IGP Sirro: Kina dada kuweni makini si kila mwanaume ni bora wa kuishi naye

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ameendelea kukemea na kulaani vitendo vya mauaji vinavyotokana na wivu wa mapenzi ambavyo vimekuwa vikitekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi.

“Ukiona mwanamke amekuzingua si unaachanana naye tu, kina dada angalieni wanaume mnaotaka kuishi nao si kila mwanaume ni bora wa kuishi naye, hivyohivyo kwa wanaume angalieni aina ya wanawake mnaoishi nao,” Sirro

IGP Sirro amesema hayo, wakati akiwa eneo la Migori Mkoani Iringa alipokuwa akizungumza na wananchi wa eneo hilo.
 
Watu wenyewe ndio nyie mnaotegemewa kwenye kuifikia Tanzania ya viwanda,unaamka unawaza kuloweka..kuloweka hoyee
Amejibu kulingana na muktadha....usijifanye serious mkuu kuna muda wa utani hasa kwenye mada kama hizi
 
Mwanaume ukisikia Mwanamke anakuambia kwani Mwanaume ni wewe peke yako...na ameshatumia pesa zako, tafuta mahali penye duka la silaha...utafute bastola nzuuri ya kubeba risasi 10 hivi itakusaidia.
ngumu kumesa babake
 
Back
Top Bottom