mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo ya kujua kabla hujaoa

    Kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu uzuri, smartness, na kindness ni vizuri ukalifahamu hilo kabla ya kuoa, kwanin nasema hivi kuna mto...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hata uwe mzuri vipi mwanaume atachepuka tu, uzuri haumzuii mwanaume kuchepuka

    Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke. Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka kwani yeye huyo mwanamke anaamini mwanaume wake hana anchokikosa kwa sababu yeye ni mzuri. Utashangaa...
  3. JamiiForums Tanzania Njia wanayoweza kutumia wadada kupata waume wa kuwaoa kwa haraka

    Ulimwengu umebadilika sana, yale mambo ya kizamani ya kwamba, mwanaume ndio anatakiwa aanze kumtongoza mwanadada/mwanamke yalishapitwa na wakati. Kwa takwimu zilizopo duniani, wanawake ni wengi kuliko wanaume; sasa usipotumia ujuzi wa kuzaliwa, utajikuta unazeeka mwenyewe bila mwenza. Ndio maana...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani

    Ukiona mwanaume hakupi hela mpaka umuombe jua kuwa wewe huna thamani kwake, kwasababu mwanaume yoyote anapopenda sehemu neno sina hela huwa halipo kwake na hutoa hela bila kuombwa na mwanamke. Mwanaume humtoa thamani mwanamke muomba hela na humtafsiri kuwa sio mwanamke mwenye mapenzi ya kweli...
  5. JamiiForums Tanzania Video za utupu wa mwanandoa zakutwa kwa mwanaume mwingine

    Hii imemkuta jamaa yangu wa karibu. Iko hivi: Jamaa yangu anaishi na mkewe na wamebahatika kupata watoto watatu. Ndoa yao ni tulivu sana. Kifupi wanapendana na kuheshimiana (kwa mtazamo wangu na maisha yao ya nje yanavyoonekana). Mwanaume ana rafiki yake wa kiume. Familia inatambua urafiki...
  6. JamiiForums Tanzania Tutakuwa tunakosea kama tutampeleka mtu Ikulu kisa ni mwanamke au mwanaume

    Kwa akili zetu tunatengeneza baadae ya taifa hili, ili ndio jambo la msingi tunalopaswa kulitambua, Baadae ya taifa hili itategemea mwelekeo wa fikra zetu. kila wakati lazima tutambue tutavuna tunachopanda. Mawazo yetu na fikra zetu ni mbegu. Na mwelekeo wa fikra zetu ndio utakaoamua destiny...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia umekosea tena; haupo kwa ajili ya kuongoza wanawake, bali kuongoza Watanzania wa jinsia zote

    Mama Samia Leo nimeona umekosea tena Jambo ambalo umekuwa ukilikosea toka mwanzo. Ma Samia wewe ni Rais wa JMT, hivyo jinsia, ukabila, dini au rangi uliyo nayo haina uhusiano na urais wako. Leo umesisitiza kuwabeba wanawake kwa kuwa hapo zamani wanaume walibebwa Sana kwenye siasa, hivyo sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lamshikilia mwanaume kwa tuhuma za kumchezea sehemu za Siri mtoto

    Polisi Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima wa Mlandizi kwa kumdhalilisha Mtoto wa kike mwenye miaka mitatu kwa kumchezeachezea sehemu za siri Alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea Mwanafunzi huyo wa Chekechea ==== Polisi Mkoa wa Pwani wanamshikilia...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume unaweza kupata mapenzi ya kweli endapo umemzidi mwanamke miaka 13?

    Assume mimi ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, halafu namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mimi? Huyo binti hatonichukulia mimi kama babu yake au mtu mzima sana kwake? Hivyo kuwekwa kwenye category ya sponsor...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa namna hii hafai kwa mwanaume yeyote

    JF Napenda kuwakumbusha wanaume wenzangu kama mimi, hakuna kitu kinakaba koo kama mwanamke wako kugongwa na wanaume wengine. Ukiona mwanamke anamiongoni mwa tabia hizi huyo ni cha wote, wachana nae kabisa. * Mwanake mlevi anayejipeleka baa na viwanja mbali mbali kwaajili ya ulevi, huyo ni...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Tatizo la kutoa mahari ili kuweza kukubaliwa kuoa mke na tatizo hili humuumiza nani zaidi? Mwanamke au mwanaume?

    Ni kitu cha kushangaza mpaka leo huu mfumo wa kutoa mahali bado unaendelea. Tumefundishwa tokea tulivyo kuwa shule ya msingi ya kuwa mahali sio nzuri kwa mwanamke, inashusha thamani yake katika ndoa, lakini kwanini bado tunaitumia mpaka leo? Ndoa hutokea pale ambapo watu wawili wanapopendana na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu. Ameharibu ndoto zangu, najiona si binadamu tena

    ...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake jihadharini Mwanaume hajaribiwi

    Wakuu tumaini langu najua mko wazima wa afya na kwa wagonjwa Mungu awape ahueni ili muwe wazima hatimae muendelee kujitafutia Ridhiki. Niende moja kwa moja katika mada hii ambayo nimeona kwa wadada ili wajifunze Jambo pengine. Wadada msipende kuwajaribu wanaume wakati vyumba vya mioyo yenu...
  14. JamiiForums Tanzania Swali la kipombe: Kuishi demu Marekani kwa amani na kuishi Afghanistan mwanaume Ila utauawa na Taleban, kipi Bora?

    Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni traitor wanakuuwa kwa kukukata shingo kwa kisu polepole ungechagua kipi? Mimi mzee baba ningechagua kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tabia ya kumuonyesha mkeo kua mwanaume fulani ni mzinzi acha mara moja

    Wakuu hamjambo? Na wadogozangu mko poa, Moja kwamoja naenda kwenye pointi yangu, Kuna tabia fulani baadhi ya wanaume hua sio nzuri unakuta mwanaume anamsimulia mke wake eti baba fulani anatembea na mke wa(X) au kama sio hivyo Unadiriki kumwambia mkeo kua furani ni mtongozaji sana au anatembea...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai ananipenda lakini nimegundua ana mwanaume mwingine

    Habarini ndugu zangu polen na majukumu ya kila siku, nimekuja mbele yenu kama kijana mwenye shida ya kiushauri na mawazo ili nipanue akili na niwe na uwezo mkubwa wa kuchukus maamuzi sahihi kutokana na mawazo yenu na mawazo yangu kwa pamoja. Mimi ni kijana na nipo kakika mahusiano ya na...
  17. JamiiForums Tanzania Je, unaelewa nini mwanamke akisema anapenda mwanaume romantic?

    Kuna vitu viwili napenda niviongelee hapa. 1.EMOTIONAL CONNECTION 2.CHEMICAL BOND Sasa lengo la kuwa romantic mwanaume kwa mwanamke ni kutengeneza EMOTION CONNECTION, sasa what does it mean? Emotiona connection, ni kumfanya mwanamke kuungana na wewe kihisia zaidi, how? Moja lazima...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima, umekosea kujifanya mwamba na mwanaume, uwe mfano kwa jamii na heshimu familia yako. Uliyofanya na unayoyatetea si sahihi

    Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani? Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wanawake katika mahusiano ya mapenzi

    Yafuatayo ni mahitaji muhimu ya mwanaume na mwanamke kutoka kwa mwenzie #Inasikitisha MWANAUME ANAHITAJI: 1. Kupikiwa 2. Unyumba 3. Kupumzika MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:- 1. Mpenzi 2. Rafiki 3. Mshikaji 4. Kaka 5. Baba 6. Mwalimu 7. Bosi 8. Mpiganaji 9. Askari 10. Mlinzi 11. Mpishi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini jamii inahisi mwanaume aliye kwenye mahusiano na mwanamke analiwa pesa?

    Kuna kitu nimeobserve Mara nyingi kwenye Jamii, taarifa zikienea mtaani kuwa una-date na mdada flani, watu wanaanza kukuuliza yule mdada ulimpa sh ngapi hadi ukampata, mwingine atasema ni kwa vile wewe una hela kumzidi fulani ndio maana ukampata yule mdada, mwingine atakusema Pembeni wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…