mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Museveni asaini muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja

    My Take: Vikwazo vikiwekwa watakaoumia ni nyasi wala sio kina Museveni, so watu wawe tayari kwa matokeo. -- President Museveni has signed the anti-gay bill into law following improvements adopted to make it tougher for people engaging in LGBQT. "President Museveni has executed his...
  2. Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

    Hellow africa Acheni sifa ambazo wengi mnazibeza kuhusu wanaume wa dar japo nyingi ni za uongo msingekuwa mnatoka mkoani kuja kufwata penzi dar Il uwe mwanaume wa dar must having money Sifa za mwanaume wa dar Kwaza tupo smart kuliko kawaida na wasafi sana yaani tunapiga pamba kali af kwa bei...
  3. S

    Huko tuendako akina dada kumpata mwanaume hata wa kumsalimia tu itakuwa ni shida

    Kijenetiki watoto wa kiume na kike huzaliwa kwa idadi sawa, lkn watoto wa kiume hufa wengi kabla ya kufikisha miaka 5. Watoto wa kiume wakiwa wakubwa wengi huingia kwenye kazi ngumu au hatarishi (mfano migodini, vitani, etc) na kupoteza maisha. Kanuni ya kula kwa jasho huwafanya wanaume wengi...
  4. R

    Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu.

    Habari jf mimi nina umri wa miaka 40 sasa, ni member wa jf mda tuu ila nimekuja na id hii mpya kuleta kisa changu kilichonikuta na uhamuzi niliochukua. Mimi ni mmoja wa wapondaji sana wa single mother humu jf coz yalinikuta mwenzenu. Nitajitahidi kuelezea kwa ufupi. Mwaka 2009 nilikutana na...
  5. Nimeamini Mwanaume ukiwa Handsome kuna hatari 5 zinaweza kukukuta na ukapoteza mwelekeo wa maisha

    1. Kuanguka kwenye uzinzi na uashareti na wanawake wa ovyo na kupelekea kupata mikosi ya kila namna. 2. Kupata kesi za mimba na watoto usiowatarajia kutoka kwa wanawake unaolala nao. 3. Kwenda jela kutokana na vurugu za wanawake. 4. Kufa mapema au kutendewa vitendo vya aibu kwa kutembea na...
  6. Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

    Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe...
  7. Hakuna mwanamke wa kufa na mwanaume mmoja wala mwanaume wa kufa na mwanamke mmoja

    aAshampoo jana nilienda kusuluhisha ndoa fulani huko sasa wakaniuliza ashampoo kama mjomba una ushauri gani nikajibu hakuna wakufa wa ndizi moja wala wa kufa na kitasa kimoja mvumiliane tu mrudiane. Sijui walinielewa hakunielewa nikakaa kimya Nisipotezee muda sana nataka niwahi...
  8. SoC03 Jinsi ya kuepuka kupata watoto wenye ulemavu au kupata watoto haraka kwa mwanamke tasa au mwanaume mgumba

    It goes down in one word! ZINC... Kwa utafiti ambao nimeanza kuufanya, matokeo ya awali yanahusisha utasa au ugumba na upungufu mkubwa wa madini ya zinc mwilini. Pia matokeo ya awali yanahusisha upungufu mkubwa wa madini ya Zinc na uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye ulemavu wa kudumu. Upungufu...
  9. Serikali Inatambua kuwa Ndoa ni kati ya Mwanaume na Mwanamke

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - SERIKALI INATAMBUA NDOA NI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro imesema kuwa inatambua kuwa ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke. Hayo yamesemwa leo Mei 22,2023 Jijini Dodoma na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk...
  10. Mwanaume ukioa Mwanamke aliyekuzidi umri utajuta na kuteseka sana

    Kwa utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya mitano japo utafiti huu si rasmi nimegundua wanaume wengi wanaoteseka kwenye ndoa ni wale waliozidiwa kiumri na wake zao. Yaani wanaume waliozidiwa umri na wake zao kiuhalisi hawana kauli ya utiisho mbele ya wake zao, hawana maamuzi ya peke yao...
  11. Kwa wanandoa tu: Hivi mwanaume ( baba wa familia hula chakula cha siku anachokipenda yeye mwenyewe au anacho/ atakacho kitaka mke wake?

