mwanangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mwanangu anasumbuliwa na mafua yasiyotoka njia za puani (ana mwezi mmoja tu)

    Habari ndugu wapendwa katika imani! natumai mmeamka salama na mpo kwenye majukumu ya kila siku. naomba nielekee kwanye hoja au maombi ya kimawazo, ushauri au tiba kwa aliyekutwa na hili tatizo na kufanikiwa kulimaliza kwa namna yoyote. Mtoto wangu tatizo la kufura kwa mafua yasiyoka puani...
  2. Samia atosha tukutane2030

    Mrejesho baada ya kumfuata mwanangu P. Sasa yuko nyumbani pesa zinaanza kujaa

    Jumapili nilileta uzi humu nikieleza jinsi wiki iliyopita nilivyopitia ukame wa mpito wa mambo ya shekeli. Nilisema kuwa hii hali sijaiexperience kwa kipindi kirefu. Nikaenda mbali na kusema kuwa mwanangu P ambaye alifanyika baraka sana katika familia yangu mara alipozaliwa. Ukata...
  3. mapipando

    Mwanangu ana kimeo, napaswa kufanya nini?

    Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, mwanangu ana umri wa miaka minne,juzi ndio tumegundua kuna kinyama kimening'inia kwenye koo (kimeo). Na hili wazo la kumchunguza lilikuja baada ya kuwa na hali ya kukohoa mara kwa mara licha ya kuwa huwa tunampa dawa za kifua na kikohozi. Nimejaribu...
  4. mahunduhamza

    Hadithi za zamani

    Imesimuliwa na Zubeda Abdalla Omar Alitokea Chanjagaa akajenga nyumba akakaa, mwanangu Mwanasiti kijino kama chikichi, cha kujengea vikuta na vilango vya kupita. Hapo zamani za kale alikuwepo bwana mmoja, aliekuwa na wake watatu mmoja alikuwa mwizi. Yule bwana alikuwa anafuga mbuzi, siku moja...
  5. sky soldier

    Muendelezo wa yaliyojiri kwenye kesi ya mwanangu, wazazi msiwabane sana watoto!

    Niliwahi kuleta hapa hii maada takribani miezi miwili iliyopita ila mnisamehe bure nilisahahu kuleta mrejesho https://www.jamiiforums.com/threads/walimu-wanamsingizia-kiuonevu-mwanangu-je-ni-hatua-gani-nichukue-kama-mzazi.1890116/ kiufupi niliitwa shuleni kama mzazi mimi pamoja na wazazi...
  6. Naipendatz

    Askofu Kakobe: Msidanganyike pateni chanjo

    Msikilize hapo chini...! Huyu ni mmojawapo wa maaskofu ambao analitendea vyema hilo jina ASKOFU.
  7. Mwakitombeo

    Msaada wa kisheria: Mazingira anayolelewa mwanangu wa mwaka mmoja si salama nataka nimchukue

    Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana. Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
  8. sky soldier

    Walimu wanamsingizia kiuonevu mwanangu, je ni hatua gani nichukue kama mzazi?

    Ipo hivi, mwanangu anasoma shule fulani English medium, mimi haya mambo ya schoolbus niliyakataa kabisa maana kuna wenzake wengi tu wanatembea na hata mimi baba yake siijui school bus maisha yangu ya elimu, ila pia niliona atembee tu ili kunyoosha miguu kwa afya yake. Sasa pale shuleni kwao...
  9. D

    Mwanangu wa darasa la pili hili swali kakosaje? Au mwalimu ndiye hajielewi?

    Shule za msingi zinafungwa Leo, Niko hapa napitia mitihani na ripoti za wanangu! Kuna swali hili; Mwamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu anaitwa nani? Mwanangu kajibu MWAMUZI kakosa, eti mwalimu kawaambia jibu sahihi ni REFARII. Je, jibu sahihi ni lipi hapo? Kosa ni la mtoto au mwalimu ndo hajielewi?
  10. R

    Nataka nitrack simu ya mwanangu nifanyaje

    Habar wadau !! Nina mtoto nyendo zake sizielewielewi sasa nataka ni hack SMS za kawaida ili niweze kuzisoma bila kushika simu Nataka nimtumie link either whatsapp au gmail kisha nimpigie nimwambie abonyeze io link kisha mm niweze soma sms zake huku Nifanyaje NOTE sitak purchase plan...
  11. Mlima simba

    Uchambuzi: Wimbo 'Hujambo mwanangu?' - Rostam Ft. Ferooz

    Ni Rostam ft Ferooz , jamaa huwa nawaelewa sana wasikilize hapa msije sema nimetia chumvi.
  12. P

    Mwanangu ananirekodi video za uchi nikioga na nikilala

    Kutoka Ukurasa wa Instagram wa Idd Makengo Naomba unisaidie kama hiki ni kitu kibaya kwa mwanangu kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mwanangu wakiume alinyonya mpaka alipofikisha miaka minne ndiyo nikamuachisha, mimi na mwanangu tuko karibu sana. Namlea mwenywe kwani Baba yake tulishaachana na...
  13. R

    Maswali ya Mwanangu kwa Mama yake yamenishtua!

    Wakuu haya mambo ya DNA najua yatakuwa yamewagusa wanaume wengi! Nina mwanangu mdogo ndiyo atauanza mwaka wa nne hapa duniani muda sio mrefu ni wakike. Nina uhakika ni wakwangu kwasababu tunafanana kwa kiasi kikubwa. Sikuwepo nyumbani kwa takribani siku 6. Nilitoka kikazi kidogo...
Back
Top Bottom