mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Kosovo yapata Rais Mwanamke mwenye umri wa miaka 38

    Hakika hakuna kinachoshindikana chini ya mbingu. Mwanasheria nchini Kosovo amekuwa Rais wa kwanza wa kike na mwenye umri mdogo zaidi. Hongera kwake The 120-seat parliament gave 71 votes to Osmani amid an opposition boycott, making her Kosovo’s second female president. Politicians in Kosovo...
  2. JamiiForums Tanzania Kati ya Strong Woman na Weak Woman yupi mwanamke sahihi katika kumuoa?

    Linapokuja swala la kuoa kila mwanaume huwa ana vigezo anavyoviangalia lakini hebu leo hii hebu tuangalie between strong woman and weak woman yupi anaweza kuwa mke bora. Strong woman ni yule mwanamke mpambanaji, muongeaji ambaye ana itikadi ya kumpelekesha mwanaume tufanye hivi Mara tufanye...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi unawezaje kudeal na mwanamke mwenye dharau, majivuno, kiburi na kujisikia akiwa kama mwanamke wako?

    Najua humu wapo wanaJF waliowahi kukutana na aina hii ya wanawake ambao wenye vi tabia vya kiburi, dharau, kujisikia na majivuno either kutokana uzuli wao, kazi au anayoifanya n.k vinavyomfanya awe hivyo. Hebu tupeane ni jinsi gani ya kudeal na aina hii ya wanawake ambao hutupa changamoto mpka...
  4. JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

    Heri ya pasaka wakuu. Nimekua nikiona mara nyingi hapa jukwaani wanaume wakizungumzia mwanamke huyu kuwa mtamu mara yule hakuwa mtamu. Huwa nabaki kujiuliza maswali kama vigezo gani vinatumika kuwa grade wanawake. Na kwa wale waliokutwa watamu inawasadia kudumu kwenye mahusiano au ndoa? Like...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatakua na shida na fedha zako

    Leo ndio nimeamini mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatokua na shida na fedha zako. Mwanamke mmoja mkali sana ameniletea zawadi Leo, nimefurahi sana hata usingizi hauji yaani. Tena akaniambia unastahili zaidi ya hivyo, nimebaki mdomo wazi. Bado nawaza aise. Nilichojifunza wanaume...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa nakushauri nunua kamera

    Nashauri tu broo kabla ya kuchumbia nunua kamera. Utakuja kunishukuru. Siku hizi, unapiga picha siku ya engagement, then kuna za kabla ya sendoff na kabla ya harusi, kuna za akishika mimba na mimba ikifika miezi tisa, kuna za baada ya kujifungua na usisahau kuna za birthdays na wedding...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini makamu wa Rais awe Mwanamke

    Sababu... 1: Kuhofu uwezo wa mwanamke ni kuvunja katiba. Maana katiba inamtambua na nchi haingozwi kwa tahadhari za kitamaduni bali kikatiba. 2: Tunaowanawake waliowahi kushika vyeo zaidi ya rais. Getruda Mongera spika wa afrika, Mh Migiro katibu UN, lkn waliofanya vzri katika nafasi kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Jamaa "aokota" mwanamke ombaomba mtaani, amuogesha, atangaza ndoa

    Jamaa mmoja huko SA amebadilisha kabisa maisha ya mwanamke mmoja kijana---yaani kile ambacho wazungu wanaita u-turn. Alikutana na mwanamke huyo mtaani akiwa mchafumchafu akamuomba rand 50 kwani alikuwa na njaa sana. Badala ya kumpa hela akale akambeba na kwenda naye nyumbani akamuogesha...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

    Ndiyo Aliyesukuma Dege Likiwa Na Mwili Wa Mpendwa Wetu Hayati JPM
  11. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Marekani atuma salamu za Pongezi kwa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Tanzania

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ambaye ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kamala Harris amesema pia Marekani ipo tayari kushirikiana na Tanzania kuboresha mahusiano baina ya nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Mfahamu Silvie Kinigi, Waziri Mkuu na acting president wa kwanza mwanamke Afrika Mashariki

    Sylvia Kinigi ndie mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu nchini Burundi na kwa Afrika Mashariki. Na 1993-1994 akapata kuwa acting president wa Jamhuri ya Burundi. Mama Samia Suluhu Hassan, anapata kuwa Rais wa pili mwanamke Afrika Mashariki. Wanawake wote Hawa wawili sio kuwa walipigiwa kura za...
  13. JamiiForums Tanzania Harmonize: Kajala ni mwanamke sahihi kwangu kwa asilimia mia

    Hamornize amethibitisha kuwa anaamini Kajala ni mwanamke sahihi kwenye maisha yake! Akijibu swali la Mwijaku amediriki kutamka kuwa usahihi wa Kajala kwenye mahusiano yake ni 1000% Uzi tayari
  14. JamiiForums Tanzania Msongo wa Mawazo Baada ya Kujifungua

    Msongo wa mawazo ni jambo la kawaida linalowapata angalau mwanamke (wamama wapya) mmoja kati ya nane. Dalili zake ni pamoja na kusikia mchovu, kulia, mwenye shahuku, mnyonge na mabadiliko ya kula na kulala hasa wiki ya tano za kwanza baada ya kujifungua. Wakati mwingine kuwa na huzuni, kushindwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mpenzi wako ni mwanamke wa namna gani, kuwa karibu na marafiki zake

    Kama marafiki zake wa 4 ni malaya, basi yeye ni malaya wa 5.. Kama unataka kujua demu wako ni mwanamke wa aina gani, kuwa karibu na marafiki zake.. Marafiki zake watakuonyesha demu wako ni mwanamke wa aina gani..
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

    Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi. Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu. Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Mataifa yanajifunza mengi kutoka Tanzania, hata Marekani sasa ina Makamu wa Rais Mwanamke

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amewataka wanawake wa Tanzania kujiamini kwani wanawake ni jeshi kubwa. Mama Samia amesema mataifa mengi huko duniani hujifunza kupitia Tanzania ndio maana hata Marekani sasa ina makamu wa Rais mwanamke na hilo ni jambo jema. Chanzo: TBC Maendeleo hayana vyama!
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ni ipi maana halisi ya kumkomboa Mwanamke?

    Nawaamkia kwa maamkizi wote watoto na wavyele. Huu ni muendelezo wa pale nilipoishia katika mada zangu kuwahusu hawa wenzetu, wenzetu ambao ni mama zetu, dada zetu, jirani zetu, watoto wetu na wake zetu pia. Kila siku tunasikia mikutano, matamasha, makongamano na sherehe pia ya kuwa Mwanamke...
  19. JamiiForums Tanzania Nikimuacha mwanamke kwa kutoa namba kwa mwanaume, nitakua nakurupuka?

    Ikiwa mtu anajua fika kuwa huyo mwanaume anamtaka, kisha akampa namba, binafsi naichukulia kama nia ya wazi ya kusaliti in the near future Je kumpiga chini ni uamuzi wa kukurupuka? Moja ya utetezi wake ni kua ameghafilika na hata mimi naweza kughafilika Nilijaribu kumsamehe ila katika...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wawe na siku yao (Women's Day) na si wanaume?

    Mdau amani kwako. Napenda tujifunze na kupeana elimu kwa undani juu ya hili jambo la 'siku ya mwanamke duniani'. Mwanzoni wakati dunia ikiwa na amani na upendo Adamu na Hawa walijiona kuwa wenye kufanana na wakiwa na majukumu tofauti kulingana na maelekezo waliyopewa na Allah. Baadaye kidogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…