mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

    Naomba kuelimishwa jamani, hivi kwa sheria za Tanzania mwanamke anaweza kumbaka mwanaume? Soma pia: 1) Binadamu wa kwanza duniani KUBAKWA ni Mwanaume, na wakwanza KUBAKA ni mwanamke! 2) Hivi kuna sheria inayomruhusu mwanaume kumshtaki mwanamke kwa kosa la kumbaka/raping? 3) Marekani...
  2. JamiiForums Tanzania Utofauti uliopo kati ya mwanaume na mwanamke katika hisia za kimapenzi

    Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia inasadikika hakuna kitu ambacho kina nguvu sana kama mahusiano ya mapenzi, hata hivyo kutokana na nguvu hiyo ya mahusino, watu wengi hufikiri mwanaume ndio ambao wanaathiriwa kwa kiwango kikubwa na nguvu hiyo. Watafiti wa masuala ya mahusiano...
  3. JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanaume amuua Mke wake na kuhukumiwa miaka minne jela. Hii ni mara ya pili kuua Mke na kuhukumiwa

    AFUNGWA MIAKA MINNE KWA KUMUUA MKEWE: Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha kwenda jela miaka minne Lameck Essau Meza mkazi wa Sikonge mwenye umri wa miaka 38 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia mkewe Dafroza Paul. Akisoma hukumu hiyo Jaji...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mwanamke ama Mwanaume kama huna hela wewe ama Wazazi wako utaoa/kuolewa na maskini mwenzako

    Habari wadau. Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke mwenye kipato kama chake ama amzidi yeye mwanaume kipato.. maana watu wanapenda sana kuvuna...
  5. JamiiForums Tanzania Fahamu haya kama unajiandaa na ndoa au tayari upo katika ndoa

    ★1. Ukitaka ambacho hakijamilikiwa na mtu yoyote ni lazima ufanye jambo ambalo halijafanywa na yoyote. ★2. Mungu akitaka kukubadili hukuletea mtu na shetani akitaka kukuangamiza pia huleta mtu. ★3. Bora Uishi mwenyewe kuliko kuishi na mtu ambaye si sahihi katika maisha yako. ★4. Kuoana kabla...
  6. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni aina hii ya mwanamke, your boyfriend must cheat na usimlaumu

    Girls! You run this World right? Run it with your Brain! Wanawake wamekuwa Mabingwa sana wa kulaumu Wanaume kwanini wanacheat sana. Na wanaamini kwamba Wanaume hawana Reason ya Kucheat maana wao wanadhani wamefanya yoteeee, sasa kwanini jamaa acheat?? Leo naleta kwenu Aina ya Wanawake ambao...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke humpenda mwanaume mwenye pesa ili maisha yake yaende, wengi hawana hisia za kimapenzi na wanaume hao

    Unavyodhani ndivyo, sivyo na huenda ukashangaa sana nikikuambia huu ukweli kuhusu wanawake. Huenda ukafikiria wanawake wengi hupenda wanaume wenye pesa na magari lakini sivyo hata kidogo. Kuna tofauti ya kuwa na hisia za mapenzi na kumpenda mtu ili aweze kuyasukuma maisha yako. Asilimia kubwa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Special kwa wanawake wa JF: Ni kitu gani hupendi kutoka kwa mwanaume?

    Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa JF natumaini mmeamka salama kabisa na buheri wa afya. Pamoja katika ujenzi wa Taifa letu pendwa. Moja kwa moja kwenye mada halisi. Leo ningeomba mtazamo wa wanawake juu ya mionekano wasiyoipenda kutoka kwa mwanaume yeyote yule. Hata ukimuona unamzarau na...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishi na mwanaume mkorofi mwenye visa na gubu

    wanaume wa aina hii wapo wengi Sasa ukikutana na mwanaume wa aina hii ujue kuna kitu labda anataka muachane au ana mchepuko ama ni hulka yake tu kuwa mkorofi. Visa huwa haviishi sasa unatakiwa ujue jinsi ya kuishi naye; Mfano akianzisha ugomvi fanya kumuacha aendelee ili umsaidie kutoa yote ya...
  10. JamiiForums Tanzania Sifa za Mwanaume anayekuchezea

