Natafuta mwanaume wa kunioa

NORTHERNIST

Senior Member
Feb 10, 2021
104
225
Kwa alie tayari kwenda kwenye hatua hii
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume,kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home,ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single
Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia,nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo.Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu
Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau
Vigezo
1)awe anaishi Dar preferably mikoa mingine long distance relationship ni tatizo,Dar atapewa kipaumbele zaidi
2)awe na kipato stable cha kumudu familia yake,nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake,au mpaka ajipange mtu ninae muongelea hapa ni ameshajipanga kuoa
3)awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu,mkristu R.C Au K.K.T itapendeza
5)mrefu asiwe chini ya 170cm
6)ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti
7)umri miaka 33 kuendelea
8)awe mtafutaji amechangamka kuna wanaume wapo wamezubaa jamani,mtu anae ridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa
9)awe na mpango wa kuoa mwaka huu,mimi si mtu complicated aina ya ndoa just a simple one,kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana
Sifa zangu
Ni mrefu,maji ya kunde,umbo la wastani sio mwembamba sio mnene,umri miaka 27
Nimejiajiri
Sina mtoto
Mcheshi kiasi mkimya kiasi
Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko PM
too selective
 
_ly

Senior Member
Mar 30, 2016
165
500
ndoa sio kama bidhaa kwamba unaenda dukani unanunua kinachokuvutia na kuondoka...
ukifanya ivo lazima utakuja kujuta mbele maana unakuwa umenunua mtu usiemjua kikamilifu
.
ushauri wangu chagua mtu kama ni mtaani uko uko au hata mitandaoni umu, take time, muangalie tabia yake na mienendo yake jee atafaa kuwa baba baada ya apo ndio ufanye maamuzi ya kuingia kwenye ndoa...
.
lakini kwa hivi unavyofanya mwezi wa nne unapata bwana wa nane unaolewa utakuja lia mpuuzi wew mpka utatamani dunia ipasuke...
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
11,148
2,000
Kwa alie tayari kwenda kwenye hatua hii
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume,kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home,ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single
Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia,nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo.Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu
Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau
Vigezo
1)awe anaishi Dar preferably mikoa mingine long distance relationship ni tatizo,Dar atapewa kipaumbele zaidi
2)awe na kipato stable cha kumudu familia yake,nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake,au mpaka ajipange mtu ninae muongelea hapa ni ameshajipanga kuoa
3)awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu,mkristu R.C Au K.K.T itapendeza
5)mrefu asiwe chini ya 170cm
6)ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti
7)umri miaka 33 kuendelea
8)awe mtafutaji amechangamka kuna wanaume wapo wamezubaa jamani,mtu anae ridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa
9)awe na mpango wa kuoa mwaka huu,mimi si mtu complicated aina ya ndoa just a simple one,kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana
Sifa zangu
Ni mrefu,maji ya kunde,umbo la wastani sio mwembamba sio mnene,umri miaka 27
Nimejiajiri
Sina mtoto
Mcheshi kiasi mkimya kiasi
Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko PM
Tambua kwamba ndoa sio bf gf relationship. Unaposema awe tayari kufunga ndoa mwaka huu huko ni kuwa na unrealistic expectations.

Kuoa ni major deciaon ambayo mtu afanyi within months. Na kwa haraka hiyo ni rahisi sana kuingia mkenge maana hamna mwanaume anayejitambua atafanya maamuzi ya hara kwa jambo nyeti kama ndoa.

U 27 haraka ya nini pata mtu mfahamiane mwaka na nusu mpaka miaka miwili ndio ndoa.
 
Marybea

Member
Apr 8, 2021
10
45
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume,kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home,ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single

Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia,nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo.Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu

Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau
Vigezo

1)awe anaishi Dar preferably mikoa mingine long distance relationship ni tatizo,Dar atapewa kipaumbele zaidi

2) Awe na kipato stable cha kumudu familia yake,nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake,au mpaka ajipange mtu ninae muongelea hapa ni ameshajipanga kuoa

3) Awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu,mkristu R.C Au K.K.T itapendeza

5) Mrefu asiwe chini ya 170cm

6) Ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti

7) Umri miaka 33 kuendelea

8) Awe mtafutaji amechangamka kuna wanaume wapo wamezubaa jamani,mtu anae ridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa

9) Awe na mpango wa kuoa mwaka huu,mimi si mtu complicated aina ya ndoa just a simple one,kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana

Sifa zangu

Ni mrefu,maji ya kunde,umbo la wastani sio mwembamba sio mnene,umri miaka 27
Nimejiajiri
Sina mtoto
Mcheshi kiasi mkimya kiasi
Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko PM
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom