Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,501
27,000
Tuliweke sawa hili.

Mimi nasema HAKUNA urafiki wa namna hiyo.

Ukisikia mwanamke anasema ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike, ujue kuna namna anawatumia hao wanaume. Ananufaika big time.

Na wanaume sio wajinga, katika huo urafiki hata ikiwa mwanamke ameolewa au ana bwan’ake ujue wapo pale kwa lengo maalumu.

Wako 'standby' wakisubiri fursa siku yoyote, ukitaka kuthibitisha hilo jifanye tu unatengeneza mazingira. Utajua upo mezani tayari!

Kwa upande mwingine, huyo huyo mwanamke anayejivunia marafiki wa kiume, kama ni 'my wako' jaribu kumwambia una marafiki wengi wa kike. Hawezi kukuamini, yaani utajua hujui.

My take:
Mwanamke anajipatia wanaume wengi wanaodhani ni marafiki, kwa ajili ya security na mizinga ya hapa na pale. Vitu ambavyo hawezi kupata kwa mwanamke mwenzake.

Mwanamme anakuwa na urafiki na mwanamke kama namna tu ya kujiweka karibu, deep down moyoni anameza mate na ku-hope ONE DAY YES!

Hebu sema na moyo wako, tupeane uzoefu hapa... kwa dhati kabisa una dhamira gani kwa hao unaowaita marafiki?
 
Honestly I have one superlady friend of mine!
Tukikutana bar tunakula tunalewa then anaset connection za madem mm kazi yangu kupoint tu anaenda kumaliza mchongo kazi yangu inabakia kugegeda namkubali sana nikijichanganya kumgonga ataanza kuniletea mawivu halaf kaz itakua ngumu upande wangu
 
Huyo ni mchizi wako ila tafiti zinaonesha simba akikosa nyama hulaga nyasi 😂...
Watchout mzee!!!
 
Honestly I have one superlady friend of mine!
Tukikutana bar tunakula tunalewa then anaset connection za madem mm kazi yangu kupoint tu anaenda kumaliza mchongo kazi yangu inabakia kugegeda namkubali sana nikijichanganya kumgonga ataanza kuniletea mawivu halaf kaz itakua ngumu upande wangu

Ipo siku utamla tu, hadi hapo lazima ushawaza kumla... hofu yako ni kuwa utajifunga ukose hizo koneksheni.
 
Tuliweke sawa hili.

Mimi nasema HAKUNA urafiki wa namna hiyo.

Ukisikia mwanamke anasema ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike, ujue kuna namna anawatumia hao wanaume. Ananufaika big time.

Na wanaume sio wajinga, katika huo urafiki hata ikiwa mwanamke ameolewa au ana bwan’ake ujue wapo pale kwa lengo

Ni kweli Mkuu.
 
Chukua iyoo
Screenshot_2021-02-10-14-03-58-334_com.instagram.android.jpg
 
Back
Top Bottom