Nauliza ewe mwanaume wanao wanakufanana?

Nauliza ewe mwanaume wanao wanakufanana?

Oscar Lyrics

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
2,939
Reaction score
5,026
Wanao wanakufanana au umeambiwa wanafanana na Babu mzaa Bibi, Mjomba shangazi nk?

Kwa upande wangu wanangu wa kiume wanafanana na mimi copyright no DNA, wa kike ndo kafana na mama yake.

Wanaume tuwe makini tusije kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
images (20).jpg
 
Back
Top Bottom