mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke"

    Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke" hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu Unajisikiaje mbaba anakuja hapo jikoni anaku... halafu anakula na badaye anakula tena na tena Mnajazana UGALATIA sana...
  2. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Somo lingine la pesa na mwanaume

    Somo lingine la pesa na mwanaume. Jifunze kusikiliza mitetemo ya mawimbi ya nishati kati yako na mwanamke unayeanza naye mahusiano. Kuna wakati unaweza kujisikia mzito sana kumfungulia wallet yako mwanamke fulani. Usidharau kabisa hiyo nguvu inayokusukuma kusunda kibunda chako. Siyo kila...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanaume, lazima ujue lengo la kwanza la Mwanamke ni Mwanaume

    Yes huu ni ukweli mchungu ambao lazima Kila kijana wa kiume anayetaka kuingia kwenye ndoa aujue..........huyu ni mdogo wetu,ndugu yetu,jamaa yeti,alioa kwa mbwembwe mwanamke daktari,ndoa ina miezi nane sasa,mke ameenda masomoni mkoa mwengine kilomita zaidi ya 800,yupo busy na masomo Jamaa...
  4. Magical power

    JamiiForums Tanzania Binti, usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa

    "Binti usikubali kumpa mwanaume ambaye bado hajakuoa, ukimpa hawezi kukuthamini ataona kama unampa kabla ya ndoa akiwa sio mume wako unaweza kumsaliti ndani ya ndoa kwakuwa huna msimamo na mwili wako, hakikisha unampa baada ya kukuvisha Pete ya ndoa kidoleni mwako"
  5. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye nguvu ni yupi?

    MWANAUME MWENYE NGUVU NI YUPI.? : Je ni yule anayenyanyua vyuma na kushinda gym? : Je ni yule anayejua kunyanyua silaha za moto nakuelekea vitani, Nakupigana vita vizuri? : Je ni yule mwenye nguvu yule Rasta wa kwenye biblia,ambaye alikua nanywele zimesokotwa mafungu 7,Aliitwa SAMSON...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Najua kila mtu ana fikra zake ila tukiamua kusimama na facts mwanaume anae mwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha

    Najua kila mtu ana opinion yake ila tukiamua kusimama na facts wanaume hasa wazinzi na wale wakujichua wanaomwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha. Wanaostahili kupiga 2, 3 na kuendelea ni wale ambao hawamwagi kila siku, ni kundi la wanaume walio bize na mishe, wanosafiri na hawana...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Huko CCM kuna mwanaume anagombea nafasi ya kundi maalum la wanawake Kibaha

    Wanabodi, Wakuu kuhusu salamu, nitaacha nafasi hapo chini kwa vijana wa UVCCM waje waweke wasalimie. Yaani kuna uroho wa madaraka alafu kuna uroho wa madaraka wa CCM Hiyo si kauli ni kauli ya Mwanamapinduzi hii na ofcourse inafikirisha sana. "Yaani mgombea mwanaume wa CCM anagombea nafasi...
  8. farfat

    JamiiForums Tanzania Mwanaume utathaminiwa kwa ulichonacho

    Wakuu Wala sina maelezo mengi, kichwa chajieleza. Jiweke mbali na mapenzi
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binti yangu, Kamwe usikubali kuishi na mwanaume anayekupiga au kukutukana matusi ya nguoni Kamwe!

    BINTI YANGU, KAMWE USIKUBALI KUISHI NA MWANAUME ANAYEKUPIGA AU KUKUTUKANA MATUSI YA NGUONI. KAMWE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sisi watibeli hatupigi Wake zetu, Wala binti zetu hawapigwi Wala kutukanwa MATUSI ya nguoni. Wala hatutishii kuwapiga, Wala wao hawatishiwi kupigwa. Na katika...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Eeh, ulisema wewe ni self made super woman glamorous independent mwanaume anipangii kitu

    ..jinunulie msosi sasa wonder woman.
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuolewa na Mwanaume asiyekuwa na gari

    "Siwezi kuolewa na Mwanaume asiekuwa na Gari" Maneno haya anasema mwanamke ambaye anatumia sabuni ya kuogea mpaka size yake inakuwa kama kipande cha line ya simu🤭 . . . . Ewe Mwenyezi Mungu wajaalie baraka na bahati wanawake wote ambao hawajaolewa. Aamiyn.
  12. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na...
  13. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unawezaje kufanya hivi?

    Mwanaume unawezaje kujenga kwa mkeo yaani kujenga nyumba nyumbani kwa mkeo wakati kwenu kunavuja? Unawezaje kuhudumia familia ya mkeo wakati wewe familia yako hakuna wakuhudumia? Unawezaje kusomesha ndugu za mkeo wakati kwenu ndugu wengi hawajasoma? Huoni mwanamke anakunyonya anata kukua uon...
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke

    Moja ya vitu vya kijinga kabisa mwanaume anaweza kufanya, ni kutumia pesa ili kumvutia mwanamke. Matumizi yako ni kiherehere kitakachosahaulika dakika chache baada ya senti zako kukauka. Badala ya kufanya upuuzi huo ni bora utumie kila senti unayoingiza, kuvutia pesa nyingine upande wako. Kama...
  15. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Je, kweli ni ngumu kuishi na mwanaume aliyewahi kuoa?

    Natumaini mkopoa? Katika piatapita zangu nikakutana na mada Kwamba mwanamke kama hujawahi kuolewa bas usikubali kuolewa na mtu ambae alishawahi kuoa ama Kuishi na mwanamke Yani hata wale waliowahi Kuishi pamoja bila ndoa Rafikiyangu ameolewa na mwanaume wa aina hiyo ambae alishakuwa na mke na...
  16. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukimtumia mwanamke wako hela akahoji kua ni kidogo pasi na kushukuru rudisha huo muhamala mtumie mama yako

    Ndugu zangu salaam sana Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake Kupitia jukumu hili kubwa wanaume tulilopewa wanawake wamegeuka kuwa chuma ulete na wanyonyaji kupita kiasi kwa wanaume kwa kivuli...
  17. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mwanaume huu ndio mgawanyo wa wanaume kulingana umri waolionao na hulka walizonazo katika mahusiano

    1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara nyingi zinatoka kwa wazazi sio zao (hawajazitesekea) lakini wanaume waliko mjini kwa 20-27 wengi ni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Unabii: Ajaye ni Mwanaume, iwe anatokea tawala au upinzani

    Salaam, Shalom!! Huu ni unabii Si ubashiri Wala uganga. Ajaye ni Mwanaume, haijalishi ni anatokea upinzani au tawala. Haya Si maneno yangu, ni unabii kama alivyoona Nabii husika. Source: Hero TV utube channel.
  19. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hivi ndivyo namna ya kudili na mwanamke mwenye drama

    Wanaume wenzangu ebu tupeane ramani ya kudili na wanawake wenye drama,maana wengi wetu mnakufa kwa presha wakati familia zina wahitaji Wanawake wana namna nyingi sana za kuwachanganya wanaume,ikiwemo kutaka kukufanya ujisikie wivu mnapokuwa public kwa kujiweka karibu na wanaume wengine,au wana...
  20. Magical power

    JamiiForums Tanzania Moyo wa mwanaume unapenda mwanamke mmoja tu

    Moyo wa mwanaume unapenda mwanamke MMOJA TU, lakini hizi filimbi zetu huku chini ndio zinatamani Kila mwanamke 😂😂😂😂😂😂😂
Back
Top Bottom