mwanza

  1. JamiiForums Tanzania Kisa Cha Yusuf Athumani Marsha, Peter Mbimbwo na Julius Nyerere Mwanza 1950s

    KISA CHA YUSUF ATHUMANI MARSHA, PETER MBWIMBO NA JULIUS NYERERE MWANZA 1950s Tuanze na Peter Mbwimbo. Peter Mbwimbo ameandika kitabu, ''Peter D. M. Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere.'' Wakati TANU inaundwa na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika zinaanza Peter Mbwimbo alikuwa katika...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Bus gan nzuri la kutoka iringa kwenda mwanza.

    Wakuu nauliza bus gan Zur linalotoka iringa asubuh kuelekea mwanza.nataka linaloanzia iringa mjini.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tutumie sarafu za mtandaoni Cryptocurrency au Tutumie sarafu moja ya jumuiya ya Afrika Mashariki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni au Cryptocurrency. Ambapo alitoa wito kwa Benki kuu ni vema waanze kufanya kazi za maendeleo...
  4. JamiiForums Tanzania Nimemwandikia Rais barua kuomba stendi ya Nyamongolo Mwanza ipewe jina la John Mnyika

    Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika. Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo zuri la kujenga Mwanza

    Habari wana JF Naomba kwa wenyeji wanisaidie ni eneo gani zuri na halina mawe la kuweza kujenga Mwanza?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ijue Mwanza jiji

    Kwa wengi msioifahamu Mwanza jiji ( Mwanza city) au The Rock City , ni jiji la pili Tanzania baada ya jiji la Dar es salaam. Jiji hili lilipewa hadhi ya kuwa Manispaa mwaka 1978 na mwaka 2002 tarehe 07 mwezi wa 07 likapandishwa hadhi ya kuwa jiji la Mwanza , lenye wilaya mbili za Ilemela na...
  7. JamiiForums Tanzania Rock City Mwanza

    Hii ndio Mwanza, mji wa miamba.
  8. JamiiForums Tanzania Napata wapi samaki aina ya kibua kwa mkoa wa Mwanza

    Nahitaji kujua wanakopatikana samaki aina ya kibua au samaki wengine wa baharini mkoani Mwanza, daktari amependekeza nitumie mboga hiyo kuimarisha afya. Tafadhali kama unajua wanakopatikana tusaidiane
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Chalamila wewe ni mfanyakazi mzuri ila naomba ukakue

    Rais Samia amemwambia RC Chalamila kuwa yeye ni mfanyakazi mzuri sana ila ni mtundu mno. Amesema alimuacha kipindi kilichopita ila anaamini sasa amekua, akili imekua anamuomba aende akakue, amesema asidhani kupata nafasi ndio kamaliza, anamfuatilia kwa karibu sana.
  10. JamiiForums Tanzania Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza?

    Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k. Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza. Pia sehemu ambayo taweza kulima mahindi angalau mara mbili kwa msimu mmoja.
  11. JamiiForums Tanzania Nani amewapa TFS idhini ya Kujenga Makao Makuu yao Mwanza wakati Makao Makuu ya Nchi ni Dodoma?

    Moja kwa moja kwenye mada, Site tunatambua kwamba Makao Makuu ya Nchi na Serikali ni Dodoma ambapo ndipo kunapaswa kujengwa Makao Makuu ya taasisi zote za Kiserikali ikiwemo Ikulu. Kwamba toka Jobo Ndugai ametolewa kwenye kiti Dodoma imekosa msemaji wake au? Swali nani katoa ruhusa kwa TFS na...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aingia kati tatizo la maji Mwanza, atoa maagizo mazito

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema jitihada zinafanyika ili kurejesha huduma ya maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza wanaoishi katika maeneo ya miinuko baada ya mtambo wa Mabatini kupata hitilafu. Waziri Aweso ameyasema hayo, Julai 22, 2022 baada ya kutembelea kituo cha uzalishaji maji Mabatini...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba DIT ifungue tawi hapa Mwanza kwa ajili ya kujaza gesi asilia kwenye magari

    Wote tunafahamu jinsi gharama ya mafuta ya dizeli, petroli na ya taa yalivyo ghali. Njia pekee ya kushusha gharama hizi ni kuanza kutumia gesi asilia kujaza kwenye magari yetu na hivyo tunaiomba DIT ifungue tawi hapo Mwanza ili wananchi wanaopenda kutumia gesi kwenye magari yao wapate huduma...
  14. JamiiForums Tanzania Drake akiwa Mwanza

    Drake akiwa Mwanza, hapa kabla hajatoka. Itakumbukwa kuwa Drake ana ndugu zake maeneo ya Nyegezi
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mwanza atangaza Shilingi bilioni 1.45 zilizodaiwa ‘kupigwa’ zimerejeshwa

    Miezi minne tangu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel aagize wanawake, vijana na wenye ulemavu waliotokomea na Shilingi bilioni 4.9 za mikopo ya halmashauri kuzirejesha tayari shiingi bilioni 1.45 zimerejeshwa na vikundi hivyo. Gabriel alitoa agizo hilo Aprili 25 mwaka huu huku akisema Sh4.9...
  16. JamiiForums Tanzania Nashukuru Chuo Kikuu changu bora Tanzania nzima cha 'SAUT Mwanza' ndicho hakina 'Upuuzi' huu

    SERIKALI imevitilia shaka baadhi ya vyuo vikuu ikisema vinatumia vibaya muundo wa wastani wa alama katika ufaulu (GPA) ili vipate wanafunzi wengi. - Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alisema hayo kwenye sherehe za siku ya Chuo Kikuu cha Iringa (IUCo) zilizohusisha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake.
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza magari mengi ni Kluger?

    Habari wakuu, Nimetembea majiji mbalimbali esp. DSM, Arusha, Mbeya, Tanga na Mwanza ila Mwanza magari aina ya Kluger ni mengi sana na Arusha kidogo halafu wachina pia wanayatumia. Siri ya kutumia magari haya ni ipi?
  19. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mwanza walalamikia kuondolewa kwenye maeneo bila kulipwa fidia na kuuzwa kwa Vigogo wa Serikali

    Eneo hilo lenye viwanja 39, linalalamikiwa na wananchi kuwa lilichukuliwa bila wao kulipwa fidia na kuuzwa kwa vigogo hao wa serikali. Dk. Mabula pia amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Allan Kijazi, kuunda tume huru ambayo itafanya uchunguzi wa kina...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Menejimenti ya AUWSA yakaidi agizo la Waziri Mkuu, Wametumia Milioni 216 kwenda kutalii Mwanza

    Menejimenti ya Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha Chini ya Engineer Justin Rujomba imetumia Milioni Mia Mbili na Kumi na Sita ( 216 Milion) kwenda Mwanza kwenye Semina na Kutalii kwenye Mbuga ya Wanyama Serengeti kinyume na maagizo ya Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasim Majaliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…