mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Siwezi Kutoka na Mwanaume asiye na Hela!

    WANAWAKE, kila unapohisi na kutaka mwanaume akupe pesa au akununulie kitu lakini hana uwezo wala fedha , na ukashawishika kusema MWANAUME AMEFULIA au ANAUMI-MI, Jipige kifua chako na ujiambie: “HAPANA, MIMI NDIYE NIMEFULIA KWA SABABU SIWEZI KUMUHIDI NINACHOTAKA BINAFSI..” MWANAMKE tanguliza...
  2. Brojust

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unatakiwa ule nini ili utoe shahawa za twins au triplets, Je, kisayansi vyakula gani pia mwanamke inabidi ale

    Kuna mfanyakazi wa azam amezaa mapacha wanne. Madaktari na wanasaikolojia, Mimi na wana jamiiforum wenzangu tumesubscribe uzi na tuna popcorn tayari kusikiliza majibu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

    Hello wakuu, Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata mawasiliano. Wiki 3 sasa nikimpigia hapokei, sms hajibu. Nimehangaika, nikaongea na dada na kaka yake...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Baki na chako mwezi December, ni kipindi cha kuwa single Kwa wanaume

    Nawapa mbinu ya kimafya, Hii mbinu sitarudia tena kuitoa Ukipuuza usije unalia January Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu Kipindi hiki ndo utalipa nauli za kwenda Moshi Kipindi hiki ndo utamnunulia viwalo Kipindi hiki Watoto wake wapo likizo laZima uwatoe...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni jukumu lako Mwanaume kutafuta msaidizi wa kazi za ndani (Dada wa kazi)

    Kwanza hakikisha unampunguzia majukumu maana hutafuti mtumwa, nunua baadhi ya mashine mf. Mashine ya kufulia, zipo za laki 6 nzuri sana, mashine ya kudekia zipo za laki 4 nanusu nzuri sana. Ukiweza unaweza tafuta na yakuoshea vyombo ila hii si lazima. Pili tafuta mdada ambaye hata wewe...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Swali: Siku hizi kuna uchawi ambao unafanya mwanaume asiweze pata mwanamke?

    Habarini, Kuna issue moja nimeona among most men, comment ya Daniel mwasi na tit 4 tat wa JF, imefanya niandike huu uzi. Mwanaume unakuwa kimuonekano huna kasoro yoyote, pesa unayo, ila hutapata mwanamke hata mmoja wa kukuvulia nguo, labda ununue wadada wanaojiuza barabarani. Cha ajabu...
  8. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume hii unaweza kweli

    kama
  9. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania MWANAMKE MWENYE FUTURE YA MAISHA YAKE HAWEZI KUMKATAA MWANAUME ANAYEHITAJI KUMUOA.

    Nimewahi sikia eti MWANAUME ANASEMA WANAWAKE WANANIKATAA 👇 Rafiki mwanamke akupendae na mwenye Future Yake hakatai mtu. Labda kama anampango wa kuchuna mali zako. But real women 🚺 hakatai mwanaume. Hasa mwanaume anayehitaji kuoa So ukiona wamwambia mwanamke Nikuoe hataki mwache
  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Diva: Mimi sina muda wa kukaa chini kumfulia mwanaume. Brand yangu kubwa sana.

    Wakuu, Kwa hiyo wanaume wa Daslam huyu anayejiita Diva The Bawse ndo mmeshindwa kabisa kumtuliza na kumuweka ndani? Na hapa unakuta kuna mwanaume anampa huyu dada kila kitu kuanzia mafuta ya gari, kodi ya nyumba mpaka hela ya kusukia lakini kuinama kufua anaona ni adhabu. Wanaume wa Dar...
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke"

    Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke" hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu Unajisikiaje mbaba anakuja hapo jikoni anaku... halafu anakula na badaye anakula tena na tena Mnajazana UGALATIA sana...
  12. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Somo lingine la pesa na mwanaume

    Somo lingine la pesa na mwanaume. Jifunze kusikiliza mitetemo ya mawimbi ya nishati kati yako na mwanamke unayeanza naye mahusiano. Kuna wakati unaweza kujisikia mzito sana kumfungulia wallet yako mwanamke fulani. Usidharau kabisa hiyo nguvu inayokusukuma kusunda kibunda chako. Siyo kila...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanaume, lazima ujue lengo la kwanza la Mwanamke ni Mwanaume

    Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi nane sasa,mke ameenda masomoni mkoa mwengine kilomita zaidi ya 800,yupo busy na masomo Jamaa...
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Binti, usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa

    "Binti usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa, ukimpa hawezi kukuthamini ataona kama unampa kabla ya ndoa akiwa sio mume wako unaweza kumsaliti ndani ya ndoa kwakuwa huna msimamo na mwili wako, hakikisha unampa baada ya kukuvisha Pete ya ndoa kidoleni mwako"
  15. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye nguvu ni yupi?

    MWANAUME MWENYE NGUVU NI YUPI.? : Je ni yule anayenyanyua vyuma na kushinda gym? : Je ni yule anayejua kunyanyua silaha za moto nakuelekea vitani, Nakupigana vita vizuri? : Je ni yule mwenye nguvu yule Rasta wa kwenye biblia,ambaye alikua nanywele zimesokotwa mafungu 7,Aliitwa SAMSON...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Najua kila mtu ana fikra zake ila tukiamua kusimama na facts mwanaume anae mwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha

    Najua kila mtu ana opinion yake ila tukiamua kusimama na facts wanaume hasa wazinzi na wale wakujichua wanaomwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha. Wanaostahili kupiga 2, 3 na kuendelea ni wale ambao hawamwagi kila siku, ni kundi la wanaume walio bize na mishe, wanosafiri na hawana...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Huko CCM kuna mwanaume anagombea nafasi ya kundi maalum la wanawake Kibaha

    Wanabodi, Wakuu kuhusu salamu, nitaacha nafasi hapo chini kwa vijana wa UVCCM waje waweke wasalimie. Yaani kuna uroho wa madaraka alafu kuna uroho wa madaraka wa CCM Hiyo si kauli ni kauli ya Mwanamapinduzi hii na ofcourse inafikirisha sana. "Yaani mgombea mwanaume wa CCM anagombea nafasi...
  18. farfat

    JamiiForums Tanzania Mwanaume utathaminiwa kwa ulichonacho

    Wakuu Wala sina maelezo mengi, kichwa chajieleza. Jiweke mbali na mapenzi
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binti yangu, Kamwe usikubali kuishi na mwanaume anayekupiga au kukutukana matusi ya nguoni Kamwe!

    BINTI YANGU, KAMWE USIKUBALI KUISHI NA MWANAUME ANAYEKUPIGA AU KUKUTUKANA MATUSI YA NGUONI. KAMWE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sisi watibeli hatupigi Wake zetu, Wala binti zetu hawapigwi Wala kutukanwa MATUSI ya nguoni. Wala hatutishii kuwapiga, Wala wao hawatishiwi kupigwa. Na katika...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Eeh, ulisema wewe ni self made super woman glamorous independent mwanaume anipangii kitu

    ..jinunulie msosi sasa wonder woman.
Back
Top Bottom