mwanamke

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute pesa,Sura yako sio kigezo kwa mwanamke

    Hoya jamaa kama angekuwa maskini sijui ingekuwaje. Julius Malema with his wife at Victoria Falls .
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kathrine Switzer, Mwanamke aliyebadilisha historia ya riadha ulimwenguni

    Mwaka 1967, Kathrine Switzer aliandika historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza kushiriki rasmi mbio za Boston Marathon. Wakati huo, iliaminika kuwa wanawake walikuwa “dhaifu” na hawawezi kukimbia mbio ndefu, na hakuna mwanamke aliyewahi kuruhusiwa kushiriki kwa namba rasmi ya mashindano. Switzer...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Usijidanganye kuwa ukioa mwanamke atakuja na baraka ya kipato chako kuongezeka

    Kuna hii imani ya kishirikina kuwa hata kama huna hela UOE kwa sababu mwanamke huja na baraka ya kipato. Ni upuuzi mtupu. Hakuna kitu kama hicho. Usiishi kwa kutegemea miujiza. Jiambie ukweli kuwa unapooa gharama za maisha zitaongezeka kwasababu ya jukumu jipya la kuhudumia mke na baadae watoto...
  4. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Usiwahi tamani kuijua the "darkest" side ya mwanamke wako

    You're not as strong as you think. Uzi tayari
  5. 888I

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Ungepata Nafasi Kuwa Mwanaume kwa Mwaka Mmoja, Ungefanya Nini? 🧐

    Mambo Vipi, mwana JF, wabunifu wa taifa! Leo tuachane kidogo na siasa na mambo ya Gavo na Ngenga zao, tujichangamshe na 'science fiction' ya maisha! 😂 Hebu fikiria, mdada/mwanamke uliyejichanganya huku, unapewa Kipawa cha Ajabu (Superpower) cha kubadilika kuwa mwanaume kamili kwa Mwaka Mmoja...
  6. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mwanamke sahihi wa kuoa: mapenzi yenu 10%, Malezi 80%, zinazobaki ni utimamu wa akili

    Ushauri huu nilipewa na rafiki yangu ambae ni mtu wa india wakati bado tupo vijana, mwanamke sahihi wa kuoa sio yule unaempenda sana, lakini mapenzi lazima yawepo angalau kwa asilimia kumi, ukiangalia katika nchi ambazo zina ndoa nyingi zinadumu sana basi india ndo inaongoza duniani, japokua kwa...
  7. dogman360

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikutishia mimba anakuwa anayo kweli

    Demu wako/mke wako/mchepuko akikwambia ana mimba muamini 100% ila anakua tu anataka kutoa.baadae utaskia nlikuwa nataka tu kuona utakavyo nijibu . . Wadau skuizi wanawake wanajua kutoa mimba yaani kuna mdada hapa ananiambia ana mwenzake mwaka huu katoa mimba tano 5 .
  8. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Maono: nimeona nyumba inayofanana na Tanzania inayomilikiwa na mwanamke ikianguka chini na kuwaka moto

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ni maono hayo niliyaona leo usiku Ni huzuni sana Niliona nyumba moja nzuri sana inayofanana na Tanzania inayomilikiwa na mwanamke ikianguka chini na kushika moto mkali sana SAYUNI BOY
  9. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuongea na watu huku kashika kiuno ni ushamba na kiburi cha kike

    Nimeona mjadala mkubwa wa Gen Z huko Tiktok kuhusu hii picha ya mtu aliyekuwa akiwananga huku akiwa amewashikia kiuno. Vijana wanaulizana, kwani anatuchukuliaje? Ilikuwa ni lazima aongee akitutaja sisi huku akiwa ametushikia kiuno? Vijana wa kiume walienda mbali zaidi( ila mimi huko sitafika...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri ndo anagombaniwa? Bandari, Gas, Tanzanite, Graphite etc

    Leo mama umenena , ni kweli Tanzania ni nchi Tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaa nimefurahi leo umewachana washenzi wanaofadhili ushenzi, List ya urembo wa mama Tanzania, 1. SURA: Diamond, Gold, , Tanzanite, makaa ya mawe, Graphite, Chuma liganga, Nickel kabanga etc 2. KIFUA CHUCHU SAA SITA...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kushiriki mapenzi ya kinyume na maumbile ni kosa kwa mujibu wa sheria

    Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na kutumia via visivyo vya uzazi kufanya mapenzi, kwa mfano kutumia sehemu ya haja kubwa kufanya ngono, kutumia midomo, vidole n.k Kasi ya uovu huo inatisha kote nchini. Imefikia mahali imekua kama fashion. Usipofanya huo uchafu mnapokua faragha...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Kuna Mwanamke kashinda uchaguzi 98%, kwa hiyo 2% ndio wanaondamana mtaani?

    Tanzania tumekuwa kituko kwakweli, huu ni zaidi ya udikteta. Samia anafanya Mataifa kuishangaa hii nchi, tuweke masuala ya Jinsia pembeni tujadili kwa fikra na matendo ya binadamu anayesimama kwenye majukwaa na kuongelea utu kisha kuua watu kiunyama Ameshinda uchaguzi kwa asilimia 98, hakuna...
  14. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Mwanamke katili asiejali vilio vya wanawake wenzake

    Mama Heche, mama Mdude, mama soka, mama PolePole na wengine hawakuzaa Kwa utamu, walizaa Kwa uchungu pia. So kama huyu mama yenu mtawala anaona machozi ya hawa wamama ni nothing sababu anajua wanae walipo na anawaona na anafuraha basi Mungu ataamua hawa wamama wengine atawafuta vipi machozi.
  15. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akichukuliwa au akitekwa jua ni Ishara ya Ukombozi

    Ikitokea mwanadada mrembo amechukuliwa na watu/aidha polisi au wasiojulikana na kupelekwa mahali ni Kama ndani ya fensi ya gereza au kambi flani hivi, Kuna wanaume uvumilivu utawashinda watajipeleka kwenye hilo gereza au kambi kwa lengo la kumsaidia huyo mrembo kupata haki, watakua...
  16. Desierto

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutengana na mwanamke nimeota ndoto mbaya

    Hii ndoto nimeiota saa nane usiku na usingizi ukayeyuka kabisa Ni mwezi mmoja sasa unaishia toka ameenda kwao mpaka sasa hajarudi Kisa cha kutorudi ni kwasababu wakati anaondoka nilimwambia asiende hivo nikakuta ameenda kwao kulikuwa na sherehe. Lengo ilikuwa sio kumzuia lengo nilikuwa tu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je ni Upi Muda Sahihi wa Kumchumbia Mwanamke unayetamani awe Mke

    Habari zenu Wakubwa! Mimi ni kijana niliyefikia umri wa kutaka kuoa Sasa,nimempenda mdada ndani ya muda mfupi na anaonekana ana sifa zote kabisaa. Kwa mliokwishaoa,Kwa uzoefu wenu ni kipindi Cha muda gani chatosha kujiridhisha ya kuwa mwanamke Fulani atosha kuwe mke na Kwenda kwao...
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Ila tukiweka ushabiki pembeni mwanamke hatakiwi kuwa Rais wa nchi

    Tukiacha unafiki mwanamke hafai kuwa Rais wa nchi sio tu Tanzania Duniani kote! Tujiulize kwanini Marekani imegoma kabisa kutawaliwa na mwamke? Wakati ndiye baba wa democracy Duniani?
  19. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Sifa Kuu za Mwanamke Mwema wa Kuolewa kwa Mujibu wa Qur’an na Sunnah

    🕌 MUHTASARI: SIFA ZA MWANAMKE MWEMA KWA AJILI YA NDOA (KWA MUJIBU WA QUR’AN NA SUNNAH) 1. Mwenye Imani na Uchamungu (Taqwa) Qur’an: An-Nur 24:26 — “Wanawake wema ni kwa wanaume wema, na wanaume wema ni kwa wanawake wema...” Al-Baqara 2:221 — “Wala msiwaoe washirikina mpaka waamini; kwa hakika...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto

    Natafuta mwanamke wa kuzaa nae mtoto. Sifa zake Dini yoyote. Umri 25-35 Kabila lolote Rangi mweupe Elimu at least secondary education. Kazi yoyote descent Awe anaishi DSM Awe tayari kupima afya Sifa zangu Umri 41 Rangi black Elimu postgraduate degree Napatikana Dar Kazi kibarua kwa...
Back
Top Bottom