mwanza

  1. Nyamhanga na Metu, majambazi waliotikisa jiji la Mwanza baada ya vita vya Kagera. Hivi bado wapo hai?

    Baada ya ya vita vya Kagera siraha zilitapakaa sana mkoani Mwanza na kanda ya ziwa. Majambazi wakubwa waliotikisa jiji la Mwanza miaka ya 19805-1988 ni Methu na Nyamhanga. Hivi hawa watu bado wapo? Nyamhanga kwao ilikuwa milima ya Nyashana. Methu alikiwa akiishi maeneo ya Mkudi. Siku moja...
  2. Mwanza: The Cask yawaka moto

    ======= Popular entertainment joint in Mwanza City, ‘The Cask and Grill’ has been reduced to ashes after a fire broke out on Sunday evening October 24. According to sources, the fire which started at around 5:00 pm caused panic among customers who were at the joint with authorities yet to...
  3. Mwanza: Wamachinga waandamana kutaka kupewa vizimba katika maeneo waliyopangiwa

    Ni patashika. Ndivyo unavyoweza kuelezea mvutano kati ya wafanyabiashara wadogo jijini Mwanza na mamlaka ya Jiji hilo baada ya wafanyabiashara hao kuandamana leo Jumamosi Oktoba 23,2021 na kufunga barabara ya Nyerere eneo ya Voil kushinikiza kupewa vizimba kwenye maeneo rasmi. Kundi la...
  4. Machinga waandamana Mwanza leo

    Mytake: Hakika Magufuli asingeruhusu watanzania wa hali ya chini kunyanyasika ndani ya nchi yao. Tupo zama hatari sana kwa wasio na pesa.
  5. Fursa ya kazi za uzabuni: Buzuruga Dispensary mwanza

  6. Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

    Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa. Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.
  7. Plot4Sale Karibu Galilaya nikuuzie kiwanja. 10Kms from Mwanza city centre

    Karibu sana Kiwanja kiko Jijini Mwanza. Kata: Muhandu wilaya: Nyamagana mtaa: Galilaya kiwanja kimepimwa, beacon tayari zishawekwa ukubwa wake ni 28 by 18 hatua za miguu. Miundombinu yote ipo kiwanjani. Kiko Barabarani kabisa. Bei ni 10million Tshs karibu tuwasiliane 0713096076
  8. Tanzania kupokea dozi 500,000 za chanjo ya Pfizer

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi 500,000 za Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer kupitia Mpango wa COVAX. Imeelezwa, Dozi hizo zitachanjwa mara mbili Akitoa Taarifa ya Wiki Jijini Mwanza amesema, "Hizi Pfizer ni sehemu ya Chanjo Dozi 3,700,000 ambazo...
  9. Mwalimu wa Accountancy na Commerce anahitajika Mwanza

    Shule hulia ya Planet inahitaji mwalimu wa kufundisha masomo ya Accountancy na Commerce kwa level ya O-level na A-level. Plaet inapatikana jijini Mwanza karibu na Nyanza shule ya msingi barabara ya Balewa mtaa wa Nera. Kwa mawasiliano zaidi: 0737-988 897 au e-mail: planetopenschool2@gmail.com...
  10. Tunahitaji taa za Barabara ya Makongoro kuelekea Airport Mwanza

    Habarini wana jamvi, Ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa mwanza,mkurugenzi wa jiji pamoja na uongozi wote wa mkoa,Tatueni kero hii ya ukosekanaji wa mataa katika barabara ya makongoro kuelekea Airport awali kabla ya upanuzi barabara hii ilikuwa na taa baadhi ya sehemu. Serikali ilipoa amua kuifanyia...
  11. TARURA Mwanza, Daraja la Mwasonge lilikabidhiwa kwenu na mkaridhika?

    Nimebahatika kupita barabara moja inatoka buhongwa Kuna daraja nimeuliza linaitwa MWASONGE, bridge. Swali langu ni je Hilo daraja lilikabidhiwa kwa TARURA? Thamani ya pesa iliyotumika iko sahihi? Jamani kuweni na huruma na Kodi za wananchi, daraja mvua ikinyesha inayonyesha ya maana hakuna...
  12. Kama wewe unayo Degree na hauna ajira chukuwa vyeti vyako kamuone Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Chap kwa Haraka

    Tupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel, amewaomba wasomi wote wenye shahada waliopo mkoani humo, kufika ofisini kwake awasaidie kupata mafunzo...
  13. Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza acha ukiritimba wa kutosaini mafaili ya watumishi

    Habari ndugu wajumbe? Mkurugenzi wa jiji la Mwanza amekuwa ni kikwazo kuweza kupitisha malipo ya watumishi wa umma wa jiji la mwanza. Katika kufuatilia suala la malipo haya nilikuwa najua kuwa kikwazo ni wahasibu lakini ndugu zangu wajumbe Mkurugenzi huyu ni kikwazo sana maana hataki kusaini...
  14. INAUZWA Bajaj ya Abiria Inauzwa, Jijini Mwanza

    Bajaj Hii inauzwa. Bajaj inafanya kazi vizuri haina Shida yoyote. Haina tatizo lolote la kiufundi Haidaiwi. Engine nzima kabisa. Karibu Kijereshi, Ukague mzigo Bei: 5million mawasiliano: 0713096076
  15. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mwanza

    Kiwanja kinauzwa Mwanza karibu na Dolphin Lodge. Note: hizi picha ni za zamani kidogo sasa hivi majirani wamejenga. Kwa mawasiliano zaidi pamoja na kuuliza maswali ili kujiridhisha piga simu namba 0753155934
  16. Shilingi Milioni 251 zatengwa kulipana posho kuondoa machinga Jiji la Mwanza,wanaolipwa CD, DC na wenzao

    Milioni 251 zatengwa kulipana posho kuondoa machinga Jiji la Mwanza. Wanaolipwa CD, DC na wenzao KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida jiji la Mwanza limetenga Sh. milioni 251 kwa ajili ya kulipana posho watumishi wake kwa siku 10 ili kusimamia zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo maarufu...
  17. T

    Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

    Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza. Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine. Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga...
  18. Baada ya mauaji ya ajabu kutokea Kangaye Mwanza, sasa wananchi kufunga siku tatu mfululizo

    Baada ya watu watatu kufariki wakati wa mazishi na hivyo kusababisha misiba kufika minne, wakazi wa Kangaye Mwanza wameamua kufunga kwa siku tatu mfululizo kuomboleza misiba hiyo pamoja na kuombea amani katika eneo lao. Itakumbukwa siku sio nyingi wakati mazishi yakiendeleaa, mtu mmoja alitoa...
  19. Suluhisho la msongamano wa magari na changamoto ya wamachinga jijini Mwanza

    Jiji la Mwanza lina changamoto ya msongamano wa magari kwa sababu barabara inayounganisha Mwanza na Tanzania ina njia mbili tu. Hiyo ni barabara ya Kenyatta. Barabara inayounganisha Mwanza na njia ya Kenya ina njia 3.Ni barabara ya Nyerere. nini kifanyike? Magari ya Abiria yasiingie katikati ya...
  20. Sengerema, Mwanza: Fisi ajeruhi wawili wakiteka maji

    Watu wawili wamejeruhiwa na fisi sehemu mbalimbali za miili yao katika Kijiji cha Nyamabano, Halmashauri ya Buchosa Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wakati wakiteka maji kwenye lambo. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo Oktoba 4, Ofisa Mtendaji kijiji hicho, Mathias Njoluli amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…