Mwanaume usipokuwa na msimamo utaendeshwa na mwanamke mpaka dunia utaiona chungu

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Ukiona mwanaume yeyote analalamika kuhusu mwanamke hamuelewi, mara ohoo nipo sipewi unyumba, mara ohoo mwanamke wangu kabadilika

Nasema ivi mwanaume mwenzangu unapokuwa na mahusiano na binti yeyote jifunze kuwa na msimamo lakini ukijifanya lava lava boy kila kitu sawa babe utaendeshwa mwanamke mpaka dunia utaiona Chungu na mwanamke atakudharau mno nina mifano kibao ya watu wa karibu wamefikia hatua saivi

Akitoka kazini anaona bora achelewe kurudi nyumbani kukwepa kelele za mke

Yupo mwingine kakimbia nyumba kamwachia kila kitu mkewe kaamua kuanza upya

Yupo mwingine ukitaka kufanya nae dili la pesa hawezi kufanya mpka amuulize mkewe na mkewe akikataa basi dili halifanyiki

Yupo mwingine anaogopa hata ndugu zake wafike kwake ila ndugu wa mkewe wanafika

Na mengineyo mengi lakini haya yote ni kutokuwa na msimamo
 
Hivi inakuawaje mwanamke anamnyima unyumba mume wake....? Wanakua kwenye ugomvi au vp...Hilo swala mm ndo siliwezi kabisa akitaka muda wowote mm nampa tu.
Everything starts from the book, Adam hakuongea na shetani bali Eva/ Hawa.

Lango la shetani ni kwa mwanamke, inahitajika nguvu za Mungu kuvuka salama.
 
Ukiona mwanaume yeyote analalamika kuhusu mwanamke hamuelewi, mara ohoo nipo sipewi unyumba, mara ohoo mwanamke wangu kabadilika

Nasema ivi mwanaume mwenzangu unapokuwa na mahusiano na binti yeyote jifunze kuwa na msimamo lakini ukijifanya lava lava boy kila kitu sawa babe utaendeshwa mwanamke mpaka dunia utaiona Chungu na mwanamke atakudharau mno nina mifano kibao ya watu wa karibu wamefikia hatua saivi

Akitoka kazini anaona bora achelewe kurudi nyumbani kukwepa kelele za mke

Yupo mwingine kakimbia nyumba kamwachia kila kitu mkewe kaamua kuanza upya

Yupo mwingine ukitaka kufanya nae dili la pesa hawezi kufanya mpka amuulize mkewe na mkewe akikataa basi dili halifanyiki

Yupo mwingine anaogopa hata ndugu zake wafike kwake ila ndugu wa mkewe wanafika

Na mengineyo mengi lakini haya yote ni kutokuwa na msimamo
Mbona huo msimamo hujaufafanua?
 
Most of them hawana
Nishadate na mwanaume kila kitu ni ngoja nimwambie mama kila kitu mama
Sio kwa ubaya ila inachosha
Msimamo ni zeroooo
darlings umenikumbusha mama's boy mmoja tuliachana ndani ya miezi miwili,
He can't do anything for himself bila Mama ku approve,
Kumkuta mpaka satano za usiku anaongea na mama yake ni kawaida, na hapo walishaongea siku nzima,
alikuwa kijana wa pekee kwa mama yake..
Nikajionea woooii ya nini mie..!
 
Nacheka kama mazuri ila hako kangu kalikua hadi kanaishi na mama yake
Unaweza kupiga simu akakwambia subiri nimempa mama simu wtf!!!! Nkabidi nitafute utaratibu mwingine tuu…
 
Back
Top Bottom