Special kwa wanawake wa JF: Ni kitu gani hupendi kutoka kwà mwanaume?

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,150
2,000
Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa JF natumaini mmeamka salama kabisa na buheri wa afya. Pamoja katika ujenzi wa Taifa letu pendwa.

Moja kwà moja kwenye mada halisi. Leo ningeomba mtazamo wa wanawake juu ya mionekano wasiyoipenda kutoka kwa mwanaume yeyote yule. Hata ukimuona unamzarau na kumshusha hadhi katika generation ya sasà.

Hii mada inawahusu wanawake sisi wanaume ni kusoma comment na kusummurize juu ya vile wadada wa JF watakachosema.
 
Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
36,874
2,000
Kuna wanaume/wavulana wanavaa suruali za kuchanika utadhani zimeliwa na panya.. mapaja yote yapo wazi.

Mwingine kaptura fupi, mapaja yote yapo wazi mtoto wa kiume..
Wengine suruali imembana basi hata kutembea vizuri anashindwa mtoto wa kiume anaonyesha umbo lake!

Wengine suruali iko chini ya matako na ile nguo ya ndani almaarufu kama boxer sijui bukta yote inaelea huku nje tena ikiwa chaaafu.

Wengine nywele kichwani vuruvuru kitimtim kimetimuka kweli kweli, mnaita kwenda na fasheni...mwanaume amesuka nywele ama nywele zimesimama kama mahindi kichwani..
Wenyewe mnaita swaga.

Wanaume wachafuwachafuu wasiojipenda.

Mungu awabariki wanaume wote mnaovaa vizuri,

Huwa mnatuvutia hata kabla hamjaongea na sisi.

NB:Sitazungumzia mambo ya uumbaji mf kimo(urefu ,ufupi),rangi(weupe,weusi)
Siwezi kuukosoa uumbaji wa Mungu
Nimejikita zaidi kwenye namna mtu anavyojiweka bila kujali aliumbwaje.
 
Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
1,587
2,000
Kuna wanaume/wavulana wanavaa suruali za kuchanika,utadhani zimeliwa na panya..mapaja yote yapo wazi..
Mwingine kaptura fupi,mapaja yote yapo wazi mtoto wa kiume..
Wengine suruali imembana basi hata kutembea vizuri anashindwa mtoto wa kiume anaonyesha umbo lake!
Wengine suruali iko chini ya matako na ile nguo ya ndani almaarufu kama boxer sijui bukta yote inaelea huku nje tena ikiwa chaaafu ..
Wengine nywele kichwani vuruvuru kitimtim kimetimuka kweli kweli,mnaita kwenda na fasheni...mwanaume amesuka nywele ama nywele zimesimama kama mahindi kichwani..
Wenyewe mnaita swaga.
Wanaume wachafuwachafuu wasiojipenda.

Mungu awabariki wanaume wote mnaovaa vizuri,
Huwa mnatuvutia hata kabla hamjaongea na sisi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Huwa wanakuvutia hata kabla hawajaongea na wewe.

Sahihisha hapo mkuu, hao unaowaita wavaa hovyo kuna wanawake pia wanavutiwa nao na wanavaa hivyo kuwanasa na wanawanasa kweli na kuwala kimasihara.
 
Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,150
2,000
Kuna wanaume/wavulana wanavaa suruali za kuchanika,utadhani zimeliwa na panya..mapaja yote yapo wazi..
Mwingine kaptura fupi,mapaja yote yapo wazi mtoto wa kiume..
Wengine suruali imembana basi hata kutembea vizuri anashindwa mtoto wa kiume anaonyesha umbo lake!
Wengine suruali iko chini ya matako na ile nguo ya ndani almaarufu kama boxer sijui bukta yote inaelea huku nje tena ikiwa chaaafu ..
Wengine nywele kichwani vuruvuru kitimtim kimetimuka kweli kweli,mnaita kwenda na fasheni...mwanaume amesuka nywele ama nywele zimesimama kama mahindi kichwani..
Wenyewe mnaita swaga.
Wanaume wachafuwachafuu wasiojipenda.

Mungu awabariki wanaume wote mnaovaa vizuri,
Huwa mnatuvutia hata kabla hamjaongea na sisi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app

Umemaliza kabisa na facts umeongea kumbe mimi huwa nakuvutia hata kabla sijaongea na wewe
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,582
2,000
A man who doesn't look good, smell good, who doesn't make me want to make a snack of him is a total waste of time.

Yaani unakuta mwanamme hatembei vizuriiii, mchafu minywele kama msukule, kucha kama alien jamani, viatu vichafu halafu vimechongoka kama wale mafundi wa Tanesco wa kukwea nguzo.

Hapo pa kutembea mwanamme anatakiwa atembee vizuri jamani mpaka ujiambie yes. Kidume kile yaliyomo yamo.

Mwanamme lazima apeleke mawazo kwingine mpaka ukijistukia unabaki unaona aibu mwenyewe tu. Lol
 
financial services

JF-Expert Member
May 17, 2017
11,048
2,000
Kuna wanaume/wavulana wanavaa suruali za kuchanika,utadhani zimeliwa na panya..mapaja yote yapo wazi..
Mwingine kaptura fupi,mapaja yote yapo wazi mtoto wa kiume..
Wengine suruali imembana basi hata kutembea vizuri anashindwa mtoto wa kiume anaonyesha umbo lake!
Wengine suruali iko chini ya matako na ile nguo ya ndani almaarufu kama boxer sijui bukta yote inaelea huku nje tena ikiwa chaaafu ..
Wengine nywele kichwani vuruvuru kitimtim kimetimuka kweli kweli,mnaita kwenda na fasheni...mwanaume amesuka nywele ama nywele zimesimama kama mahindi kichwani..
Wenyewe mnaita swaga.
Wanaume wachafuwachafuu wasiojipenda.

Mungu awabariki wanaume wote mnaovaa vizuri,
Huwa mnatuvutia hata kabla hamjaongea na sisi.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kwani uzi uliendelea baada ya hii comment? 100% correct.😜
 
Gamawechi

Member
Apr 21, 2021
9
75
Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa JF natumaini mmeamka salama kbsàa na buheri wa afya . Pamoja katika ujenzi wa Taifa letu pendwa

Moja kwà moja kwenye mada halisi .Leo ningeomba mtazamo wa wanawake juu ya mionekano wasiyoipenda kutoka kwa mwanaume yeyote yule .Hata ukimuona unamzarau na kumshusha hadhi katika generation ya sasà

Hii mada inawahusu wanawake sisi wanaume ni kusoma comment na kusummurize juu ya vile wadada wa JF watakacho sema View attachment 1777141
Sifa za gentlemen zinaeleweka jamani.. hao wengine ni umri tuu wakikua wataacha kuvaa wanavovaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom