Nitamjuaje mwanaume aliyenipakia mkongo?

hesalieyo

JF-Expert Member
Jul 18, 2012
360
500
Habari wakuu, mbali na kuchelewa kumaliza, zipi Ni dalili nyingine za mwanaume aliyepaka mkongo?

Sijajua kama alikuwa ananikomesha au la, lisaa limoja si mchezo, unatoka magoti hayana na nguvu zimeisha.

Muda ninaoupenda angalau dk30.

1620204600815.png

hesalieyo

JF-Expert Member
Jul 18, 2012
360
500
Utakua ulikula nauli wewe.. au umezoea ya kutolea but any way kama anafnya kwa papara huyo kapaka mkongo..ila kama anautulivu anafanya kwa starehe yaan bao moja baada ya lingine hio ndio normal
Utakua ulikula nauli wewe.. au umezoea ya kutolea but any way kama anafnya kwa papara huyo kapaka mkongo..ila kama anautulivu anafanya kwa starehe yaan bao moja baada ya lingine hio ndio normal
[/QUOTE
Sijawahi ata muomba nauli yake
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
121,616
2,000
Utamu wake hadi kisogoni utakojoa kama mara 20 hivi kunywa gudulia la maji kisha ulale ukiamka magoti yatakuwa na ahueni. 😜😜😜
Habari wakuu, mbali na kuchelewa kumaliza, zipi Ni dalili nyingine za mwanaume aliyepaka mkongo?

Sijajua kama alikuwa ananikomesha au la, lisaa limoja si mchezo, unatoka magoti hayana na nguvu zimeisha,.

Muda ninaoupenda angalau dk30 .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom