Kama wewe ni aina hii ya mwanamke, your boyfriend must cheat na usimlaumu

Ethan Cruz

JF-Expert Member
Apr 29, 2021
229
500
Girls! You run this World right? Run it with your Brain!

Wanawake wamekuwa Mabingwa sana wa kulaumu Wanaume kwanini wanacheat sana. Na wanaamini kwamba Wanaume hawana Reason ya Kucheat maana wao wanadhani wamefanya yoteeee, sasa kwanini jamaa acheat??

Leo naleta kwenu Aina ya Wanawake ambao wao wenyewe kwa hiari,wanafanya mambo ambayo ni Greenlight kwa Mwanaume kucheat.

MASHARTI KIBAO KAMA FOMU YA MKOPO

Hawa wanawake wana misimamo yao ambayo sijui wamefundishwa na Ngariba wa Loliondo au lah...Inapokuja suala la Bed Business,UTACHOKA! Kungfu si Kungfu...Taekwondo Si Taekwondo...Sarakasi si Sarakasi,ilimradi kero....Hataki umguse hiki...ukimgusa kile hataki,ye anataka kipondo alale....Mapenzi ni sanaa...Mapenzi ni Sayansi...Mapenzi ni maelewano ya wewe na yeye,anapenda nini,unapenda nini,maadam haombi kubadili Channel kutoka BBC kwenda Deutche Welle(Kula Tigo) sioni kitu ambacho ni kibaya kitandani...

Sasa utaambiwa Mate ni Uchafu....Ukimshika nanihii ili umuandae awe Wet vizuri(na hii ni recommended kiafya kuepuka Unnecessary Friction wakati wa tendo), HATAKI,eti sijazoea kushikwa huko,,,Sasa ushikwe Pua au???

Hataki kunyonywa(japo raha ni ya kwake)...Hataki kunyonya(BJ) eti ni uzungu na uchafu....Sasa ndugu zangu,haya ni Mapenzi au wazimu???Yaani nikurupuke tu,bila Maandalizi,bila kujua you are wet enough or not,nakurukia kama nadandia Bajaj...kweli???

Sasa Mwanaume huyu akikamatwa na kitoto kinachojua umuhimu wa Maandalizi,kikampa makamuzi,Mmeo/Boyfriend anakalishwa chali kama anasubiri Oparesheni ya Appendix,anashughulikiwa,akija kupewa mzigo You think huyu Mwanaume atakuwa na time na wewe? Muwe mnawaza...

Mapenzi sio Biashara ya Usafi,kama unadhani Mahaba yana usafi umekosea njia,hakuna Biashara ya Uchafu kama Mapenzi,ila Uchafu wenye raha...

Ukiwa penzini huna tofauti na Chizi,akifika jalalani hachambui hiki nini na kile nini...Maadam kinalika basi ndo anaponea hapo...

Kama Mapenzi yako yana masharti kama Dokta Manyaunyau,tafadhali tafuta biashara nyingine ya kufanya,hii ushafeli...

WAZEE WA MUDA

Hawa ni mabingwa wa kuhesabu dakika....Utasikia humalizi tu....Jamani nusu saa bado upo tu huchoki....We mwanaume robo saa si tayari unanikomoa??Nani akukomoe wewe!!
We Mwanaume hiyo ndo style gani....
Nani kakufundisha hii mbona hatujawahi kufanya.....

Sasa haya Mapenzi au Interview?

Yaani muda wote mnapepeta ye anauliza maswali tu kama OCD wa Polisi Mabatini,sasa raha utasikia saa ngapi???Mwanaume anajipinda ili akufikishe wewe umekazana na Questionnaire yako....Mara kidogo filimbi hiyo.....utasikia Maliza bwana mi nimechoka..Yaani kauliza maswali weeeeeee,halafu anakwambia Maliza....Dah,ukute we ndo kwanza uko Chalinze,unaambiwa maliza,sasa sijui utafika Ubungo Stendi na Ungo....Kwakweli,kama uko hivi,sishangai Mmeo akicheat,kosa ni lako mwenyewe!

WANAWAKE MMENISIKIA????MASHARTI ZIACHIE FOMU ZA MKOPO WA BENKI
 
new gal

JF-Expert Member
May 4, 2021
685
1,000
Wanaume wenyewe sahivi nguvu hawana, dkk 3 tyuuh waitaliano hawa hapa, sasa huo muda wa kuwaambia wamalize haraka unatoka wapi?

Mtu unakazwa huku unachat JF, na huelewi km ulikua unasukumwa au kupapaswa, hebu usituchoshe na bandiko lefu na venye hamna kitu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
nimecheka kifala 😄 😄 😄
 
yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
4,996
2,000
Wanaume wenyewe sahivi nguvu hawana, dkk 3 tyuuh waitaliano hawa hapa, sasa huo muda wa kuwaambia wamalize haraka unatoka wapi?

Mtu unakazwa huku unachat JF, na huelewi km unasukumwa au kupapaswa, hebu usituchoshe na bandiko lefu na venye hamna kitu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
mkuu bado hujabahatika, siku ukibahatika utakuja futa hii reply yako kwa aibu nzito
 
Ethan Cruz

JF-Expert Member
Apr 29, 2021
229
500
Wanaume wenyewe sahivi nguvu hawana, dkk 3 tyuuh waitaliano hawa hapa, sasa huo muda wa kuwaambia wamalize haraka unatoka wapi?

Mtu unakazwa huku unachat JF, na huelewi km unasukumwa au kupapaswa, hebu usituchoshe na bandiko lefu na venye hamna kitu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
hahahahah ww uko na midharau uyo ako anakukuna huko we unachatika dahhh we una tuchocha ss 😂😂😂😂
 
ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
11,559
2,000
Wanaume wenyewe sahivi nguvu hawana, dkk 3 tyuuh waitaliano hawa hapa, sasa huo muda wa kuwaambia wamalize haraka unatoka wapi?

Mtu unakazwa huku unachat JF, na huelewi km unasukumwa au kupapaswa, hebu usituchoshe na bandiko lefu na venye hamna kitu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ww cocas....
jiangalie ukikutana na ndume kama kina sie utakoma balaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom