mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta Ajira

    Msaidie mwanaume mwenzako

    Mwanaume akitoa chozi anadhihakiwa na wanaume wenzake lakini mwanamke akikunja uso tu wanaume wanaume wale wale waliomdhiahki mwanaume mwenzao wanamkimbilia uyo mwanamke kuhakikisha anatabasamu Mwanaume akiomba msaada kwa wanaume wenzake anadhalilishwa lakini mwanamke akipost picha tu mtandaoni...
  2. N

    Mwanaume kulelewa ni kujidhalilisha

    Mwanaume hakuumbwa kulelewa. Mwanaume ukikubali mwanamke akulee unajidhalilisha na utadhalilishwa utake usitake. Wanaume tafuteni vyenu acheni kupenda mteremkoo. Muoneni mwenzenu alivyodhalilishwa! Kwa kuangalia hii video unajua tu kua huyo bidada ndo anamlea jamaa! Nimemuone huruma huyo kaka...
  3. Natafuta Ajira

    Nyuma ya mafanikio ya mwanaume

    Hakuna mwanamke yoyote nyuma ya mwanaume mwenye mafanikio zaidi ya mama yake na uyo mwanaume. Mwanaume usidanganyike na huo msemo wa kijinga. Hata uyo mwanamke ambae upo nae nyakati za kujitafuta hawezi kuku-support kifedha au rasilimali yoyote. The only thing she will provide is sex and when...
  4. 888I

    Trump anaendelea kupinga na Mapenzi ya Jinsi Moja

    Rais wa zamani wa Marekani Bado anaendelea kukerwa na Mapenzi ya Jinsi Moja.
  5. Bushmamy

    Arusha: wafanyabiashara waliofumwa sokoni wakiwa wamenasiana Mwanaume amlipa mwenye mke million 3 kunasuliwa

    Kwa wiki nzima imetokea hali ya taharuki katika jiji la Arusha liliwaacha watu midomo wazi ,Baada ya Mwanaume mmoja kufumwa akiwa amenasiana na mke watu wakiwa wanafanya mapenzi alfajiri katika soko kubwa la vyakula la kilombero lililopo katikati ya jiji. Wafanyabiashara wa soko hilo...
  6. Tanzanian Dream

    Akili kumi za kumteka mwanaume

    kwny mada ya leo nitaongelea akili kumi za kumteka mwanaume,wanaume tunatekwa kwa mambo madogomadogo sana,sasa ili ndoa yako inoge,ni muhimu kumwelewa mwanaume wa karne ya 21 ni kiumbe wa namna gani, generation Y and Z zina some sort of complications,most men wrongly know what they want,so...
  7. Brain Kingdom

    Sijawahi kuona mwanaume anaependa kunyandua wanawake wengi akiwa mnene

    Shalom, Fuatilia kichwa cha habari ndivyo ilivyo uzoefu wangu ana wanaume wanyanduaji wengi wao hawanaga vitambi. Na wengi wao afya mgogoro. Karibu kwa mjadala na uthibitisho Ni hayo tu Wadiz
  8. G

    Hakuna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja au ni hulka ya mtu tu?

    Nataka kujua kuhusu hiki kitu ambacho kimenifanya nishindwe kabisa kuwaamini wanaume ,je ni kweli wanaume wameumbwa na matamanio kiasi cha kwamba hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja?
  9. Manyanza

    Shilole kila Mwanaume kwake ni mbaya

    "Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"- My take : Yawezekana...
  10. Dola Iddy Wa Chelsea

    Hakuna mwanaume mwenye kibamia

    Nimekuja tena mzee wa fact naanza kwa salamu habari zenuu !!!? Twende mbele turudi nyuma HAKUNA mwanaume mwenye kibamia , Early 1999s mpaka late 2009s hakuwa kabisa na haya mslalamiko kutoka kea wanawake hata wanaume wenyewe kuhusu udogo wa maumbile, Cha kushangaza 2015 mpaka SASA kuna kilio...
  11. Nyanda Banka

    WANAUME TUJIFUNZE KWA SAMUEL ETOOUkifanikiwa usitafute penzi jipya mkumbuke uliyeanza nae

    Pichani ni Samuel Eto'o akiwa na mkewe unaambiwa kabla Eto'o hajawa star mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa pesa ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza...
  12. A

    Wanawake washauriwa na mchungaji Christina shusho kuzaa watoto wachache na kupanga uzazi binafsi bila kumshirikisha mwanaume

    Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
  13. GENTAMYCINE

    Ni mbinu gani Mwanaume unaweza kutumia ili Usirogwe na Mkeo au Hawara hasa ukishamshtukia kuwa ni Mshirikina au anataka Kukutengeza / Kukuroga?

    Jamani nipeni tu hizi Mbinu haraka ili Nijihami mapema, kwani naziona kabisa dalili za Mimi Kutengenezwa / Kurogwa. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA...
  14. Nyanda Banka

    Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

    Taiwo amesema kitendo Cha kuoa kabla ya kupata pesa na umaarufu kimemsaidia sana katika maisha yake 👏🏿👏🏿 Kipindi ambacho naoa Kila mtu alimshauri mke wangu asiolewe na mm maana nilikuwa Sina pesa za kutosha kufanya jambo zuri Kwa ajili yake 😭😭lakini binti wa watu aliziba masikio na kusema...
  15. Brain Kingdom

    Kwanini mwanaume akiwa star anatamani muonekano na hulka za jinsia ya kike

    Shalom, Inakuawaje mwanaume anapojiona ni star katika fani mfano music, football, movie, Djs na etc hutumia muda mwingi kujibrand na muonekano wa kike mfano nywele, hereni, kujichubua, vipini, kusuka nywele na etc. Je, wanajukwaa tatizo ni nini ama chachu yake nini. Ni hayo tu Wadiz
  16. Bata batani

    Somo nyeti: Unapokuwa katika mahusiano na mtoto hakikisha anashidwa kukuelewa wala kukusoma wewe ni mwanaume wa aina Gani

    Ewe kijana wa kiume kama upo katika mahusiano na mtoto wa kike hakikisha anashidwa kukuelewa wala kusoma wewe ni mtu wa aina Gani iwe umeoa au hujaoa ....... Siku zote katika mahusiano wanawake huwa wana maswali mengi ambavyo wanapenda kusikia toka kwa mwanaume lengo ni kuweza kukufahamu...
  17. M

    Kila mwanaume anayepigwa tukio anakuja kulia lia humu. Huu uchuro!

    Kwanza ijulikane wazi kuwa namba unayoiona wewe ni 9, mwenzio akikaa upande mwingine anaiona 6. Kama mtu akiingia humu na kichwa chepesi, ataanza kuwachukia wanawake wote kwa visa vya humu ndani, ambavyo vingine ni vya kubumba. Kwa utafiti wangu rasmi, mwanamke anayepakwa matope humu JF ni...
  18. Saad30

    Furahia kuwa mwanaume

    Habari wakuu. Sisi WANAUME tumepewa mamlaka makubwa sana na mwenye mamlaka.Hivyo basi wewe ni mwanaume kwahiyo furahia kuwa hivyo kaka. Unatafuta pesa kwa akili nyingi ili Mama,baba,Mke,watoto na ndugu ili wapate msaada wako asee sio kazi ndogo kaka. Umetulia unawaza mambo yako unaskia simu...
  19. Dumuzii

    Mwanaume yeyote rijari asie penda kuwa kama mimi anyooshe mkono

    Ni hivi sijisfiii ila mimi mwenzenu napendwa jaman bila kutumia nguvu. Sihangaiki kuwa sifia na kujikomba kwao. Siwahongi hata thumuni zaidi ya kuwapa muda wangu na dudu ikitokea kumpa kitu basi nampa kama vile ambavyo ningeweza kuwapa wana wengine.. Kitu ambacho wanaume wenzangu hadi mhonge...
  20. Morning_star

    Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwa sababu za kiuchumi

    Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwasababu za kiuchumi alafu unaanza kulalamika na kulialia eti mke wangu kanikimbia!!! Ulitaka afanyeje? Mti ukimea kando ya kijito cha maji jani lake litakuwa bichi na utazaa matunda yake kwa misimu yake yote. Lakini pindi kijito kikikauka uwe na...
Back
Top Bottom