    1. ANAKWEPA MAZUNGUMZO YA NDOA Haonyeshi Kufurahi Unapoanzisha Mazungumzo Kuhusu Suala La Kufunga Ndoa Na Wala Hapendi Kuzungumzia Hilo. Wakati Mwingine Hata Kukutambulisha Kwa Ndugu Zake Au Rafiki Inakuwa Shida. 2. ANAGHARAMIA ANASA KULIKO MAMBO MUHIMU Anakuwa Ni Mtu Wa Kukununulia Mapambo Ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wanavyodanganyana: Jinsi ya kumgundua mwanaume aliyetoka kusex

    Wakuu, Asalaam aleykum, Tumsifu YESU kristo. Nimekumbuka visa vilivyopita mingi Sana enz za ujana, kipind icho sijaoa bado. Enzi hizo Wanasemaga UJANA MAJI YA MOTO na Nlkua wa moto kwelikweli. Kazi kidogo, pesa nyingi na SINA MAJUKUMU KABISA. Nilikua na Libido Kali Sana ila kawaida kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

    Mambo vp jamiiforums. Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja (mama yao mmoja). Mama wa kambo ambaye ni ndugu wa mama mzazi anatunza watoto wa dada yake kwa roho ya upendo sana kuliko mama wa kambo ambaye si ndugu. Wale mliolelewa na...
  13. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha wanawake kuzalishwa na kutelekezwa na wanaume?

    Ushawahi kijiuliza ni kwanini wanawake wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakizalishwa na kutelekezwa ni wapi wanapokosea! Mpka mwanaume anamzalisha na kumtelekeza ina maana hakukuwa na makubaliano kuhusu mtoto na mimba itakuwaje au mwanamke aliamua tuu kumtegeshea mwanaume wakati mwanaume...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nitamjuaje mwanaume aliyenipakia mkongo?

    Habari wakuu, mbali na kuchelewa kumaliza, zipi Ni dalili nyingine za mwanaume aliyepaka mkongo? Sijajua kama alikuwa ananikomesha au la, lisaa limoja si mchezo, unatoka magoti hayana na nguvu zimeisha. Muda ninaoupenda angalau dk30.
  15. JamiiForums Tanzania Unapoambiwa chozi la mwanaume halithaminiki ndiyo kama hivi

    Wanaume tumeumbiwa shida na si raha na ndiyo maana maisha yetu ni kupambana na shida ili kupata raha. Hebu jiulize mwanaume umefiwa au umeumia kweli ukianza tu kutoa chozi utasikia kaka jikaze wewe ni mwanaume usilie unajikaza tu mpaka nyongo inavilia rohoni. Unajaza maumivu mia kidogo Ila...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Ninaogopa kutongoza, nahofia kukataliwa

    .
  17. JamiiForums Tanzania Unamchukuliaje mwanaume anayevaa hereni katika jamii yako?

    Hereni ni pambo linalotumiwa na wanawake tangu enzi na enzi za mababu zetu lakini kwa sasa hii imekuwa tufauti sana kwani hata wanaume siku hizi wanavaa. Je, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa hereni kwa sehemu yoyote kwa namna yoyote ile na kwa kisingizio chochote kile?
  18. JamiiForums Tanzania Ogopa sana mwanaume ambaye anachati nawe mpaka saa 8 Usiku

    Kama kuna mwanaume ambaye mmekutana online na anaweza kuchat nawe mpaka saa nane usiku basi jua kua huyo mwanaume si wako, anaweza kuwa mume wa mtu au ana mpenzi wake ambaye anampenda na wewe ni kama dawa yake. Huyo mwanaume ni mgonjwa na nikuhakikishie, narudia najua mnadhani mnapendwa lakini...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wanaweza: Muhimu Yapi ni Majukumu ya Mwanamke na Yapi ni Majukumu ya Mwanaume

    Nani anahusika na kutengeneza mambo haya: lengo ni nini? Mwenye ufahamu wa mambo na elimu ya vitu hawezi kufikiri kwamba "wanawake hawawezi". Hakuna sababu ya kujadili au kufanya matangazo, mikutano au kuhamasisha kuwa wanawake wanaweza. Hili liko wazi wanawake wanaweza. Historia inaonyesha...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiolewa au kukutana na mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi utachukuliaje?

    Habari zenu humu ndani. Baada ya kushiba daku nimeamua kuja na uzi huu. Kwa sisi wanaume tukioa kisha tukapata mwanamke ambaye hajawahi kuguswa, mwanaume anajiona fahari. Wanaume tunaona tumepata kizuri cha kupata. Na hata katika jamii inakuwa ni jambo jema. Sasa swali ni kwa upande wa pili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…