mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonesha Wanawake wanaoomba msamaha waume zao huwa wanadumu ktk ndoa

    Hakuna mwanaume anabakiwa na hasira zile zile akiambiwa bby am sorry na hakuna mwanaume anaweza kumvumilia mwanamke akiwa jeuri / mjuaji
  2. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Nauliza ewe mwanaume wanao wanakufanana?

    Wanao wanakufanana au umeambiwa wanafanana na Babu mzaa Bibi, Mjomba shangazi nk? Kwa upande wangu wanangu wa kiume wanafanana na mimi copyright no DNA, wa kike ndo kafana na mama yake. Wanaume tuwe makini tusije kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume ni ukatili gani ushawai kufanyiwa na mwanamke au mwanamke ni ukatili gani ushawai mfanyia mwanaume

    Tuanze na mwanamke ni ukatili gani ushawai mfanyia mwanaume kiasi hata shetani asingeweza kuufanya Mwanaume ni ugaidi au ukatili gani ushawai kufanyiwa na mwanamke mpaka ukaona huyu mchawi Mimi sija pigwa sana matukio ila niliwai kulipia lodge na demu hakutokea nikasepa home up saa 12
  4. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanakuwa na backup ya mwanaume akilini mwao kama mahusiano au ndoa zao zitafeli

    Backup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies. Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi...
  5. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania Njia za kumtambua mwanaume ambae hataki kuwa mwanaume

    Ndugu zangu watanzania, Poleni na majukumu mnayo endelea nayo kwa siku hii ya Leo na asubuhi hii napenda kuwasalimu kwa slogan ya kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi Leo nimekuja na mada tofauti kidogo na nje ya siasa lakini MAISHA yetu ya Kila siku ni siasa kwahiyo hata jambo hili...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ili Mwanaume afanikiwe Kifedha, amani na utulivu lazima aoe

    Wakuu, Kuna kikao huku tuambizane mlioko kwenye ndoa kama haya ni kweli tuchangamkie fursa ya ndoa bachelors tupate chochote kitu
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wasiokubali Uteuzi wa Rais Samia, 2025,Je ni Wanapinga Mchakato au Wanateswa na Mfumo Dume Wana Shaka na Uwezo Mwanamke? Angekuwa Mwanaume Wangepinga?

    Wanabodi Huu ni uzi wa swali, hawa watu haswa humu mitandaoni, ambao hawakubaliani na uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM kuwapitisha Rais Samia na rais Mwinyi kuwa wagombea wa urais wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 kwa Tanzania Bara na Visiwani, je wanachopinga ni mchakato ulioikiuka katiba ya CCM au...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu fanya hili zoezi kila siku asubuhi na jioni

    Zoezi rahisi sana unalifanya ukiwa hata sebuleni kwako.
  9. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Fangasi Sehemu Za Siri Kwa Mwanaume.

    Fangasi Kwa Mwanaume: Fangasi kwenye uume (fungal infections in men) ni maambukizi yanayosababishwa na fangasi wa aina mbalimbali, hasa Candida albicans. Maambukizi haya huathiri ngozi ya uume na maeneo ya karibu, na mara nyingi huambukizwa kutokana na usafi duni wa sehemu za siri. Maambukizi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye bastola awaua watu watatu na kujerui wawili, Nevada-Marekani

    Mtu mmoja mwenye bastola alifyatua risasi nje ya kasino ya Grand Sierra Resort mjini Reno, Nevada siku ya Jumatatu Julai 28,2025 saa 1:30 asubuhi kwa saa za Marekani. Tukio hilo lilitokea katika eneo la maegesho karibu na sehemu ya valet ambapo mtuhumiwa, mwanaume mtu mzima ambaye hakutajwa...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu ipi hapa unaweza kumnunulia mke/mpenzi umpendae?

    Vidume wenzangu eeehh, wake/ wapenzi wetu ni mapambo yetu, ndio maana wanatumia gharama nyingi nyingi kujieremba ili watuvutie sisi. Sasa kwa sisi ambao tuna wake/wapenzi ni jukumu letu kuhakikisha wanapendeza, kiujumla mimi mke wangu hata nikimpa million nikimwambia nenda shopping, ataniletea...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndege yatua kwa dharula baada ya mtu mmoja kusema 'Allahu Akbar'

    Siku hizi ukitaja jina la Allah sehemu yenye watu lazima ukimbiwe, aisei hizi nyakati ni mbovu sana na zilitabiriwa kwenye Biblia na tunazishudia, tutaishi kwa hofu sana. Jamaa amesababisha kizaazaa kwenye ndege baada ya kubweka Allah Akbar!!! Ikabidi ndege itue. ------------- Ndege ya easyJet...
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wa miaka 23 ahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa kumbaka mwanafunzi County ya Lamu

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 23, Lukman Ismail Athman maarufu kama Jelal, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Lamu kwa kosa la kumbaka mara kadhaa mwanafunzi wa Darasa la Tisa kati ya Novemba 14 na 24, 2024 katika eneo la Paradise, Langoni. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo hutokea pale Mwanaume anaposhindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo

    Wewe jifanye hamnazo, kunywa mapombe yako hadi visunguraz kula hizo bangi na viroba vyake. Jitoe akili unavyoweza, zaa na kuzalisha, kimbia familia na kutelekeza watoto lakini ujue haya ndio huja kutokea baadae. Weka feminism system au endeleza masculinity but ikiwa Mwanaume atakosa kutimiza...
  15. Askarimaji

    JamiiForums Tanzania Ndoa inapangwa na mwanamke sio mwanaume

    NDOA INAPANGWA NA MWANAMKE SIO MWANAUME Kauli hii inaweza kukushangaza kidogo ila ngoja nikufafanulie, Mwanamke ndiye anaepanga ndoa na sio mwanaume, hii inamaana gani!!! Maana yake ni kwamba wewe mwanamke kwa tabia yako njema, uvumilivu wako, huruma yako, heshima yako, utiifu wako kwa...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huwa anapata ugumu ku-Move on endapo alimpenda mtu fulani na akaweka matarajio makubwa kwake , so ni jukumu la mwanaume kutopasha kiporo

    Morning. Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years . By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma. Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na Mwananchi na baadae BBC. Na yule Kijana alimaliza masomo yake akaenda jeshini na Kuwa na cheo kikubwa tu...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kiuno chako kinatakiwa kiwe chepesi kwa ajili ya kumridhisha mkeo

    Ameandika James Gn, JUKUMU LA KIUNO KUWA LAINI NA CHEPESI NI LA MWANAUME NA SI MWANAMKE. Kama wewe ni Mwanaume na Umekaza fuvu eti kwa kudhania Mwanamke ndiye mwenye jukumu la kukishitua kiuno au kukatika wakati tendo likiendelea unapote sana. Mbali na ukweli kwamba Wanawake ndiyo hujilegeza...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MWANAUME UKIMWAMBIA MWANAMKE UTAMUOA USHAMCHUMBIA..UKIMKATAA.LAANA UTAIKUTA KWENYE NDOA YAKO IJAYOO

    MWANAUME,UKIMWAMBIA MWANAMKE, UNATAKA KUMUOA — HAPO UMEMCHUMBIA TAYARI. - Mwanaume, ukiwambia mwanamke “Nataka kukuoa” — hayo si maneno ya kawaida, umemchumbia rohoni na mbingu inaandika. Ujumbe huu unabeba uzito wa kijamii na wa kiroho kuhusu jukumu la maneno ya mwanaume katika uhusiano wa...
  19. fact only

    JamiiForums Tanzania Mwanaume - Mwanamke vipi 50 Kwa 50 Kwenye ndoa au penzi lako imesaidia au kilio?

    50 Kwa 50.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya jela kwa mwanaume aliyemtia mimba mwanafunzi ipunguzwe, apewe nafasi kuhudumia familia, Maisha ni magumu kwa familia zinazobaki bila baba

    Vuta picha ndugu au mtoto wako wa kiume mwenye miaka 20 katembea na binti wa form 4 mwenye miaka 17 kamtia mimba anahukumiwa kwa kosa la ubakaji na kutupwa jela miaka 30, Is it Fair ? Ingawa sheria inalenga kuwalinda wanafunzi wa kike kwa kuwatisha wanaume wasio na maadili, haizingatii uhalisia...
Back
Top Bottom