Mwanaume unakuwaje muongo muongo halafu hujipangi?

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
13,620
Reaction score
27,508
file_000000008b78622fb0f1ec99b6b2c572.png

My people hope mko poa kabisa ni mwendo wa VPN tu nikisomeka hapa France.

Kuna kisa kimoja nimekipata leo asubuhi nikiwa ndani ya public transport kuelekea job, ni mwanamama ambaye anaongea kwenye line baada ya kupigiwa call kutoka kwa ndugu zake

Bimkubwa huyu analalamika kwamba mumewe daily husema kwamba hana hela,na hivyo majukumu yote ya familia anabeba yeye

Sasa Mungu sio  Bey, bimkubwa si akaamua kusachi nguo ya mumewe akakuta shilingi Milioni Mbili [2,000,000/=]

Akasema yeye akachukua shilingi laki Moja [100,000/=] na lengo sio kutumia ila kumfanya mumewe ajue kwamba bimkubwa ameshtukia mchezo.

Na kweli mkulungwa akaingia kwenye line,akauliza wife vipi umechukua hela yangu? Wife akajibu ndio,kwahiyo hapo akauliza si unasemaga huna hela je,hizi ni nini?

Mwamba akajibu ana mahesabu nazo! Hapo nyuma kidogo bimkubwa baada ya kuona mzigo ule aliwaonyesha watoto wake,mnamuona baba husema hana hela je, hizi ni nini?

Baadae kilichofuata ni mwamba akalazimishwa kulala chini,kwasababu vitu vya ndani alinunua wife

Kwahiyo juzi mwamba kalala chini na jana kuamkia leo kalala chini,na bimkubwa akasema ingawa wana nyumba wamejenge wote,ila akimaliza kibanda chake anaondoka

Bimkubwa akasanuka kwamba hata pale mtaji wake unapokata akimuomba mumewe hata 20,000/=, huyu mwamba huwa hatoi

Huyu mwanaume mwenzetu katuangusha sana,kwanini hawajibiki kwa familia yake,kama watu kama nyie mpo humu ebu badilikeni,mwanaume ni kubeba majukumu

Ila kibaya ni Muongo Muongo halafu kaweka mzigo mfukoni mwake,je hajui kuna wake zetu ambao ni majasusi?

Kutoka France kwa mujibu wa VPN mimi expert wako
Bey

Ni hayo tu!
 
View attachment 3468979

Ni hayo tu.

Hayo yote umeandika, ni umesikia kwenye daladala chap tena kwa sikumoja? Umebarikiwa
 
NYIE WANAWAKE MNA KAZI SANA YAANI UMBEA HADI MKIPANDA MAGARI ILI MSIMULIE WENGINE?
 
Mambo ya ndoa ni kazi sana , mambo ya kuishi na mtu mwenye meno 32 ni kazi mno , huenda ungesikiliza na upande wa pili ungeweza linganisha na kupata mtazamo sahihi zaidi.
 
If its yours and yours only, why dont you write your own shit on your room's wall.
You know what bro,if you have your personal problems don't put on me

Am not the reason behind your stress and all that

Would you be smart enough to solve your own problems peacefully?
 
How do you define me being smart or not? If you are a retard dumb fck.

How do you define me being stressed or not, if you are a deluded dumb fck.
 
Back
Top Bottom