Four-Star General Member Joined Nov 18, 2022 Posts 41 Reaction score 116 Dec 1, 2022 #1 Nimeyaona leo hapo town, mzigo umeanza majaribio. Kwa makadirio yako unahisi Dar mpaka Mwanza itakuwa siku ngapi?
Nimeyaona leo hapo town, mzigo umeanza majaribio. Kwa makadirio yako unahisi Dar mpaka Mwanza itakuwa siku ngapi?
jerrytz JF-Expert Member Joined Oct 10, 2012 Posts 5,991 Reaction score 4,361 Dec 1, 2022 #2 Hayo ni mabehewa mapya? Mapya kwa Tanzania? Au mapya kwamba ndio design ya mabehewa ya kisasa?
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,750 Reaction score 37,397 Dec 1, 2022 #3 ukisafiri weka na miogo maana wenye mabasi wataenda na kurudi wewe bado unazunguka milima ya morogoro
ukisafiri weka na miogo maana wenye mabasi wataenda na kurudi wewe bado unazunguka milima ya morogoro
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,859 Reaction score 13,838 Dec 1, 2022 #4 Tumepigwa.....
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,430 Reaction score 8,378 Dec 1, 2022 #5 Nijuavyo mimi mabehewa ya treni huvutwa na injini. Hivyo suala la kasi ya treni litategemea uwezo wa injini...........
Nijuavyo mimi mabehewa ya treni huvutwa na injini. Hivyo suala la kasi ya treni litategemea uwezo wa injini...........