mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Inashangaza sana kuona mwanaume eti anaogopa kuoa

    Hivi hawa wanaume wanaohamasishana eti kataa ndoa ni wanaume kweli? Hivi mwanaume rijali kabisa anaweza kuogopa kuowa? Ukiwasikiliza sababu zao eti wanaogopa kuchapiwa. Poleni sana dada zangu mna changamoto kubwa sana kwa aina ya wanaume wa sasa.
  2. JamiiForums Tanzania Ishara gani za Kisaikolojia ukiziona zinamaanisha leo Mkeo / Mpenzi wako anaenda kukusaliti kwa Mwanaume mwingine?

    Kazi yangu Kubwa leo katika Uzi huu ni Kusoma tu Comments zenu ili nizichakate na nikizielewa na kuziamini Mwanadamu wa Kike ambaye niko nae akirejea Kesho Asubuhi apande Basi la Kimbinyiko arejee mazima Kwao.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mbali na kujipendekeza kwa kiwango cha juu kabisa, bado hatutakiwi! Tufanyeje?

    Makazi na mashamba tunatoa umilki kwake, ila kwake sisI hatutakiwi kugusa! Umeme unashusha bei mpaka kiwango cha maumivu kwa watoto wetu' lakini aah wapi! Tukasema hiyo isiwe noma! Basi tukafanya hivii, tukienda kukopa, tutagawana naye pasu ingawa nyumbani kwetu inawatoto wengi, hatukujali...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwanaume kuna raha jamani, yaani miaka 93 anaoa mdada miaka 24?

    Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako! Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo. Lkn midume inaendelea kula mzigo na kuoa kama kawaida mpka siku atakayokwenda peponi.
  5. JamiiForums Tanzania Chakula Bora kwa Uzazi wa Mwanaume

    Kula mlo wenye afya na kufanya mazoezi ya kutosha kunasaidia kuweka mbegu za kiume katika hali nzuri. Kwa hiyo ikiwa mnajaribu kupata ujauzito, sasa ni wakati mzuri wa kufikiria kufanya mabadiliko mazuri ya maisha. Ni mlo gani wa afya unahitajika kwa baba mtarajiwa? Chakula cha baba mtarajiwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kubeba vitu vyote vya ndani kwa mwanaume

    Habarini wana Jamii Forums! Kwa wanao fahamu maisha ya Dar ... kumkutaa mwanamke mwenye mtoto stendi pamoja na mabegi yake na hana pa kwenda ni jambo la kawaida! Kuna mwamba hapa alitokea zake kwenye mizunguko akafika rangi tatu pale ( mbagala zakiem ) kutokana na uhaba wa usafiri hasa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume mzima kumkuta akiwa Serious na Katulia kabisa anasikiliza Simulizi za Veronica Frank wa EFM Radio ni Aibu mno

    Mwanaume uliyekamilika unatakiwa ama Kusikiliza BBC Dira ya Dunia au DW au Kutizama / Kusikiliza Habari, Kuangalia Mpira ( Fabo ), Kutongoza sana Mademu ( Migoma ), kujua zilipo Gesti na Loji Mpya, Kubishana Mambo ya Siasa, Mpira au Madili, kuwazia Kuzamia kwa Ramaphosa au kwa Biden au kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya Wanawake wanapenda ile harufu ya sigara mwanaume akivuta lakini hawapendi avute sigara!

    Nimekuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti walevi, wavutaji na wengine hawavuti sigara ila wengi wao wanasema wanapenda harufu ya sigara nikivuta but hawapendi nivute sigara! Hivi hii inakuwaje wadau?
  9. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani mtu mzima (Mwanaume) anaweza ingia katika chumba Cha Makahaba na jinsi kilivyo kichafu na kidogo?

    Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja . Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali . Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume mzima unaishi Nyumba ya kupanga?

    Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kuna 'Irene' mwenye mwanaume mmoja kweli?😜

    hawa wanawake wenye majina ya Irene.. ni kwikwi.😎😎
  12. JamiiForums Tanzania Sifa za mwanaume

    1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume, hivyo anakuwa hana sifa za: a. Ushoga b. Vijembe c. Umbea d. Kususa e. Kusuta f. Kupoteza muda kwa visivyomhusu g. Umario h. Kusimanga mwanamke ingali alizaliwa na mwanamke I. Kumdharau single mother ingali anajua nae kakataa mimba ya mtoto wa MTU, kakataa...
  13. JamiiForums Tanzania Dira2023 Kwa Mabinti na Wanawake; Jipe thamani: THAMANI yako haitokani na Mwanaume

    DIRA2023 KWA MABINTI NA WANAWAKE; JIPE THAMANI; THAMANI YAKO HAITOKANI NA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Kuhani! Na huu ndio ujumbe wenu, enyi mabinti na Wanawake. Hii iwe ndio dira yenu. Jipe THAMANI! Na katika thamani hiyo elewa kuwa sio lazima itokane na Sisi wanaume. Ninyi ni Wake...
  14. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

    Yaani kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenzi) I feel safe. Aisee, tupendane tu maana hakuna namna. Yaani hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama huna pesa kila message ikiingia moyo unadunda

    Wasalamu, mwanaume kama huna pesa huna tofauti na gari isiyo na mafuta. Mwanaume ndie ATM ya familia. Yaani ukiona tu message yeyeto tu imeingia kwenye simu kabla ya kufungua tu simu uisome mawazo elf 10 yashakujaa kichwani, unawaza uenda ni message ya mwenye duka,marejesho ya mkopo,kodi...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kipi cha thamani kwa mwanamke kati ya kitanda na mwili wa mwanaume?

    Tunapoelekea mwisho wa mwaka, nikaona nijaribu kuleta kwenu hii hoja ambayo imekua ikiibuka Mara nyingi hasa Kwa wanandoa wanaume. Hapa naongelea Mme ameoa, anaamua kuchepuka anasema hawezifanya hicho kitendo na mwanamke mwingine kwenye Kitanda anacholalia na Mke wake. Sasa kama unamheshimu...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke andika neno BLUETOOTH, mwanaume reply CONNECTED, mwanamke kama umemwelewa jamaa reply SUCCESSFFULLY

    Tutapata date za kumalizia mwaka, haya twende kazi... Sema JF Bluetooth ziko chache sana
  18. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana halisi ya mwanaume ni kichwa cha familia

    HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo; i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo. ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya leo, sishauri mwanaume aoe mwanamke asiyekua na elimu ya walau diploma

    Achana na mama zetu wale wa miaka ile ya zamani ambao wengine hawakusoma kabisa ila maisha yalikuwa poa tu kwa upande wao. Nazungumzia hawa wanawake wa kizazi hiki wasiokua na elimu ya walau Diploma, yani wana reasoning capacity ndogo sana kiasi kwamba huwezi kukaa nao ukajadili core issues za...
  20. JamiiForums Tanzania Hamna mwanamke anayeweza kumvumilia mwanaume asiye na pesa kwa miezi sita

    Hamna mwanamke awezaye kumvumilia mwanaume asiye na hela, ukiacha alete msosi nyumbani, lazima akupande kichwani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…