mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ni busara amzidi mke wake umri, uumbaji wa Adam kabla ya Hawa ni fundisho, Ndoa zenye watu waliolingana zinaongoza matatizo

    Adam aliumbwa kwanza. Kabla ya kuletwa kwa Hawa, aliishi peke yake kwenye bustani ya Edeni, akajifunza mazingira, kuishi na wanyama na namna ya kuyaendesha maisha. Alipokuwa tayari, ndipo Mungu akamletea msaidizi wake, Hawa, si kama kiongozi mpya, bali kama msaidizi wake wa karibu. Adam...
  2. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Ndoa zina mambo!Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda

    Ndoa zina mambo! Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda. Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
  3. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Aina ya wanawake ambao mwanaume akioa ni vigumu kufanikiwa

    Ukweli ni mchungu lakini acha niuseme mwenye HEKIMA atajifunza jambo. Mwanaume aliye na malengo lazima ajue kabla yakukosea njia sahihi ya kuoa. Huna haja ya kulala na mchawi ili umsaidie ajirekebishe. Wakati mwingine, unaemchukua ni mwanamke mbaya katika nafsi yako, na maisha yako huanza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ndio sehemu pekee ambayo mwanaume anauziwa product used kwa bei ghali. Used corolla inauzwa bei ya benz mpya na mteja halalamiki

    Pia biblia imeandika Mungu aliwasamehe makahaba. Ila lilipokuja swala la kuchagua Mama wa mwanae alimchagua mwanamke bikira anaitwa Maria. Hakuchagua used
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoweza kumvutia mwanaume wa maana/Bora

    JINSI UNAVYOWEZA KUMVUTIA MWANAUME WA MAANA/BORA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwanaume wa maana ni ndoto ya wanawake wengi waliopevuka, wanawake wanaohitaji kuwa na familia Bora, familia yenye furaha, Familia yenye Dira, Familia yenye Maadili ikiongozwa na Baba bora anayejua majukumu na...
  6. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anapofumania mwenza wake anatakiwa kuachana naye?

    (Sababu 7 za msingi zinazomlinda mwanaume kiheshima, kiafya, kiakili na kifedha) Katika dunia ya sasa ambapo maadili yanazidi kuyumba, kuna wanaume wengi wanaojikuta wanasamehe usaliti mkubwa wa wake zao kwa kisingizio cha watoto, familia au dini. Lakini ukweli mchungu ni huu: ukimvumilia mke...
  7. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Lazima uchanganyikiwe👇👇

    Mama, baba, ndugu wa damu, ndugu wengine, wanafunzi,Luku ,maji, michango ya vikundi, kodi ya nyumba, matapeli, wezi,vibaka, majambazi,chuma ulete, marafiki, mavazi, starehe, chakula, hospitali, kodi za serikali, mawasiliano, usafiri, michango ya harusi, michango ya misiba, sadaka na Dhaka...
  8. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akimwaga nje mwanamke anaweza kupata mimba?

    Kumwaga Nje: Ndiyo, mwanamke anaweza kupata mimba hata kama mwanaume akimwaga shahawa nje ya uke. Hii ni kwa sababu kuu zifuatazo: 1) Majimaji Ya Mwanzo (Pre-Cum) Yanaweza Kuwa Na Mbegu. Kabla ya mwanaume kufika kileleni, hutoa majimaji ya awali (yanayoitwa pre-ejaculate). Haya majimaji huweza...
  9. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hata life likipiga u-turn usikubali kukaa kwa mwanamke

    Ushauri wangu kwa wanaume: hata maisha yakuchapa vipi, usikubali kukaa kwenye nyumba ya mwanamke wako Hata kama anakupenda kwa dhati, ipo siku utakumbushwa kuwa si kwako Jitahidi ujipange, hata kwa kidogo, ili ujenge heshima yako na nafasi yako kama mwanaume Mwanaume anatakiwa kuwa kichwa cha...
  10. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume

    Natafuta rafiki wa kike Mimi ni mwanaume wa miaka 28, Nina stashahada ya ufundi mitambo, nipo dar es salaam, Mbezi. Tutakuwa tunabadilishana mawazo ya maisha. Namba ya simu pm
  11. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Swali tata kutoka kwa wanaume wenzangu

    Hivi inakuaje unakuwa na mtu mnafahamiana kwa sababu mlisoma wote O-level tena ni mwanaume mwenzangu kila akinipigia simu lazima aniulize shemeji hajambo? Na hafahamu na sijawahi kumwambia kama nimeoa na wala demu wangu hamfahamu maana ni miaka hatujaonana Swali kama ilo naona la kiwaki balaa...
  12. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama ujawahi kulala Polisi jua bado Serikali inakudai

    Mtu yeyote ambaye katika maisha yote ya utoto ,ujana na uzee kama haujawahi hata kulala kituo cha polisi bado haujakamilika
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

    Kwema humu Jamani mimi kadogo2 sijui lini nitapata laazizi wa moyo wangu.. kila napogusa pamewahiwaa Hii hali kwangu imekuwa ikiniumiza sana maana unajikuta unampenda mwanaume kumbe tayari ana wake ambae labda wanapendana ama anampenda na kuachana kwao inakuwa ngumu Katika umri wangu huu...
  14. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Siku mkeo akianza kulala na mwanaume mwingine jua kifo chako kimekaribia

    "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume...
  15. John Sin

    JamiiForums Tanzania NIKIWA RAISI NTAWEKA SHERIA MWANAUME ATAKAE OA SINGLE MOTHER AKATWE KICHWA

    Shalom shalom Niende kwenye mada Moja Kwa Moja Najua wengi watanishangaa lakin kwa mustakabali wa maendeleo wa Taifa lolote lile vijana ndo Kila kitu hasa wanaume hivo kuwatoa katika wimbi la stress zisizo na kichwa wala miguu ntaweka sheria kuwa kijana yeyote under 60 age of years hakuna kuoa...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume perfume hizi ni mzuri sana kwako

    Helll Mwanaume mwenzangu ambaye bado ujajua perfume nzuri zitakazo kufanya uonekane mtanashat na kunukia vizuri wakati wote mimi natumia hizi mbili Hii natumia kama sehemu ninako enda hakuna kusanyiko kubwa la watu wengi sana hii ndio natumia au safari za kawaida bei 50000 Hii ya pili...
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hakuumbwa kufurahi: Aliumbwa kupambana na kushinda

    Suala la kufurahi ni kwa ajili ya wanawake na watoto ila siyo kwa wanaume (akina Baba). Maisha katika zama tunazoishi yamejawa na misongo na matatizo hayahitaji kujionea huruma. Ikumbukwe unachokitaka wewe na mwingine anakitaka hivyo njia ya pekee hapo ni kupambana na kushinda na siyo...
  18. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Ukiona hizi dalili jua umeshaachwa unasubiriwa wewe kujitangaza tu

    Dalili za kuachwa au kwamba uhusiano unaelekea kuisha mara nyingi huanza kwa mabadiliko madogo ambayo huongezeka polepole. Hizi hapa ni dalili za kawaida zinazoashiria kuwa huenda mwenzi wako anapanga kukuacha au tayari amepunguza mapenzi katika uhusiano: 1. Mawasiliano Kupungua Sana Hataki...
  19. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Kila unapomsaidia mwanamke, hakikisha unamdinya kwanza. Vinginevyo, what goes around, goes away

    Ukimsaidia mwanaume kwenye matatizo yake atakukumbuka maisha yake yote. Ila ukimsaidia mwanamke atakukumbuka kila akipata tatizo jipya.
  20. Daby

    JamiiForums Tanzania Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

    Mmekuwa na lawama nyingi mara hatuwezi kazi, mara haujafika kileleni. Mara nyingi hampo open na hili sio tatizo lenu ni malezi ya jamii. Hapa hamjulikani tuambiane kipi mnafanya tu kwenye sex ila hakina effects zozote kwenu. Wanaume tupo open saana linapokuja suala la mapenzi. Share mambo...
Back
Top Bottom