mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

    Wanajamvi salaam! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio rasmi. Je katika tamaduni zetu hii imekaaje? Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume...
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Kauli ya wadada "Hutokuja kupata mwanamke kama mimi we mwanaume wewe

    Wadada hizo kauli zenu utafikiri dunia nzima kuna mwanamke mmoja 🤣🤣🤣🤣 au ndo hua mnatulaani tusipate mwingine Eti wadada mnamaanishaga nini?
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Kule Iran Mwanamke amfumania mwanaume wa kidini akimchukua video hospitalini kisa hajasitiri nywele

    Hawa watu kwenye hii dini ya muarabu sijui nywele za wanawake huwapa mzuka au nyege au nini, yaani jamaa bila aibu na likanzu sijui lijoho lake anazurura hospitalini akichukua video ya kila mwanamke ambaye hajasitiri nywele. https://www.youtube.com/shorts/1PpnRkoqkqU
  4. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje mwanaume anayenitongoza anatumia akili yake au ndio unatumia akili mnemba Chat GPT?

    Jamani this is my very silly question, nisije nikawa natongozwa na katoto ka miaka ya elfu mbili mie... In this age of artificial intelligence we have to be more than smart.
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO

    KAMA MWANAUME Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO. Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo Ndani ya ngono kuna BARAKA LAANA UZIMA MAUTI KUPATA KUKOSA Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa Unaweza kukufanya uwe kipofu kama...
  6. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama haujui kupika kwenye ndoa utateseka sana

    Mwanaume kabla ya kufikiria kuhusu ndoa jifunze kutoa kitu kwanza maana huku wenzako tunatubu. Wanawake kwanini tukipishana kauli kidogo tu mnanuna na chakula hampiki mnataka tukale wapi wakati maitaji yote yapo ndani.
  7. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu badala ya kupiga Nyeto au Kununua dada poa heri ufanye haya

    Wajomba! Mahusiano yamekuwa kama ajira kwa wanawake sababu wanaingia kuvuna vitu viwili kama sio 1. Pesa 2. Furaha na yako yote Bwana eeh hapo juu hakuna chochote cha maana we kama vipi NUNUA TU NYAMA YAKO PIGA PITA HIVI hayo mengine tuyaache. ukishindwa mahusiano NUNUA kula pita hivi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hii imekaaje wakuu? Unakuta mwanaume mzima anasema "lol". Mimi naona kama sio sawa

    Hivi hii imekaaje wakuu unakuta mwanaume mzima anasema "lol" mimi naona kama sio sawa
  9. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali

    Inatia kinyaa sana, mwanaume akiingiza mwiko wake kwenye sufuria lako, alafu mwiko wake unatoka ukiwa na ukoko mweupe wenye shombo kali —dada yangu jitunze, jali afya ya chombo chako, miiko ya wanaume imekuwa legelege kwa sababu ya masufuria yenu kuwa na ukoko wa shombo
  10. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania Kuna uzuri wa mwanamke ambao mwanaume maskini hafai kuutamani?

    Kwenye maisha ya sasa, kuna wanaume wanajishusha kutokana na hali zao za kifedha – wakiamini kwamba uzuri fulani wa wanawake hauwahusu, yaani zile pisi kali tuwaachie watu flani wenye kipato. Wengine wanasema: “Uzuri ni wa wale wenye uwezo wa kuutunza.” Swali: Kuna uzuri ambao mwanaume maskini...
  11. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo mwanaume unatakiwa uvijue kabla havijakuua

    Mwanaume hukuzaliwa kuwa mtumwa wa tamaa ya mwili wako Lakini usipozinduka mapema, tabia zako sio tu zitakuua bali zitakuzika ukiwa hai. Wengi wa wanaume hawaharibiwi na maadui zao....bali na tabia zao... Zifuatazo ni tabia, uraibu na fikra ambazo zinawaua wanaume kimya kimya 1. Ngono (sex)...
  12. Think2

    JamiiForums Tanzania Je unazifahamu kanuni za mwanaume ambazo hazikuandikwa popote pale??

    ● Kabla ya starehe, timiza majukumu yako (Before pleasure,fulfill your responsibilities) ● Ukiona rafiki anahama,msaidie bila kuuliza (If you see a friend moving,help without being asked) ●Usikatae kushikana mikono (Don't leave a handshake hanging) ●Ulichokopa,kirudishe kikiwa bora zaidi...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Njia 6 mwanaume kuondokana na umaskiniii

    Cc D2 SIX (6) WAYS MEN CAN ESCAPE POVERTY. 1. Get the right woman. Forget the slay queens and women with looks but zero brains. Get a woman who will not only support your vision but will also push you to achieve more. A woman who will inspire you to work hard and not a woman who just makes...
  14. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unaomba vipi picha ya mwanaume mwenzako

    Kiukweli nimekufa moyo. Iko hivi ata kama una rafiki yako hamjaonana miaka buku usiombe picha yake iyo ni laana,unaomba picha eti umuone tu asa inakusahidia nini. Kama mtu hajataka kuposti picha yake kausha unaomba picha ya nini?
  15. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Tuambizane hapa vitu ambavyo mwanaume akivifanya vinaonekana ni vya kike kike

    Naanza mimi 👇 Kuoga mara 3 kwa siku 😥 Funguka,
  16. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali

    Leo niambie ukweli mmoja mchungu ambao kama mwanaume ni lazima niukubali
  17. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Kwa mwanaume, biashara gani ni nzuri kumfungulia mapenzi wako?

    Toa sababu na maslahi yapi kwa familia Yako 👇👇👇
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kama n mwanaume usifanye haya

    🚨MWANAUME👂 1- Usilale na Mke wa mtu Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele 2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha 3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji wako Akiachwa na msela, ameachwa na Familia🙌 4 - Ndugu yako akikufundisha Kuvua KAMWE usirushe nyavu...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Hivi wataalamu wa saikolojia hii ni nini mwanaume anatamani kutukanwa kuwa yeye ni shoga?

    Nimekuwa nikijiuliza sana hili suala la mtu kutamani kuoga matusi katika akaunti zake za mitandao ya kijamii huwa linatokana na nini? Kuna hawa vijana wawili wa timu moja kubwa hapa nchini,mmoja ana mwanya na mwingine alionekana kulia kwenye arusi ya rafiki yake. Huyu mwenye mwanya hawezi...
  20. Bueno

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa anaejua aniambie Mungu ana Jinsia Gani? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume? Mungu ni Mama au Mungu ni Baba?

    Wakuu, hili swali limekua linanisumbua kichwa changu sana, tafadhari sana msinione km napatwa na wazimu kuhoji hili swali la jinsia ya Mungu. Ila wakuu naomba kwa anaefahamu tafadhari sana aniambie Jinsia ya Mungu ni ipi? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume au MUNGU hana jinsia kabisa...
Back
Top Bottom