Mwanaume akimwaga nje mwanamke anaweza kupata mimba?

Dr isaya febu

Member
Joined
Jan 17, 2023
Posts
71
Reaction score
353

Kumwaga Nje:​

Ndiyo, mwanamke anaweza kupata mimba hata kama mwanaume akimwaga shahawa nje ya uke. Hii ni kwa sababu kuu zifuatazo:

1) Majimaji Ya Mwanzo (Pre-Cum) Yanaweza Kuwa Na Mbegu.​

Kabla ya mwanaume kufika kileleni, hutoa majimaji ya awali (yanayoitwa pre-ejaculate). Haya majimaji huweza kuwa na mbegu za kiume, ambazo zinaweza kusababisha mimba endapo zitakutana na yai la mwanamke.

2) Kumwaga Nje Si Njia Salama Ya Uzazi Wa Mpango.​

Ingawa njia hii (inayojulikana kama withdrawal method) hutumiwa na baadhi ya watu, si salama kwa sababu:

  • Mwanaume anaweza kuchelewa kujitoa (perfect timing).
  • Mbegu zinaweza kuvuja kabla hajajitoa.
  • Haidhibiti hatari ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa.

Kwa takwimu, karibu wanawake 1 kati ya 5 wanaotumia njia hii pekee hupata mimba kila mwaka.

3) Siku Za Hatari Huongeza Uwezekano Wa Mimba.​

Ikiwa tendo la ndoa linafanyika wakati wa siku za hatari (ovulation) yani wakati yai linapoachiliwa kutoka kwenye ovari, uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa zaidi — hata kwa mbegu chache sana.

siku za hatari (ovulation)

HITIMISHO:​

Kwa hiyo, kama lengo ni kuzuia mimba, ni vyema kutumia njia salama zaidi za uzazi wa mpango kama vile:

  • Kondomu
  • Vidonge vya uzazi wa mpango
  • Vipandikizi, sindano, au IUD (kitanzi)
  • Dawa ya dharura kama Postinor-2 (ndani ya saa 72 baada ya tendo)
 
majimaji ya awali (yanayoitwa pre-ejaculate

Kupata Mimba

Inawezekana kabisa mi ndo nji natumiaga lakini juzi nilitoa kabisa nikamwaga nje pale pale kabla hajalala (uumekulegea )nikaingiza ndani nikajitahidi kundelea aisee kitu kilijanaza wakati nilimalizia nje kabisa
 
Kumwaga nje bado kupata mimba ni asilimia kubwa maake sperm bado ukishamwaga zinabaki

Ni kuvaa tuu ndomu
 
Dira ya taifa ifikapo 2050 bora kuwa na nguruwe wengi wa kufuga sio kuwa na mada kama hizi.
 
nje ukimwaga hakikisha unakojoa na mkojo kabisa ili usafishe njia😋, tena ukanawe na maji kabisa, nliitumia hii njia sana ila kuna siku nikajichanganya bao lilikuwa tamu mno nikaweka nyavuni na mimba juu 🤣, ila mwenzangu alichangia mie nataka kuchomoa ye alikuwa anafika kileleni akaning'ang'ania 🌝
 
Mwanao anaumri gani sasa mkuu
 
Kumwaga Nje:​

Ndiyo, mwanamke anaweza kupata mimba hata kama mwanaume akimwaga shahawa nje ya uke. Hii ni kwa sababu kuu zifuatazo:

1) Majimaji Ya Mwanzo (Pre-Cum) Yanaweza Kuwa Na Mbegu.​

Kabla ya mwanaume kufika kileleni, hutoa majimaji ya awali (yanayoitwa pre-ejaculate). Haya majimaji huweza kuwa na mbegu za kiume, ambazo zinaweza kusababisha mimba endapo zitakutana na yai la mwanamke.

2) Kumwaga Nje Si Njia Salama Ya Uzazi Wa Mpango.​

Ingawa njia hii (inayojulikana kama withdrawal method) hutumiwa na baadhi ya watu, si salama kwa sababu:

  • Mwanaume anaweza kuchelewa kujitoa (perfect timing).
  • Mbegu zinaweza kuvuja kabla hajajitoa.
  • Haidhibiti hatari ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa.

Kwa takwimu, karibu wanawake 1 kati ya 5 wanaotumia njia hii pekee hupata mimba kila mwaka.

3) Siku Za Hatari Huongeza Uwezekano Wa Mimba.​

Ikiwa tendo la ndoa linafanyika wakati wa siku za hatari (ovulation) yani wakati yai linapoachiliwa kutoka kwenye ovari, uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa zaidi — hata kwa mbegu chache sana.

siku za hatari (ovulation)

HITIMISHO:​

Kwa hiyo, kama lengo ni kuzuia mimba, ni vyema kutumia njia salama zaidi za uzazi wa mpango kama vile:

  • Kondomu
  • Vidonge vya uzazi wa mpango
  • Vipandikizi, sindano, au IUD (kitanzi)
  • Dawa ya dharura kama Postinor-2 (ndani ya saa 72 baada ya tendo)
kama ni bingwa wa timing muda sahihi wa kuichomoa mimba hawez pata, ILA ukishamwaga usiingize tena, mana sperm hua zinabak kweny🍌. so it is a one touch process🤣
 
nje ukimwaga hakikisha unakojoa na mkojo kabisa ili usafishe njia😋, tena ukanawe na maji kabisa, nliitumia hii njia sana ila kuna siku nikajichanganya bao lilikuwa tamu mno nikaweka nyavuni na mimba juu 🤣, ila mwenzangu alichangia mie nataka kuchomoa ye alikuwa anafika kileleni akaning'ang'ania 🌝
ajali kazini
 
Inawezekana kabisa mi ndo nji natumiaga lakini juzi nilitoa kabisa nikamwaga nje pale pale kabla hajalala (uumekulegea )nikaingiza ndani nikajitahidi kundelea aisee kitu kilijanaza wakati nilimalizia nje kabisa

Kama mnatumia njia ya kumwaga nje, mwisho ni mara moja. Ikirudia kuingiza tena baada ya kumwaga nje, kuna kiasi fulani cha mbegu kinakuwa njiani na hivyo kinaweza kusababisha mimba
 
ajali kazini
kondom ni salama zaidi 100%,,
lakini sasa zinawaumiza sana, labda condom ile laini sana, kikubwa ni kuvumilia awe siku salama umwage kwa amani😁, ila genye likizidi basi tumi ndomu au mwaga nje ila kumbuka kunasa njenje
 
Dira ya taifa ifikapo 2050 bora kuwa na nguruwe wengi wa kufuga sio kuwa na mada kama hizi.

Hii ni elimu ya uzaZi wa mpango, ambayo iko ndani ya Dira ya Taifa. Inasema kila MTANZANIA azae idadi ya watoto anaoweza kuwahudumia
 
Back
Top Bottom