Mwanaume ukiweza kuwa mtanashati na smart utawakimbiza zero brain

Copa Cabana

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
1,025
2,000
Wakuu Kwema!...

Tatizo la sisi wanaume wengi tunajishusha na kujidharau wenyewe mwisho kukosa dira ya mwanamke unayemtaka. point yangu hapa ni unadhifu na umaridadi wa akili na hata mwonekano jinsi unavyo kutana na mwanamke.

Amna kitu kitakushusha kama kutongoza tongoza ovyo yaani kila mwanamke vinuka mkojo na chupi vyote unatongoza tongoza na wale wanuka matako na wavaa mawigi unatongoza yaani hii system ya kila demu unachukua namba inashusha hadhi kabisa.

Ishi ifike mahali mwanamke akuogope fake fake uwezavyo hata kama huna kitu halooo ukijaribu tu utafurahia yaani hadi wale watoto wa ma DED utakula wale wanaotafutiwa waume na shangazi zao wa TRA lazima uwale na mtaji utapewa na harusi fake ya uongo utafanyiwa.

Amna jambo zuri kama kujiupgrade kwenye maisha even uko chini sasa unavo vaa, gari unayoendesha, msosi, unapolala hata iwe room na sitting room lazima wale wanaodharau wanaume vibarua vya ujenzi au konda au muuza kahawa wakuogope wewe tena wakikuona wanajishutukia.

Usiwe mrahisi wa kuhonga honga yaani kuhonga achana nayo mzee yaani point kubwa ni kuwa wanawake hawapendi mwanaume anayejipenda yaani ukila vizuri, ukilala pazuri, ukiwa ni mtu wakujijali mambo yako extra hasa hawa vinuka mkojo hawatakupenda watakuogopa balaa, ukiona wale wanaume washamba wachafu chafu wanawake ndio saizi yao sasa.

Wanapenda mwanaume mshamba ili wampune vizuri ukiwa na pesa afu ukawa mshamba utakuwa chaguo lao wengi. mfano ukienda hoteli lipa bili ule naye sahani moja na nunua chupa moja ya hennesy unywe nae mimina kwa glass ingine iliyobaki kwenye chupa weka kwenye gari.

Wanaume siku hizi hatujiamini ndio maana hawa viumbe wanatupanda kichwani. yaani ukishajiamini ni basi wakuu. hata kama mwanamke yeye ni malkia lazima uishi na ufanye akuogope asikuone kawaida kawaida .

1622121945763.png
 

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
16,359
2,000
Mwanaume aliyekomaa haishi maisha yake kwa kuwavutia wanawake bali.....maisha yake ndio yanayowavutia wanawake......

Maisha ya mwanaume yanayomvutia mwanamke yanajumuisha vitu vingi sana vikiwemo vitu vikuu vitatu........

1) Muonekano
Hii inajumuisha kwa kiasi kikubwa usafi wa mwili na utanashati wa mavazi utakaokupa muonekano wa kiume......hii inatokana kwa jinsi unavopangilia mavazi yako kulingana na nyakati au tukio......

2) Maongezi
Mwanaume unatakiwa uwe na stara ya maneno kulingana na mazingira yaliyokuzunguka.....unatakiwa ubongo uchanganue kwa haraka wakati gani wa kutoa na neno na wakati gani wa kusikiliza.....na unapolazimika kutoa neno liwe neno la mantiki na sauti ya kimamlaka kutoka kwa mtu anayejiamini......

3)Uchumi
Hii haimaanishi uwe na utajiri la hasha bali na kazi au biashara inayokuwezesha kujitegemea na kujikimu mahitaji yako ya kimsingi huku ukiongeza juhudi kwenye kukua kiuchumi kulingana na malengo yako......hii itakufanya uwe bize na kuwa muwajibikaji........

nb;
Aina ya maisha yako ndio inavutia watu wa kufanana nawe.....
 

kitaboy

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
310
1,000
Dont use your money to invest in woman, use your to invest in yourself then woman will follow you back.

Mtu kapata laki mbili hajafanyia la maana kwake anaanza ooh baby uko wapi? Nataka nikuletee zawad anachukua 150,000 anamtumia akidhan ndio apendwe kumbe anakosea.

Chukua hiyo hela tafuta duka zuri vuta suruali zako nzuri, kiatu au raba saafi, shati/tshirt saafi, marashi amaizing kisha pendeza (watakufuata wengi wazuri kuliko unavyomhonga huyuo anaeliwa na wanaume wanaojiwekeza kwao wenyewe).

Invest in yourself kwa kufanya business zako za kuzalisha, mwanamke akijua tu una project ya kuingiza kipato chako automaticaly anataman kukupa kei.

Invest yourself kwa kupanga nyumba nzuri au jenga kibanda chako kizuri, ile unaishi pazuri hawa akina delila wakijua tu tayar wanalegeza mkanda wa ufito wa chupi

Invest in yourself kwa kusukuma ndinga yako, kama umekaa kujiona kidume cha kuhonga we honga tu, ila ukwel aliye nunua gari lake wanajua wepesi wanaoupata kwa hawa viumbe, yan mwanamke hata kama ana gari lake akiona mwanaume ana gari anataman lile la mwanaume na anamtaman mwanaume.

Invest in yourself ni watalaam wa mahusiano wanashauri hivo na wameendika vitabu kibao kusisitiza hilo, sie wabongo tunaonaga kuhonga ndio kipao mbele, niamin mwanamke atamuwaza, atamuheshim mwanaume wa kufanya hayo niliyosema hapo juu kuliko mhongaji.
Unamhuonga ila muda huo huo ananiwaza mm ninae wekeza kwa ajili yangu (invest in yourself first).
 

Eliclassic

JF-Expert Member
Aug 15, 2019
3,361
2,000
Dont use your money to invest in woman, use your to invest in yourself then woman will follow you back.

Mtu kapata laki mbili hajafanyia la maana kwake anaanza ooh baby uko wapi? Nataka nikuletee zawad anachukua 150,000 anamtumia akidhan ndio apendwe kumbe anakosea.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom