    Naomba kuuliza mamlaka husika je hawaioni hii changamoto katika shule hii. tatizo la maji mtaa wa kanindo limekua ni tatizo kubwa ni muda sasa japo kua mradi wa maji uko mtaa jirani wa Sawa. na mradi usha kamilika lakini utekelezaji wa kusambaza maji bado ni changamoto. Shule ya msingi kanindo...
  20. Kavimbe jr

    DOKEZO Kuna kodi mpya ya majengo Mwanza

    Miaka 7 iliyopita nilinunua kiwanja cha SQm 400 hivi maeneo ya Sahwa. Kutokana na uwezo wangu mdogo tukashauriana na wife tujenge nyumba ndogo kwanza ya vyumba viwili na sebule baadaye tukitulia ndio tujenge nyumba ya nafasi. Kweli nilifanikiwa kujenga nyumba ndogo na nikaunga umeme pia na...
Back
Top Bottom