Kwa wanaome wanaopigwa na wake au wapenzi wao. Nini kinatokea mpaka mpaka mwanamke anakuwa na mamlaka ya kutoa kichapo? Mwanaume anakula mpole sana, hana nguvu wala uwezo wa kuhimili piga nikupige au ana huruma? Au anazingatia sana sheria hataki kufanya violence?!
Naona ni kitu cha kushangaza sana.
Mwanaume ni kiumbe ambaye ni raising kumteka kimapenzi. Na ndio maana matukio ya Wanaume kupotea na kukutwa kafungiwa ndani kwa mwanamke fulani ni mengi, ilibidi hata Mbosso aandike nyimbo ya "Amepotea" kuonesha ni namna gani mwanaume ni rahisi kuuiba mutima wake.
Ni tofauti na kuuteka moyo wa...
JamiiForums usipokuwa makini utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako ni kuwa makini sana
Sasa hivi wanawake unawatafuta kwa tochi hawapatikani kirahisi, now days JF wanaume ni wengi kuliko wanawake.
Na kuna baadhi ya members wa kiume wanafungua ID fake wakijifanya ni wanawake
Kuweni makini sana.
Mwanamume mmoja anayeaminika kuwa na umri wa miaka 40 aliyetambulika kama Mitchell Dopoh amedaiwa kumlawiti Mbuzi na kusababisha kifo cha mnyama huyo.
Kulingana na ripoti, uchunguzi wa awali unaendelea kwa sasa, kwani maafisa wa sheria waliopewa eneo hilo bado hawajatoa matokeo rasmi kuhusiana...
Dunia haijali chochote kuhusu mwanaume mpaka unapokufa, ukiwa tajiri au kuna namna walimwengu wananufaika nawe.
Jamii imeshakua programmed kuwaonea huruma wanawake lakini mwanaume anapoanguka anaanguka peke yake.
A woman cries and the while world comes running, a man cries and they call him...
Mtafiti mmoja alinunua kitabu chenye kichwa "Wanawake Wanahitaji Nini?"
Akakutana na vitu 2.000,
Akatabasamu,
Kisha akakichoma.
Kwa nini?
Kwa sababu katika asili,
Jike halina orodha ya vitu linavyovihitaji.
Ndege,
Wanyama,
Viumbe wote wa jamii ya kike huwa hawachagui kwa huruma au kwa...
Upi mtazamo wako kati ya mwanaume na mwanamke nani ana akili zaidi
Kwangu Mimi naona kama wenzetu Kuna sehem wametupiga gape kwa sababu zifuatazo
1)Mwanamke akipata Hela anawaza namna ya kujiimarisha, na kama ameolewa anawaza namna ya kuwa peke yake
Hali ni tofauti kwa mwanaume yeye...
Wakuu nina hali ambayo hunitokea sana nyakati za usiku nikilala nikashituka hata kama ni saa 6 usiku basi uume (mashine) husimama mazima hata nilale tena na nikashituka tena nakuta hali iko hivyohivyo tena. kwahyo kulala kifudifudi inakuwa shida siwezi.na hata asubhi nikiamka inakuwa hivyo...
Tumesikia stori kuwa inaweza tokea mwanaume kulala na mwanamke huyo mmoja wa kukutana nae mtaani (mchepuko, kahaba, etc) ikapelekea kuvuta energy hasi zilizomo ndani yake au sijui ni nini haswa kinatokea katika ile exchange hadi kupelekea kuharibu aura yake.
Wale wajuzi wa hili swala...
Boxer umezunguuka nayo wee, usiku unaoga, unarudia boxer hiyo hiyo, mkiulizwa mnasema mwanaume unakuaje na boxer nyingi, je hicho sio kichaa? nyie ndio mnaumwa fungus kisha mkikutana na wadada mnawaambukiza.
Mwanaume usafi, kua na boxer za kutosha and keep your closed parts clean and dry...
Septemba 2017, mwanamke Laura Mesi, mwalimu wa mazoezi ya viungo wa Italia mwenye umri wa miaka 40, alifanya jambo ambalo lilivutia dunia: alijioa yeye mwenyewe kwenye sherehe ya harusi kamili, akivaa nguo nyeupe, akiwa na wapambe wa harusi na wageni 70 walioungana kusherehekea pamoja naye...
Habari wana JF,
Kweli nimeamini kuna wakati tunatakiwa kuheshimu mawazo yetu ya awali hasa wakati tunapojaribu kufikiria jambo fulani linalotutatiza kiuhalisia.
Katika maisha yangu niliamini kuwambali na wanaume kunaweza kunipa amani ya moyo na maisha kiujumla nikijikita katika kazi kujikimu...
Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani.
Ilikuwa ni mgahawa mmoja huko Tanga nilikuwa nimeenda kula. Rafiki yangu alinishauri kula hiyo sehemu kwa sababu chakula chao ni kitamu sana.
Kwa kuwa hoteli niliyokuwa nimefikia ilikuwa karibu...
💯 Mnayelingana nae au kukuzidi hatua za kimaendeleo
💯Familia yake inalingana au kuizidi familia yenu mandeleo
💯Ambaye haujamzidi umri kuanzia miaka mitano
💯Anaeshi geto mwenyewe na hana kazi maalum au geto lake na vitu ndani yake haviendani na kazi yake
💯Feminist, anapenda kuongelea sana ni...
1. Usijaribu kumfia Mwanamke: Usivimbe kichwa kwa jinsi mwanamke anavyokusifia eti unamkuna kisawasawa,eti unajua mapenzi, au akikuambia jinsi unavyojali familia yao, au kwa jinsi unavyomhudumia. Hayo yote ni mbwembwe tu za kuhakikisha anaendelea kula mpunga wako na kujihakikishia security ya...
Ukweli mchungu ila ndo hivyo tena.
Kama kijana wa kiume unataka kujitafuta na kuepuka mengine.Mwanamke mwenye muonekano wa mbele za wanaume ogopa sana.
Leo jumapili dogo wa maviatu yale yenye masoli makubwa mdogo wake na mke wangu amekuja kunilalamikia kachukuliwa mpezi wake na bosi ambaye...
Kwenye maisha ya mwanaume kuna wakati unafika hauna girlfriend, hauna mchepuko, una marafiki wachache sana au hauna marafiki kabisa. Maisha yako ni wewe tu mapambano yako ya kujitafuta. Hicho kipindi kinaitwa Ghost phase. Ni nyakati ambazo zimewatengeneza wavulana kuwa wanaume.
Kama bado huu...
Naongea na wanaume tu Leo
Tabia ya kuomba ovyo haifai
Unajishushia brand
Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao
Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu...
Kuna makabila bado yanaendelea na hizi tamaduni za kikatili za kuwakata clitoris mabinti wakiwa na imani kwamba watatulia kwenye ndoa
Mfano kuna baadhi ya maeneo ya Singida, Dodoma na Manyara, yamekuwa yakiendelea na huu utamaduni lakini kwa intelejensia zinazokusanywa mitaani imefikia hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.