mwanamke

  1. Teslarati

    JamiiForums Tanzania WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

    Wakuu hebu tumalizie weekend na mada mkangamfu. Ewe mwanaume ni kitu gani ukikiona kwa mwanamke au mwanamke akikifanya kwako inakukata stimu kabisa yaan turn off. Mimi nitalist kadhaa 1. Mwanamke mwenye vinyweleo mikononi na miguuni, aisee bora mikononi naweza vumilia ila miguuni pale ameweka...
  2. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania BIKRA ya mwanamke sio ishara ya ubora wake. Ulimwengu wa mtu upo kichwani na moyoni mwake, hata siku moja uchi hauwezi amua chochote.

    Ooh hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra, Mara ooh ukikuta hana bikra, piga chini. Kama ingekuwa hivyo wengi wenu msingekuwepo hapa duniani. Mwanamke akiamua kukubadirikia atakubadirikia tu haijalishi ulimkuta sealed au open case kwa maana mindset ipo kichwni na sio ukeni Acheni utoto.
  3. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mwanamke kutokwa na damu kwa miaka 12 kinaleta mkanganyiko, sometimes bibilia inatakiwa iwe specific bhana!

    Kisa Cha mwanamke aliyekuwa anatokwa na damu kwa miaka 12 kinapatikana katika injili ya Mathayo 9:20-22, injili ya Marko 5:25-34, injili ya Luka 8:43-48 katika bibilia. Isivyobahati, Katika injili hizo zote, hatujaambiwa hizo damu zilikuwa zinatoka sehemu katika mwili wa mwanake, jambo...
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuambia hapana, kuwa muelewa, wengine wameathirika, wengine akilala na wewe unakufa

    Katika umri nilionao, nimejifunza kitu, tujifunze kukubaliana na hali, ukiona unakataliwa mkuu, piga chini dunia ina Siri hii
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aumizwa Na Kusikitishwa Sana na Kifo cha Bi Khadija Said Salmini Mtangazaji wa Kwanza Mwanamke Nchini Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia. amesikitishwa sana na kuhuzunishwa sana kufuatia kifo cha Mtangazaji wa kwanza Mwanamke Nchini Tanzania Bi...
  6. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Changamoto za uzazi: Je, tatizo ni la mwanamke pekee?

    Je, wajua kuwa changamoto za uzazi si kwa mwanamke pekee, bali zinawahusu pande zote mbili mwanaume na mwanamke? Ubora wa mbegu za kiume ni miongoni mwa sababu kubwa zinazochangia familia nyingi kushindwa kupata mtoto. Ungana na Dkt. Matilda Ngarina, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chatanda ikemewe, imeonesha dharau kwa Mwenyekiti wa CCM

    Natumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe. Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli...
  8. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Unadhifu na mpangilio wa mavazi kwa mwanamke

    Shikamoon wakubwa zangu Wadogo zangu,hamjambo. Leo niongee kitu cha tofauti kidogo,hususani kwetu Sisi wanawake, mm mwenyewe si msichana tena,hata mamangu mara nyingi ananihusia hili kuhusu mwenendo wangu na mpangilio wa mavazi. Hebu Kwanza niulize, Hivi wanawake wenzangu mnaovaa taiti za...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama tutavuka ili basi ndio itakuwa mwanzo na mwisho kama 1.Raisi mwanamke, 2.Kutoka visiwani.

    Ukweli mchungu ila ndio kashatiburia wanawake wenzake. Tumeona wengine wakipinduliwa huko asia,wengine wakifungwa na wengine wamefanya mambo ya ajabu. Kwa ili wanawake sijui kama mna la kujitetea mlipofikia hapa. 2.kutoka viswani kwa mtindo mliopelekea kwa wabara na kuwabagaza na kuonesha...
  10. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania SI sahihi mwanamke aliye kwenye mahusiano au ndoa kuweka picha ya mtu yeyote maarufu wa kiume kwenye simu yake(wallpaper)

    Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda.. Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao. Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke kila akipata hela lazima anikumbuke hata kama ni hela ndogo, nahisi kumpenda sana

    Kwema binaadamu wenzangu mliomo humu? Jamani kuna huyu mwanamke naweza sema ni mchumba wangu tuna kama miaka miwili toka tumefahamiana. Tumepitia stages tofauti tofauti, kugombana, kupotezeana, kuumizana, kuenjoy na kununiana kama ilivo kawaida mambo ya mahusiano. Huyu mwanamke ni aina ya...
  12. John Sin

    JamiiForums Tanzania Sio Biblia sio Quran iloitaja umri wa mwanamke kuolewa hiyo 18 mmejitungia tu

    Mm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa Hiyo 18 ni mbwembwe za waja, kama unaushaid iweke mbele weka lipa namba
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mwanamke amfikisha mwanaume mahakamani akitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye angalau kwa mara moja tena.

    Mwanamke mmoja huko Lusaka, Zambia kamfikisha mahakamani mwanaume aliyalala naye mara moja na kuitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye tena kwa mara nyingine. Hii ni baada ya mwanaume kupiga Hit & run. Kwa mujibu wa huyo mwanamke ni kuwa mara baada ya kulala na mwanaume huyo hajawahi...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Anayerudi Baada ya Mafanikio

    Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka. Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena — hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe. Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi kigumu cha mwanaume. Kipindi cha kujijenga. Kipindi cha uncertainty. Kipindi ambacho maisha bado...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi

    Naamini mko njema wakuu Katika maisha yangu yote sikuwahi kuwaza kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi iwe wa umma au binafsi Niliamini kwamba mwanamke ili awe na mapenzi ya kweli lazima awe muda mwingi nyumbani akitekeleza majukumu ya nyumbani na watoto Kingine niliamini mwanamke akianza...
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hulka ya mwanamke kukopa kopa na kupenda pesa za dezo msimshangae bibi yule kuwa na hiyohiyo hulka

    Asilimia kubwa ya wanawake wanaishi kwa kutegemea mikopo.Wapo wanaokopa na kufanya mambo ya maana na pia wapo wanaokopa lakini mwisho wa siku pesa haionekani ilipopotelea. Sasa huyu kibibi naye anawakilisha kundi la jinsia yake , hana akili ya kupambanua afanye nini kusogeza gurudumu, cha...
  17. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Imenichukua muda kuelewa kuwa kama mwanamke anakuambia kuhusu matatizo na issues zake wala hahitaji suluhisho bali umsikilize na umpe attention

    Na bado ukiishia kuwa msikivu na ukimpa attention anakuuliza "imekuwaje leo umeniskiliza hivi, kun kitu unanificha" Such unpredictable creatures, mehn.
  18. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

    Wakuu, Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero! Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana. Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao...
  19. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Baada ya pesa/mali, ni kivutio au kigezo kipi kinachofuatia pale mwanamke anapomuangalia mwanaume?

  20. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

    Shikamoon wakubwa zangu wote Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani. Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu huwezi kukubalika na kila mtu,na iko hivyo,hata mtaani kuna mtu atakutongoza ,atakubembeleeeeeza lakini...
Back
Top Bottom