    Bila shaka title inajieleza, Najua wanaume wengi ni watafutaji, mara nyingi warudipo nyumbani hukuta chakula tayari kimekwisha kuandaliwa na msimamizi mkuu ni mama ( mke). Swali, je, nikweli huwa mwanaume unakula chakula unachokitamani kwa siku hiyo? Mara nyingi akina mama hata Kama...
  12. Dar: Ajaribu kuwakimbia polisi lakini aishia kukamatwa

    Hii imetokea mtaa wa Lumumba, haifahamiki kulikuwa na nini? Jamaa walikuwa wamekunjana kama ugomvi katikati ya kundi la watu. Hamadiii, difenda ya polisi yawasili na askari kuanza kupiga risasi hewani. Jamaa mmoja (mwanaume wa dar ) anakamatwa na kuanza kula makofi kisha anapakiwa kwenye gari...
  13. Mwanaume ukiwa na pesa wanawake wote ni single

    90% ya wanawake huwa wanakuwa single mwanaume akiwa na mtonyo. Taarifa fupi ni hii.
  14. Mwanaume, Mungu akikupa uhai mpaka unafikisha miaka 35 hakikisha uwe na familia. Fedha si kitu

    Ndugu zanguni, maisha yanakwenda kwa kasi sana, na hatujui ya mbele yetu ni nini, yanaweza yakawa mazuri au mabaya japo katika kanuni ya maisha hatutakiwi kujitabiria mabaya. Katika mazuri kunakufanikiwa kimaisha, kiuchumi, kifamilia, elimu na afya njema lakini katika mabaya nayakusikitisha kwa...
  15. Hakuna Mwanaume anayependa Ukaribu na Jinsia ya Kike na sio Malaya

    Fanya tafiti na anza na kujitafiti wewe Mwenyewe. Iko hivi. Twende moja kwa Moja kwenye mahusiano kati ya Mwanaume na Mwanamke ambao wapo kwenye rika linalo endana, wewe mwanaume unaweza tongoza yani anafaa kwa Kilimo cha mbogamboga. Binafsi huwa siwezi kabisa kudumisha urafik na mwanamke...
  16. Mwanamke kupata mimba pasipo ridhaa ya mwanaume liwe kosa la jinai

    MWANAMKE KUPATA MIMBA PASIPO RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI. Anaandika, Robert Heriel Sisi kama wanaume tumekubali kabisa kuwa Kufanya ngono na Mwanamke Chini ya miaka 18 hiyo itahesabika kama Kosa la JINAI, Kwa jina la Ubakaji, bila kujali hiyo Binti alifanya Kwa ridhaa yake au Kwa...
  17. SI KWELI Mwanaume mmoja aokolewa kutoka kwenye kifusi miezi mitatu baada ya tetemeko la ardhi nchini Uturuki

    Picha moja iliyosambaa mtandaoni – ikiwemo hapa JamiiForums – inamuonesha mwanaume mmoja akiwa katika hali mbaya ya kiafya. Maelezo katika picha hiyo yameandikwa kwa lugha ya Kiarabu yakieleza: “Kutoka tetemeko la ardhi la Februari 6, leo ametolewa chini ya vifusi huko Antakya, Uturuki hai na...
  18. M

    Mwanaume kumtegemea mwanamke kiuchumi ni ujinga mwingine

    Naandika haya hii asubuhi kwa sababu ya tukio nililokutana nalo asubuhi stand, nimetoka zangu ubaruku- Mbeya narudi zangu jombe, nikiwa naingia kwenye gari ya abiria nimekutana na rafiki yangu yupo na dada mmoja ambaye wayback alikuwa mteja alinijumlishia sana michele, baada ya stori za hapa na...
  19. Ewe mwanamke, ukigundua mme wako kapata mtoto huko nje na huna mpango wa kuondoka kaa kimya usimuulize, Ukweli utamuweka huru mwanaume sio wewe

    Hasa kwa wale vinganganizi kutwa nzima kufatilia kama mwanaume ana mtoto nje, ukiupata ukweli ujipange kisaikolojia!! ni heri ukae kimya umwache mme wako kama alivyo wewe kaa kimya tu maisha yaendelee (1) Mwanzo alikua anawasiliana na huyo Mama wa mtoto kimya kimya,hakutaka ujue, alikua...
  20. Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

    Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu. Mwanaume anayefanywa nyuma na mwanamke anayefanywa kinyume nyume wote ni walewale, yaani wote ni mashoga. Kama mwanaume na akili zako timamu unaweza kumfanya mwanamke kinyume na maumbile usiwadharau mashoga wa kiume, hao pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…