mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dit000

    JamiiForums Tanzania Je, unaelewa nini mwanamke akisema anapenda mwanaume romantic?

    Kuna vitu viwili napenda niviongelee hapa. 1.EMOTIONAL CONNECTION 2.CHEMICAL BOND Sasa lengo la kuwa romantic mwanaume kwa mwanamke ni kutengeneza EMOTION CONNECTION, sasa what does it mean? Emotiona connection, ni kumfanya mwanamke kuungana na wewe kihisia zaidi, how? Moja lazima...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima, umekosea kujifanya mwamba na mwanaume, uwe mfano kwa jamii na heshimu familia yako. Uliyofanya na unayoyatetea si sahihi

    Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani? Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wanawake katika mahusiano ya mapenzi

    Yafuatayo ni mahitaji muhimu ya mwanaume na mwanamke kutoka kwa mwenzie #Inasikitisha MWANAUME ANAHITAJI: 1. Kupikiwa 2. Unyumba 3. Kupumzika MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:- 1. Mpenzi 2. Rafiki 3. Mshikaji 4. Kaka 5. Baba 6. Mwalimu 7. Bosi 8. Mpiganaji 9. Askari 10. Mlinzi 11. Mpishi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini jamii inahisi mwanaume aliye kwenye mahusiano na mwanamke analiwa pesa?

    Kuna kitu nimeobserve Mara nyingi kwenye Jamii, taarifa zikienea mtaani kuwa una-date na mdada flani, watu wanaanza kukuuliza yule mdada ulimpa sh ngapi hadi ukampata, mwingine atasema ni kwa vile wewe una hela kumzidi fulani ndio maana ukampata yule mdada, mwingine atakusema Pembeni wakati...
  5. Woman 949

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume Mwenye VVU

    Wapendwa habari, mimi ni mama mwenye miaka 35 natafuta Rafiki wa kiume mwenye anaishi na vvu, nahitaji mwenye hali kama yangu ili kuepusha unyanyapaa. Vigezo awe 35 na kuendelea awe mchapakazi, msafi pia yaani anayejipenda na awe na hofu ya Mungu.
  6. Matanga

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde mwanaume mwenzangu Usimuachie mkeo pesa chumbani

    MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI MWANAUME[emoji177] Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani, Mke Anatoka na Kapu anaenda kununua Chakula, Anapika, Anawaambia watoto, Njooni Wanangu Mle Nimewapikia Chakula Kitamu...
  7. ibby

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hela ya mwanamke haihesabiki kwenye bajeti ya familia?

    The guy ask me.. If ur wife got 1000 and u have 1000 wat could be the total!? 1000+1000=1000 nika mwambia hapana how come?? Mdau kapatia au kakosea!?
  8. Musa Meizon

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

    Habari yako ndugu msomaji. Hili ni swali la kizazi cha leo, watu wengi wamelijibu kutokana na hisia zao na sababu mbali mbali zisizo na ukweli. Leo tulijibu katika uhalisia wake. Kabla hujajibu lazima ujue hili, nini kinapelekea wanaume kuwasaliti wapenzi wao? Tuanze na mzizi. Ukweli ni...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa na mwanamke lazima ujiulize hili swali la msingi

    Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa, kabla hujaamua kuendeleza kizazi chako lazima ujiulize, je nikifa leo huyu mwanamke ataweza kuwalea wanangu sawasawa ama angalau vile ulivyokua unatarajia? Tuachane na kifo, ujiulize nazaa na huyu mwanamke ama namuoa, je hali yangu ya kiuchumi ikibadilika...
  10. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Mwanaume huko Senegal avalia kama msichana kumfanyia mpenzi wake mtihani

    Mwanafunzi wa chuo kikuu huko Senegal yuko amejipata mashakani baada ya kuvalia kama mwanamke ili kumfanyia mpenzi wake mtihani wa somo la Kiingereza. Picha za Khadim Mboup akiwa amevalia nguo za wanawake zimesambazwakatika mitandao ya kijamii na katika vyombo vya habari nchiniSenegal...
  11. Darucha

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Video' ya ngono ikivuja jamii haimuangalii vizuri mwanamke aliyeshiriki kwenye hiyo video tofauti na inavyokuwa kwa mwanaume?

    Video ya ngono iki leak mwanamke aliyomo kwenye hiyo video huwa haangaliwi vizr na jamii yake tofauti na mwanaume aliyehusika pia kwenye hiyo video. Mwanamke atataniwa kwa aina ya matusi na utani na sometimes inaweza kumpelekea msongo wa mawazo mwisho kujiua lakini kwa upande wa mwanaume yeye...
  12. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mwanaume...

    Ni kutafuta kilakitu.... Utafute mke, pesa, amani, usingizi na bado utafute ufalme wa mbinguni. Hakika tutaingia mbinguni tukiwa tumechoka sana wallah..😎
  13. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mambo haya 6 yapo kwa wanawake?

    1. Hivi ni kweli - Mwanamke akipenda anapenda kweli? Hawezi kukusaliti hata akutane na wataalamu wa swaga / wenye ushawishi na wenye pesa? Hata akiwa na shida ya sex au pesa kiasi Gani? 2. Hivi ni kweli kwamba Mwanamke hamsahau Mwanaume aliyemvunja bikira? - Inaamaana mpaka atakapokuwa bibi...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukijitathmini; Hivi unaishi au Unaishia?

    Kwema Wanazengo! Sio lengo langu kumkwaza yeyote, lakini embu tujadili kidogo. Hivi ukijitazama ukajitathmini, Unaishi au Unaishia? Kama huli chakula ukitakacho, unaishi au Unaishia? Kama huvai utakacho, unaishi au Unaishia? Kama hujawahi hata kumiliki usafiri hata wa punda, unaishi au...
  15. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli viganja vya mikono ya mwanaume vikiwa vikubwa na uume wake unakuwa mkubwa?

    Kuna uhusiano wowote kati ya mwanaume kuwa na viganja vikubwa na ukubwa wa uume wke? Yani mwanaume akiwa na viganja vikubwa vya mikono na uume wake unakuwa mkubwa? Hii ipo na ukweli ati?
  16. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya mwanaume kunasa kwenye uke na suluhisho lake

    Watu wengi ambao hua wanasikia kwamba mwanaume amenasa kwenye uke wa mwanamke hua wanadhani labda kuna mambo ya kishirikina yamehusika hasa kama ni mme au ni mke wa mtu kitu ambacho hua sio kweli wakati wote. Tatizo la uume kunaswa kwenye uke sio hadithi au imani kama watu wanavyofikiri, ila...
  17. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumjua mwanaume mwenye pesa

    Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics...
  18. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

    Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku. Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na...
  19. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Kwa walivyo na roho ngumu bado watasema tuma na ya kutolea

    Ni maajabu na ni maajabu kweli kweli ,licha ya kelele zote hizi bado utaambiwa tuma na ya kutolea kama unanipenda kweli. Lakini bado wanaume wa kweli tutatuma na ya kutolea.
  20. sonofdory

    JamiiForums Tanzania Ndani ya uanaume: Mambo 3 yanayoiongoza akili ya mwanaume

    Ukimuuliza mwanamke yeyote ni aina gani ya mwanaume anayemhitaji, unaweza kukutana na majibu kama vile, mpole, mcheshi, mwenye uwezo wa kunihudumia na anayenipenda kama ninavyompenda mimi. Wakati haya yote yanaweza kuwa sahihi isipokuwa kigezo cha mwisho hapo juu, namna ambavyo wanaume...
Back
Top Bottom