Mwalimu wa Accountancy na Commerce anahitajika Mwanza

Jun 13, 2021
5
1
Shule hulia ya Planet inahitaji mwalimu wa kufundisha masomo ya Accountancy na Commerce kwa level ya O-level na A-level.

Plaet inapatikana jijini Mwanza karibu na Nyanza shule ya msingi barabara ya Balewa mtaa wa Nera. Kwa mawasiliano zaidi: 0737-988 897 au e-mail: planetopenschool2@gmail.com.

Tunatanguliza shukrani za dhati.
 
Shule "hulia"
Haya wale Wenye kuhitaji kupokea robo mshahara kwenye tigo pesa tarehe 40 changamkeni
 
Hulia❌❌❌❌
Huria ✅✅✅✅

Bila shaka kwa CV hii kazi tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom