mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

    Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto. Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake. Demu akachukua mimba na kuibeba miezi 9 na kuzaa mpaka sasa mtoto ana miaka 3 msela ajui mtoto wake wala ajawahi mtumia...
  2. Hatimaye ndoa yangu imevunjika

    Asalaam, Ndoa yangu ilikuwa nzuri saana kwasababu tulianza tukiwa vijana wadogo maskini, kutokana na hivyo tuli inspire vijana wengi na ndoa nyingi kusimamia. Tuka barikiwa watoto wazuri. Mungu alitubariki na unafuu wa maisha wa kupata tunachokita kwa level ya maisha ya kawaida. Basi ghafla...
  3. L

    Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha Awe mkristo kiimani Awe either single, mgane au mtalaka...
  4. Hivi mwanaume anaacha au anaachwa? Mwanaume kweli unaanzaje kulia kwa kuachwa?

    Kwanza kabisa tuwasikitikie vijana wote wanaodai ni wanaume huku wakilia kuachwa. Inavyojulikana mwanaume haachwi bali anaacha au wanaachana na mke wake. Kwanini mwanaume hawezi kuachwa? Kwa sababu yeye ndio kichwa cha familia, uliwahi kuona tela likiacha kichwa nyuma? Hapana. Tafsiri ya...
  5. N

    Mtangazaji Juma Lokole amuombea Steve Nyerere cheo

    Anaitwa Juma lokole ni mtangazaji mwenye elimu ya darala la saba kwa wanaoojua tangu akianza michezo michafu akiwa mdogo sana huko sinza hawashangai sana issues zake, kijana huyo alikuwa analelelewa na bibi yake ambaye alipiga hadi akachoka ikabidi amuachie tu kijana aendelee na starehe yake...
  6. Msaada: Body spray gani ni nzuri kwa mwanaume?

    Wakuu habari zenu Naomba ushauri ni body spray gani nzuri kwa mwanaume. Ahsanteni.
  7. Kuna madhara gani mwanaume anapochelewa kuoa?

    Kama tunavyofahamu mwanaume kuna age ikifika umri wako unaanza kuonekana umeenda haswa kuanzia age of 36,40 na kuendelea at this age bado kuna vijana hawajaoa na hata mpango wa kuoa bado kabisa. Hebu leo tuweze kushare kuna madhara gani ya mwanaume kuchelewa kuoa.
  8. Laiti kama kule Hai angekuwepo mwanaume kama Saidy Mwamwindi

    Huwa nafuatilia tuhuma zote alizotuhumiwa Sabaya nabaki kujiuliza What if kingetokea kidume kama Mohamed Mwamwindi kule Hai kingebadili historia yote ya Hai na kila kiongozi akipelekwa Hai anakuwa na adabu kabisa. Wale wasiojua historia zamani kidogo Serikali ya Mwl Nyerere ilikuwa inaogopewa...
  9. Mwanaume na baba wa kiroho amekwishasema, mimi mwanamke napingaje sasa?

    Kaka zetu na vijana wetu wa kiume mpo? Baba mchungaji keshasema hivyo Kuna msemo babu yangu alikua akiwaambia wajukuu zake wa kiume "... kabla hujaja kuniambia unaoa uniambie una mali gani maana kama ni kupata mke tuu hata nyani akijenga nyumba atapata mwanamke wa kuoa" kweli wahenga ni...
  10. Mwanaume uliyepo ndani ya ndoa kama huchezi mechi za nje eti kisa heshima kwa mkeo jitafakari mara mbili

    Kiukweli wanawake waliopo ndani ya ndoa ni tatizo sana. Kiufupi wale wanawake wanao jiuza ni wagumu kuwapata lakini sio wake za watu. Kumpata anae jiuza itakutaka ufanye kazi upate pesa za kwenda kumnunua lkn mke wa mtu unatakiwa kunionesha usijari na usiri tu basi unajilia kitumbua cha watu...
  11. Mwanaume ukiweza kuwa mtanashati na smart utawakimbiza zero brain

    Wakuu Kwema!... Tatizo la sisi wanaume wengi tunajishusha na kujidharau wenyewe mwisho kukosa dira ya mwanamke unayemtaka. point yangu hapa ni unadhifu na umaridadi wa akili na hata mwonekano jinsi unavyo kutana na mwanamke. Amna kitu kitakushusha kama kutongoza tongoza ovyo yaani kila...
  12. M

    Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini! Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi. Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
  13. Mabraza mliooa, mnaweza tupatia ushauri gani sisi ambao tunataka kuoa?

    Wakuu habari. Moja kwa Moja kwenye mada. Mabraza mliotangulia kuoa, ni ushauri gani mfupi mnaweza kutupatia sisi ambao tunatazamia kuoa hivi karibuni? Vitu kama umri wa kuoa, kushare mishahara na mke, kujenga nyumba na kuandika majina yenu wote, kuchanga na kununua gari, kurudi home mapema au...
  14. Hivi inaingia akilini mwanaume kuheshimu madanga ya mkeo?

    Wana harakati habarini wote. Jana kijua kilitoka kidogo ikabidi nitoke niote jua nje kidogo maana nilikuwa nimetulia house siku nzima sikwenda job. Sasa nikiwa nasukuma draft na jamaa wawili watatu wa kunipita umri kama kaka hivi. Wakati tuna tia stori mmoja akawa anatujuza anapenda mke wake...
  15. Wanawake: Mambo yanayopelekea mwanaume apoteze kujiamini, na kuamua kuvunja mahusiano

    Kwenye mahusiano,Kuna wanawake wengi ambao wanaumia kwakua wanaume wao wamepoteza kujiamini. Mwanaume anapopoteza kujiamini mara nyingi anakua na Gubu, anakasirika vitu vidogo vidogo, anakua na wivu sana kwani hujiona kama vile hatoshi hivyo kuogopa kusalitiwa au kuachwa. Hii humuumiza mwanaume...
  16. Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

    Naomba kuelimishwa jamani, hivi kwa sheria za Tanzania mwanamke anaweza kumbaka mwanaume? Soma pia: 1) Binadamu wa kwanza duniani KUBAKWA ni Mwanaume, na wakwanza KUBAKA ni mwanamke! 2) Hivi kuna sheria inayomruhusu mwanaume kumshtaki mwanamke kwa kosa la kumbaka/raping? 3) Marekani...
  17. Utofauti uliopo kati ya mwanaume na mwanamke katika hisia za kimapenzi

    Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia inasadikika hakuna kitu ambacho kina nguvu sana kama mahusiano ya mapenzi, hata hivyo kutokana na nguvu hiyo ya mahusino, watu wengi hufikiri mwanaume ndio ambao wanaathiriwa kwa kiwango kikubwa na nguvu hiyo. Watafiti wa masuala ya mahusiano...
  18. Tabora: Mwanaume amuua Mke wake na kuhukumiwa miaka minne jela. Hii ni mara ya pili kuua Mke na kuhukumiwa

    AFUNGWA MIAKA MINNE KWA KUMUUA MKEWE: Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imemuhukumu kutumikia kifungo cha kwenda jela miaka minne Lameck Essau Meza mkazi wa Sikonge mwenye umri wa miaka 38 baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua bila kukusudia mkewe Dafroza Paul. Akisoma hukumu hiyo Jaji...
  19. F

    Ukweli mchungu: Mwanamke ama Mwanaume kama huna hela wewe ama Wazazi wako utaoa/kuolewa na maskini mwenzako

    Habari wadau. Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke mwenye kipato kama chake ama amzidi yeye mwanaume kipato.. maana watu wanapenda sana kuvuna...
  20. Fahamu haya kama unajiandaa na ndoa au tayari upo katika ndoa

    ★1. Ukitaka ambacho hakijamilikiwa na mtu yoyote ni lazima ufanye jambo ambalo halijafanywa na yoyote. ★2. Mungu akitaka kukubadili hukuletea mtu na shetani akitaka kukuangamiza pia huleta mtu. ★3. Bora Uishi mwenyewe kuliko kuishi na mtu ambaye si sahihi katika maisha yako. ★4. Kuoana kabla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…