mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kati ya Mwanaume na Mwanamke, ni yupi kama mtoto?

    Katika semina wanazopeana wanawake huwa na msemo huu, ya kuwa mwanaume ni kama mtoto wakiwa na maana ya kwamba ili umuweze mwanaume inakubidi uishi naye kama unaishi na mtoto yani mambo ya kubembeleza n.k Lakini si kwa wanawake tu hata sisi wanaume tunapokutana kupeana semina huwa tunaambiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume Mgane. Wanaume tujipange

    HAKUNA MWANAUME MGANE"ALIYEFIWA NA MKE AU NA WATOTO: JIPANGE. Anaandika Robert Heriel. Andiko hili maneno yake yamepimwa yakathibitika. Ni amini na kweli. Sijaandika kumuumiza yeyote, wala kumfurahisha yeyote. Nimeandika haya Kwa ajili ya wanangu iwe wa kuwazaa mwenyewe au wakufikia, au...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume usitumie hisia kwa mwanamke, tumia akili

    Watu wengi hufikiri wanawake wanavutiwa na wanaume ambao ni nice, wenye mali, nyumba, magari, anayejali na vitu kama hivyo. Ukijaribu kumuuliza mwanamke mmoja mmoja ni aina gani ya mwanaume anamhitaji, asilimia kubwa watakuambia tunahitaji mwanaume ambaye ni nice, anayenipa pesa, anayetuma na ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kati ya mwanaume na mwanamke, ni nani anyemhitaji mwenzake zaidi?

    Hii imetokana na kuwepo kwa changamoto zaidi kwenye mahusiano; mwanamke amekuwa akimtenda mwanaume, na wakati mwingine mwanaume hivyo hivyo amekuwa akimtenda mwanamke. Wakati mwingine, mwanaume anaambiwa ili apate mahusiano kwa mwanamke inabidi awe na kipato, au awe na uwezo wa kuhonga; mpaka...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume gani hujawai hata kutoka nje ya nchi?

    Unakuta mwanaume hana hata passport. Hajawai jata kutoka nje ya nchi hata Kenya tu awajawai kufika. Mwanaume hana exposure. Hivi mwanaume unakosaje passport? Mwanaume unakosaje kutoka nje ya nchi jamai?. Wanaume wa hivi wanakuaga wapo wapo tu hawajui hata dunia inavyokwenda. Wanakuaga na...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

    By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike imeumbwa kutawaliwa na jinisa me. Sio maneno yangu bali ni maneno ya vitabu vyote vya dini Quran na...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Mwanaume kuzidiwa Umri na Mpenzi/Mwanamke wake ni miaka Mingapi wastani?

    Wakuu Habarini za wakati Huu! Naomba tujadili kidogo hili swala la Tofauti ya Ages kati ya wenza, inafahamika kwa tamaduni za Kiafrika Mara Nyingi Mwanaume ndio huwa na umri Mkubwa kuliko mwanamke. Nowdays mambo yanabadilika inaanza kuwa kinyume kuna wanaume wanazidiwa na wanawake umri sa...
  8. JamiiForums Tanzania Anapatikana wapi mwanaume mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, msikivu, na anaejua kusamehe!

  9. JamiiForums Tanzania Doreen Kabareebe: Marufuku mwanaume yeyote asiye na gari kunipigia simu

    Picha ya kwanza inaonesha dada mmoja anaitwa Dooren Kabareebe kutoka Uganda katika kipindi cha redio akiojiwa na kutanganza vigezo vyake marufuku mwanaume yoyote asiye na gari kumpigia simu,yeye wanaume wake ni wenye magari tu. Picha ya pili. Baada ya kumaliza kipindi redioni akanaswa na...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kwanza kutoa pesa kwa mke wake 1825. Pumzika kwa amani huko uliko

  11. JamiiForums Tanzania Mambo matano (5) ambayo humfanya mwanaume ampende na kumthamini sana mwanamke wake

    1) UTII Kila mwanaume unaye muona huwa anapenda mwanamke wake awe na utii yaani akiambiwa Jambo basi asiwe mkaidi hata Kama siyo sahihi basi kitu Cha kwanza aoneshe kukubali kusikiliza halafu kwa baadaye ndipo aje na wazo lake ili mwafaka upatikane. Wanaume tunapenda wanawake ambao wanatii...
  12. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa thamani ya Mwanamke kwa Mwanaume

    "Jihadhari na kuwadanganya wanawake, kwani wana uhodari wa kujua ukweli, na uwezo mkubwa wa kujifanya hawajajua." "Mwenye kupoteza penzi la mwanamke mwaminifu, amepoteza maisha yake yote" Jua ya kwamba. A: Mwanamke akiwasiliana au kuwa karibu na wewe sana inamaanisha hataki mwengine. B...
  13. JamiiForums Tanzania Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!

    Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!. Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana...
  14. JamiiForums Tanzania Haipendezi Mwanaume mtu mzima kucheza games za kitoto kwenye simu yake

    Unakuta ni kwenye daladala au mpo sehemu mmekaa mnasubiria huduma unaona mbaba anacheza game kwenye simu yake game yenyewe bora hata ingekuwa hata dream league soccer au PES. Noma inaanza pale unakuta mtu anacheza sweet fruit candy, au Buble shooter, Temple run, subway runner vigame flan vya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ni yapi madhara ayapatayo mwanaume kwa kumuingilia mke kinyume na maumbile?

    nawasalimu kwa jina la jmt! Tumeona na kuelimishwa na nyuzi nyingi sana humu kuhusu madhara wayapatayo wanaoingiliwa kinyume na maumbile. Hebu leo tufahamishane kuhusu madhara ya kiafya kwa upande wa anayeingilia. Ahsante!
  16. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya mwanaume kuwa provider wa mwanamke?

    Moja kwa moja kwenye mada, Tangu kuumbwa kwa dunia inajulikana kuwa mwanaume ndio anatakiwa amuhudumie mwanamke wake na familia yake kwa ujumla, lakini je hii ilisababishwa na nini? Na je mpaka sasa huo utaratibu unatakiwa kuendelea ikiwa sababu zilizomfanya mwanamme kuwa provider...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke hufatiliwa sana na Mwanaume asiyeweza kumuacha

    Natumai mu wazima humu ndani, Kiukweli leo nimeamini mwanamke unayemfatilia sana na kumchunga ndiye mwanamke usiyeweza kumuacha kirahisi. Hili nalizungumzia hapa siropoki tu kutokana na kiporo nilichokula ila nina ushahidi nalo kwangu na washkaji na marafiki zangu kwa ujumla. Mwanamke...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hakikisha hukosi vitu kama hivi kwenye hazina yako

    Kesho nasafiri kwenda Nyanda za Juu Kusini na kisha nitakwenda Kigoma, mojawapo ya vitu vya muhimu siwezi kuacha ni hivi hapa chini. Mwanaume hakikisha hukosi hivi vitu kwenye hazina yako uendapo popote. NB: KY ni kwaajili ya kulainisha kuhakikisha hakuna mchubuko na sina matumizi nayo zaidi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume hii ni sawa?

    Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!. Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu. Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka kuwa na mahusiano au kuoa chagua mwanamke mzuri

    Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na vingine(mnanielewa hapa bila shaka nikisema mzuri). Pia hata ukimpa pesa kama akiwa na shida kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…