mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bulajunior

    JamiiForums Tanzania Mazoezi kwa mwanaume ni muhimu Sana kama unataka kumridhisha mwenza wako kwenye tendo!

    Nimeona nizungumzie hili wanaume wenzangu kama unahitaji mpenzi wako afurahie shughuli yako ya kitandani jitahidi kufanya mazoezi ili uwe mwepesi kuhakikisha unapumzi ya kutosha hivihvi jamani tutalaumiwa sana na tutapigiwa sana
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Dakika 15 za Upweke Golini: Simulizi ya Sam Bartram

    Mnamo Desemba 1937, wakati wa mechi ya mpira wa miguu huko Stamford Bridge huko London kati ya Chelsea FC na Charlton FC, mchezo ulisimamishwa katika dakika ya 60 kutokana na ukungu mkubwa. Kwa bahati mbaya, kipa wa Charlton FC, Sam Bartram, hakujua kwamba mechi ilikuwa imesimamishwa na...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Dunia haijawahi kuwa na huruma kwa mwanaume

    Ukiangalia historia ya maisha ya watu wengine waliotangulia utabaini kwamba maisha ya mwanaume siku zote huwa magumu sana.Mwanaume anaweza kuonewa huruma nyakati nne ,moja akiwa mgonjwa sana,mbili akiwa mzee,tatu akiwa mlemavu,nne akiwa majeruhi /akiwa na majeraha. Kinyume na hapo mwanaume...
  4. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye hekima hamwambii Mwanamke wake haya mambo mawili

    Maexpert wa kiume nawapa mchongo ambao wanaume wenye hekima tu ndio wanaielewa hii code Mosi, mwanamke wako hatakiwi kujua hisia zako za ukweli kabisa,yes you heard me! Fanya utakavyo fanya na ishi naye utakavyo ishi naye lakini mwanamke wako anatakiwa asikujue kabisa wewe ni mtu wa namna...
  5. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
  6. W

    JamiiForums Tanzania Fungua Milango ya Mafanikio: hizi ndizo njia kwa wanaume kujiondoa katika umaskini

    Pata Mwanamke Sahihi Sahau kuhusu slay queens na wanawake wenye sura na shape wasioweza kukuunga maono yako. Tafuta mwanamke atakayekuunga mkono kwenye maono yako na kukupa ahueni kwenye safari ya kusaka mafanikio. Mwanamke alie tayari kutimiza majukumu yake na yenu kwa pamoja, ni muhimu sana...
  7. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kuwa mwanaume si Kazi rahisi, zingatia haya kulinda UANAUME wako

    1.Epuka kukubali kuguswa na mtu ,iwe begani au wapi pindi mpo kwenye stori na vema wakajua kuwa huwa hupendi. 2.Epuka kukumbatiana na mwanaume mwenzio pindi mnasalimiana,hata kama mmemisiana muda mrefu. Labda kama ni Baba mzazi au mwanao,japo huwa sioni ulazima. 3.Epuka kuwa mwepesi wa kukopa...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke anayemsukuma!

    Wakati kundi la watalii lilipotembelea shamba la mamba, mmiliki wa eneo hilo alizindua shindano la ujasiri, kwa kuwaambia wageni waliohudhuria kwamba.. "Yeyote anayethubutu kuruka, na k kuogelea hadi upande wa pili wa ziwa lile lenye mamba na kusalimika kuliwa au kujeruhiwa atampa $ 1,000,000...
  9. G

    JamiiForums Tanzania watu wa Dar es Salaam punguzeni ujuaji muwapo mikoani, Mwanaume kuvaa hereni mikoani ni mwiko

    DSM ni jiji kubwa sana lenye mchanganyiko wa tamaduni kibao, watu wa mataifa wengi, fani nyingi, n.k. Halai hii imewea kuruhusu kuonekana ni jambo la kawaida mwanaume kusuka, kuvaa hereni, kuvaa kipensi, n.k. Lakini huku mikoani yakiwemo majiji madogo, hali ipo tofauti sana, tamaduni...
  10. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akifika mshindo mmoja tu anatoa mbegu/manii takribani milion 350 zenye ujazo wa wastani wa 3.5ml.

    Kwa mshindo mmoja tu mwanaume Anapoteza hizo mbegu za kiume kwa wastani wa wingi huo wa mbegu milioni 350M (3.5mls za ujazo) Ambazo hizo ni pure proteins matofali ya kujengea na kukarabati mwili wake.. KUNA FAIDA KWA MWANAUME KATIKA KUPUNGUZA KUTOA MBEGU ZAKE ZA KIUME(NGUVU ZAKE) MARA KWA...
  11. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Ya Mbowe na Gambo yametufundisha kwamba, mwanaume wa kweli lazima apige yowe pindi chai ya watoto wake inapoguswa na vitu visivyojulikana

    Kumekucha kumekucha Gambo Mkuu Gambo kaambiwa maneno machache tuu, ‘Hudhuria kwenye vikao’ almanusura adondoke chini kwa shambulizi la moyo. Nikagundua kumbe alikuwa yupo mbele ya wateja wake a.k.a wapiga kura. Maneno ya RC yamemchoma sana mwanaume huyu; chupa ya chai ya wanawe imepokea mguso...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Foleni ya kwenda kumuona Mwanaume mwenye Mwanamke mmoja

    😁😁😁
  13. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu ni mkamilifu, kwanini aliipitisha urethra (mrija wa mkojo) katikati ya tezi dume?

    Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu. Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra inavyopita katikati yake. Hii inaleta changamoto zifuatazo: 1. KUKOSEWA KATIKA MUUNDO? Kutegemea Umri...
  14. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mwanamke feminine haombi mwanaume hela. Girl code 5

    Ni kweli. Mwanamke yeyote ambaye ni feminine haombagi hela kwa mwanaume. Hela zinakuja tu zenyewe. Kama unataka kujua inakuwaje nicheki inbox. Angalizo: Nyie wanaume mnaomiliki wanawake feminine alafu hamuwa-hudumii, msije kulia siku za usoni. HAPPY NEW YEAR 2025
  15. jannelle

    JamiiForums Tanzania Mwanamke usisubiri mwanaume muovu aje abadilike, kimbia mbio

    Itakuwa ni ajabu sana mwanamke kushinda tukilia na kufanya maombi kwakusubiri eti mwanaume muovu aje abadilike😂😂, NEVER Hawa watu wakiamua kufanya vituko ndio wanazamia hukohuko itakauka koo kutwa kulia, me najionea hapa kwa watu wanaonizunguka ni kasheshe, jamani huu ni ujinga wa kukandamiza...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukifika miaka 30 hakikisha una moja kati ya hivi

    1-Kazi/ajira ya kueleweka. 2-Familia 3-Assets kama nyumba,kiwanja n.k zama za kufarijiana kwa wanaume zimepitwa .
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kufanya kwa mwanaume mwaka huu wa 2025

    NB nimeikopi kutoka X 1. Mpangilia wa kuamka saa 12 Asubuhi kila siku, (Epukua kuamshwa na Alarm). 2. Fanya mazoezi ya "KEGEL" kwa usahihi Walau nusu saa kila siku asubuhi na jioni. 3. Kunywa maji lita 3-5 kila siku iwe kwenye ratiba yako. 4. Pata bakuli mbili ya mchuzi wa bamia changa kwa...
  18. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mwanaume tafuta pesa, wanawake wazuri utawapata bila kujalisha una miaka mingapi

    Wanaume tutafte pesa, wanawake wazuri wapo tu miaka yote ya maisha yako. Larry Ellison mmiliki wa kampuni ya mifumo ya Oracle ana miaka 80, ameoa kimwana wa miaka 33, tofauti ya umri wa miaka 47. Mugabe alimuoa Grace akiwa anamzidi miaka 40, Mmliki wa Nkatie Burger, burger maarufu sana Afrika...
  19. Rule L

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna fedheha kubwa kwa mwanaume kuzidi ya kushindwa kupiga show

    Hii habari nimekuwa nikiisikia tu, ila juzi kati imenitokea live bila chenga 😆 😆 😆 😆 😆 😆. Mnara ulikua kama upo ndani ya maji wazee, ile piss ikabidi tu inipe pole. na kuondoka zake Nilijisikia vibaya sana mazee.
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hajaumbwa kumtegemea mwanaume bali mwanaume ndo kaumbwa amtegemee mwanamke

    Nimekuwa nikifatilia Sana maswala ya mahusiano Kwa nyakati tofauti . Leo napenda kugusia hili eneo ambalo watu wengi hawalifahamu kuhusu 'KUTEGEMEA' Binadamu wote kimaisha wanategmeana aliyenacho na asyekuwa nacho. Ila linapokuja swala la MAISHA ya mahusiano kifamilia , basi mwanaume...
Back
Top Bottom