Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Bi dentamol

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
987
1,912
Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena

Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenzi wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.

Nanukuu
Kwanini unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.

Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.

Je, nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndani sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.
 
Nikuulize!!!

Unaweza vipi kusema huyo Mume wako anachart na Wanawake lakini hafanyi nao Mapenzi?

Nikushauri tu..Punguza kumwamini mtu sana...Ikiwezekana hata kivuli chako usikiamini kiasi hicho.

Huyo Mumeo ana mambo yake pengine huyajui,au unayajua kwa vile unampenda...Unavumilia...

Ulivyomuuliza huo ujinga wake ni kama umempa kisingizio na sababu ya yeye kujihalalisha na huo ujinga wake...

Mwisho ila siyo mwisho kabisa:Nikupe pole Mwanamke mwenzangu..Mimi sinaga ushauri kwa Wapendanao...lilishaga nipata jambo...Nilikoma.
 
Nadhan haujanielewa nimeandika kwa madai yake anachati nao tu
 
Ila familia yenu Ina majibu sio mchezo.
Screenshot_20220711-164912.jpg
 
Kama ulivyomvunja confidence yake basi jaribu kuijenga tena. Anzia mbali kwa msg za mahaba akiwa kazini, kumwambia jinsi gani umemmiss hiyo miezi minne. Epuka lawama na kukumbushia madhaifu yake, taratibu atakuomba utamu.

Asilimia kubwa wanaoamini wana upungufu wa nguvu za kiume kiuhalisia ni kukosa kujiamini tu. Hata wanaume wengi tukijichunguza kuna sehemu tunapiga show mpaka wenyewe tunajishangaa na kwingine ukienda unaweza nyonywa hadi ubongo na ngoma isiinuke. Hii yote huchangiwa na maandalizi ya kisaikoloji baina ya wenza na mapokezi kabla ya tendo.

Unakuta li mwanamke toka upo kazini anafululiza msg za malalamiko tu. Ukirudi nyumbani limekaa mbele ya tv hata habari na wewe hana, kazi kujipiga piga kichwani sababu ya weaving chafu. Mkiingia chumbani ukaomba mzigo unasusiwa lenyewe hata habari halina, halafu unatarajia mtu achukue zaidi ya dakika 1.
 
Kwanza muombe samahan,, pia mwambie tu kuwa waga unaridhika ila tu ulimtamkia vile ili aache tabia yake mby ya kuchart na hao malaya wake baada ya ww kumuonya ila hasikii,, haikuwa kusdio lako,,ukiona amekaa sawa sasa jaribu kumutengeza ili akuridhishe kwene tendo,,,

Jaribu kumwambia ili uridhike vizr mme fanya hiv na hiv ww unavyojifeel,,, maana hakuna mtu yyte atakae kuja kukusaidia ili ww ulidhike nje na ww mwenyewe... pengne labda uanze kuchit,, na sikushuli uanze huu ushetan wa kuchit nje ni mbaya sana,, inawezekana kabisa ukamfanya mmeo akakuridhisha kabisa kupitia maneno yako utakayo mwmbia....
 
Kama ulivyomvunja confidence yake basi jaribu kuijenga tena. Anzia mbali kwa msg za mahaba akiwa kazini, kumwambia jinsi gani umemmiss hiyo miezi minne. Epuka lawama na kukumbushia madhaifu yake, taratibu atakuomba utamu.
Kuna kitu kinaitwa hasira sugu, mtu uliyemwamini atakuheshimu, atakulinda, atakupenda akaja akakudharau na kukuonyesha una udhaifu hakika hutakaa umpende by whatever means, huyo anabakia sawa na wale uliowaacha wakati wa kuchagua "...unajisemesha kumbe na huyu yuko hivi!!!!"
 
kwanza muombe samahan,, pia mwambie tu kuwa waga unaridhika ila tu ulimtamkia vile ili aache tabia yake mby ya kuchart na hao malaya wake baada ya ww kumuonya ila hasikii,, haikuwa kusdio lako,,ukiona amekaa sawa sasa jaribu kumutengeza ili akuridhishe kwene tendo
Kimsingi ameshahisi mkewe amemlinganisha na mtu mwingine nje ya yeye
 
Nikuulize!!!

Unaweza vipi kusema huyo Mume wako anachart na Wanawake lakini hafanyi nao Mapenzi?

Nikushauri tu..Punguza kumwamini mtu sana...Ikiwezekana hata kivuli chako usikiamini kiasi hicho.

Huyo Mumeo ana mambo yake pengine huyajui,au unayajua kwa vile unampenda...Unavumilia...

Ulivyomuuliza huo ujinga wake ni kama umempa kisingizio na sababu ya yeye kujihalalisha na huo ujinga wake...

Mwisho ila siyo mwisho kabisa:Nikupe pole Mwanamke mwenzangu..Mimi sinaga ushauri kwa Wapendanao...lilishaga nipata jambo...Nilikoma.
Mbona wewe unamwamini sana yule Mr.wako wa JF?😁😁😁
 
Back
Top Bottom