mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tukiwaambia mnatuita "motiveshini sipika", ila kama mwanaume, 2026 usifanye miadi na mwanamke wa namna hii

    💯 Mnayelingana nae au kukuzidi hatua za kimaendeleo 💯Familia yake inalingana au kuizidi familia yenu mandeleo 💯Ambaye haujamzidi umri kuanzia miaka mitano 💯Anaeshi geto mwenyewe na hana kazi maalum au geto lake na vitu ndani yake haviendani na kazi yake 💯Feminist, anapenda kuongelea sana ni...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mwanaume: Usijaribu kujitoa kafara kwa mambo yafuatayo

    1. Usijaribu kumfia Mwanamke: Usivimbe kichwa kwa jinsi mwanamke anavyokusifia eti unamkuna kisawasawa,eti unajua mapenzi, au akikuambia jinsi unavyojali familia yao, au kwa jinsi unavyomhudumia. Hayo yote ni mbwembwe tu za kuhakikisha anaendelea kula mpunga wako na kujihakikishia security ya...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mabraza zenu hapa JF kwa vijana wa kiume kama vipato vyenu vya kusuasua achana na wanawake ambao kila mwanaume anatoa macho

    Ukweli mchungu ila ndo hivyo tena. Kama kijana wa kiume unataka kujitafuta na kuepuka mengine.Mwanamke mwenye muonekano wa mbele za wanaume ogopa sana. Leo jumapili dogo wa maviatu yale yenye masoli makubwa mdogo wake na mke wangu amekuja kunilalamikia kachukuliwa mpezi wake na bosi ambaye...
  4. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ghost phase kwenye maisha ya mwanaume

    Kwenye maisha ya mwanaume kuna wakati unafika hauna girlfriend, hauna mchepuko, una marafiki wachache sana au hauna marafiki kabisa. Maisha yako ni wewe tu mapambano yako ya kujitafuta. Hicho kipindi kinaitwa Ghost phase. Ni nyakati ambazo zimewatengeneza wavulana kuwa wanaume. Kama bado huu...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kupenda kuomba au kuhitaji msaada Kwa marafiki au washikaji kunashusha hadhi na heshima yako, mwanaume jikaze

    Naongea na wanaume tu Leo Tabia ya kuomba ovyo haifai Unajishushia brand Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayokeketa mabinti yanajitetea ni kuwatuliza waishi na mwanaume mmoja ila kwa sifa walizonazo huku mitaani ni tofauti kabisa

    Kuna makabila bado yanaendelea na hizi tamaduni za kikatili za kuwakata clitoris mabinti wakiwa na imani kwamba watatulia kwenye ndoa Mfano kuna baadhi ya maeneo ya Singida, Dodoma na Manyara, yamekuwa yakiendelea na huu utamaduni lakini kwa intelejensia zinazokusanywa mitaani imefikia hatua...
  7. Bei rahisi Electronicks

    JamiiForums Tanzania Ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa Dar es Salaam?

    Wakuu habari nataka kuingia kweny ndoa Je, vipimo vya ugumba kwa mwanaume na mwanamke wanapima wapi kwa hapa dar es salaam na gharama zake zipoje
  8. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni furaha ya mwanaume,na mwanaume vivyohivyo

    Huo ndio ukweli,nami ukweli huo huutumia kwa vitendo,na hata tunaponyanduana na hakikisha tunapeana furaha haswaaaaaaaaaa
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mawaidha ya Sheikh Nurdin Kishk: Kwa kweli kila mwanaume atapenda kuwa Muislamu

  10. M

    JamiiForums Tanzania Ulevi wa Pombe ni salama zaidi kwa mwanaume kuliko ulevi wa ngono

    Nimefanya utafiti na kupata uhakika juu ya hili. Pombe unalewa na ukiweza kuzicontrol unalewa na kwenda kulala. Japokuwa zinawazidia wengine kiasi cha kupoteza harakati za kimaisha lakini athari zake si kubwa kama ngono. Ngono imejaa madhara ya kila namna. Magonjwa kibao kiasi kwamba bora mtu...
  11. X

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuwa mraibu wa kutazama porno ni mental illness

    Kwa nini uwe umeathirika kiasi cha kuzoea kutazama wanaume wenzako wakifanya ngono? Unakaa na kuangalia kwa makini video za wanaume wenzako wakishiriki tendo la ndoa na wanawake? Una shida ya akili wewe si bure
  12. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuwa na preferences imekua kosa?

    Linapokuja suala la kuoa au ku-settle na mwanamke, preferences za wanaume huwa zinawachukiza/zinawakasilisha wanawake. Jamii ya wanawake wa kisasa wametenengeza narrative preferences za mwanaume zionekane ni makosa, na wapo masimp na wanaume wasiojua thamani zao wamechotwa akili. Mwanaume...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, huu ndio wakati mgumu sana. Xmas iahirishwe

    Mwanaume yeyeote atanielewa! Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana. Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani. Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso! Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

    Kama kichwa kinavyojieleza, huyu mwanamke sijajua nia yake haswa ni nini Mimi kusema ukweli simjui kabisa huyo dada nimeshangaa tu mtu kanitumia request ya kuni follow ikabidi niangalie ni nani Hakuna picha kwa account yake zaidi ya passport ya kichwa chake kama pembe Tatu.. ila miongoni mwa...
  15. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Wanawake, mwanaume hazoeleki ndio maana mnaachwa

    Imagen umemuacha mtu nyumbani toka asubuhi hakuna kitu amefanya unarudi zako home upumzike unakuta chumba kichafu hajabadili shuka zaidi kaongeza nguo kitandani ukiuliza nini tiktok anacheka kabisa et hoo leo nimechoka wakati ni tabia yake hii imekaaje ase? Kweli wahenga wapo sahihi usichukue...
  16. 888I

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Ungepata Nafasi Kuwa Mwanaume kwa Mwaka Mmoja, Ungefanya Nini? 🧐

    Mambo Vipi, mwana JF, wabunifu wa taifa! Leo tuachane kidogo na siasa na mambo ya Gavo na Ngenga zao, tujichangamshe na 'science fiction' ya maisha! 😂 Hebu fikiria, mdada/mwanamke uliyejichanganya huku, unapewa Kipawa cha Ajabu (Superpower) cha kubadilika kuwa mwanaume kamili kwa Mwaka Mmoja...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama una mtoto wa kiume Hekima na busara ukasoma hii

    Wakuu kwa heshima ya dhati kabisa poleni na majukumu na mahangaiko ya leo. Kuhusu msiba huo sio wa Watanganyika bali ni msiba wa wanaccm na Police wao sisi hautuhusu na haujatusitua kwa lolote. Mwanaume katika kipindi hiki ni vyema na haki ukamlea mtoto wako kiume japo nusu au hata robo ya...
  18. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kweli

    Mwanaume wa kweli, amka nenda kapambane kwa ajili ya familia yako, wale, wanywe na wavae, then hawa ambao uanaume umekuwa mgumu kwao achana nao wakae kwenye pages za udaku na wanaharakati kutukana asubuhi mpaka jioni. Jukumu la maisha yako ni jukumu lako..sio la mange, maria, hilda ama Larry...
  19. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania SWALI: Wanawake huwa mnajisikiaje wanaume wakiomba namba mbele za watu

    Peace be with you all, Nianze na ka kisa fulani kalitokea majuzi. Nilikua restaurant fulani hapa A town ghafla nikanuona mwanamke mmoja mrembo sana na alikua nadhifu sana. (Navutiwa na wanawake nadhifu) Alikua amekaa jirani wanawake wengine kama watatu wanapiga story zao, alinivutia sana...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mke wa mwanaume aliyeachiwa kwa kesi ya Uhaini: Mume wangu usiandamane tena. SMS zozote usitume

    Wakuu Hii video imenisikitisha sana. Nisiongee sana Baadhi ya vijana 47 kati ya 48 waliokuwa wakiandamana tarehe 29 Oktoba mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na kushtakiwa kwa kosa la uhaini, wameachiwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuiondoa kesi hiyo...
Back
Top Bottom