Vyumba vya vinapangishwa Busenga Mwanza

GIRITA

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
4,134
5,244
Nyumba yenye vyumba zaidi ya sita vyenye chumba na sebule vinapangishwa kwa bei ya elfu 80 chumba na sebule.....nyumba ni mpya na ya kisasa huduma zote zipo maji ya bomba pia kisima cha emergency umeme....Hapo bado finishing ya Mikanda ya Tiles na vyoo ni vya nje unaweza kuweka booking kupitia 0768195006.

IMG_20221114_183931_974.jpg
IMG_20221114_183913_541.jpg
IMG_20221110_180513_738.jpg
 
Ipo master ya chumba na sebule bei laki na 30....picha zaidi whatsapp 0768195006.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom