Kwa wanawake wengi hujikuta wanapoteza hisia za mapenzi kwa mwanaume ambaye ni mwema sana,mpole sana, mstaarabu,hapendi ugomvi wala migogoro,mwanaume mwenye kuomba msamaha mara kwa mara hata kama makosa amefanya mwanamke,mwanaume mwenye kujitoa mhanga sana kubadilisha maisha ya mwanamke,mwanaume...
1. Usimdhuru mwanamke kwa njia yoyote ile – hasa kingono.
2. Mwanaume halazimiki kupika vyakula vitamu kila mara, lakini siyo kosa kujifunza.
3. Ni vyema wanaume wawili kutokuwa uchi pamoja – heshimu mipaka ya mwili.
4. Mwanaume wa kweli huogelea kwa maji ya baridi; anaulinda uzalendo wake...
Jana nimepata ajali ya bodaboda, nashukuru sana Mungu sijaumia sana
Ila mwanaume ukipata ajali hutakiwi kupiga piga simu hivyo kuomba msaaada Wala kutoa taarifa kama unajiweza maliza kila kitu.
Toa taarifa ukiwa kwako au Tayari umepata huduma ya kwanza sio kupiga piga simu hovyo
Mwanaume...
Aslaam,
Kumekua na tafiti zinazoonyesha wanaume huishi umri mdogo zaidi ukilinganisha na wanawake.
na kumekuwa na sababu kadhaa zinazofanya mwanaume Awe na maisha madogo ya kuishi.
sababu Moja wapo ikiwemo stress nyingi zitokanazo na kubeba mzigo wa familia.
leo hii nataka nikupe hii kanuni...
Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana.
lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto...
Nimeona video moja, Shehe kijana akilalamika hapa Dar kuwa wanapitia wakati mgumu sana watumishi wa Mungu kutokana na kuzungukwa na mazingira ya Ngono.
Hii ni kweli na kwa wanaume wa sasa, bila kuwa na tabia ya kujitambua na kuwa na subira na kujiheshimu, ni ngumu sana kukabiliana na mazingira...
Wakuu habari zenu, nilikuwa naomba ushauri wenu katika pitapita zangu za kupambana na maisha nikapata mda kidogo wa kukaa nyumbani mkoani.
Baada ya kufika kuna kama stationary ipo jilani nikamuomba mwenye stationary nijishikize apo akasema hakuna shida, ni mtu ninaye muheshimu, .....
Baada ya...
ALIAMINI VITU HALALI KUTAFUTA MUDA WOTE NI FEDHA NA WANAWAKE.
Unamkumbuka gwiji wa Kenya marehemu Asentus Ogwella Akuku "Danger" ambaye inasemekana alioa mara 130, talaka 80 na kuzaa watotozaidi ya 200. Akuku "Danger" alioa mke wake wa kwanza mnamo 1939 na wa mwisho mnamo 1997 akiwa na miaka...
Katika mapenzi kuna mengi na mnapo kutana mwanaume na mwanamke kila mtu anakuwa na vitu apendavyo na kila mtu anafanya kumfanya mwenzie awe na furaha sasa kwanini mwanamke akionyesha utundu ambao mwanaume hana anaonekana malaya?
Mfano mwanaume anajua style mbili tu na hizo mbili labda kifo cha...
Hivi kweli hii inaingia akilini, Jinsi wanawake walivyo warembo, wanavutia, ni Raha kuwa nao karibu.. Lakini licha ya wanawake kuwa warembo na wanaovutia sana, imekuaje sisi wanaume tukaamua kupenda MATAKO Yao tu.. (yaani Just MATAKO)
Hatuoni vitu vingine vya maana tunaona MATAKO YAO Kama kitu...
Vijana wameombwa kujitafutia kipato kwa njia ya halali ili kuepusha madhara yanayo tokana na wizi kama ambavyo alivyofanya Rajabu Jumanne Mkazi wa kijiji cha Njilii Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni aliyepigwa na shoti ya umeme na kupoteza nguvu ya kutembea baada ya kuiba baadhi ya vifaa...
Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya
===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.
"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka...
Kila enzi mwanamke aligundua namna ya kuushinda ungangari wa mwanaume
Yule Jamaa wa "Ooooh kabla sijajenga nyumba yangu nataka nikarabati ya wazazi" sasa hivi anatuma kodi ya miezi mitatu ya huyu tipwa tipwa 🤣
Najua Poor Brain anaelewa nachokimaanisha🤣
Habari ana JF natumaini mu wazima,
Ipo hivi kipindi cha nyuma Kuna mwanamke niliingia naye kwenye mahusiano japo tulikua tunagombana sana ila kila nilipofanya juhudi kumuacha nilishindwa ilifikia mahali tunakaliana kimya nzima, lakini swala la kuachana hatuachani.
Ivi Sasa ninavyo zungumza...
Wakuu habarini za wakati huu, kutokana na trends ya vijana wa kiume wengi wa chuo ndani ya wiki hizi mbili kujinyonga au kujidhuru nafsi kutokana na mapenzi.
Nimeamua kupita na nondo zilezile za ndugu yangu Natafuta Ajira ili kuwahasa vijana wenzangu.
1. Jifunze kujidhibiti –...
Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa?
Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
Wanaume wezangu mwanamke akikusaliti achana nae hakuna kubembeleza hata kama mna watoto 10 mmeishi miaka 12 usisamehe daima utajutia baadae, usaliti ni sawa na mchawi akianza kula nyama tu haachi kamwe.
Yangu hayo tu.
Habarini,
Mda mwingine kwenye utongozaji, mwanaume unajitoa ufahamu unaamua kusaliti chama cha uwabata kwa muda. Unaamua kufata dating advice ya wadada wa humu jf, ya ukiwa na mwanamke unaemtaka mpe hela kabla hata hajakuomba 😁
Unamuona mdada, unasema ngoja huyu nimuoneshe upendo kwa kumpa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.