mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Rafiki wa kike (Mwanamke) anayejielewa

    Hello. Natafuta rafiki wa kike (Mwanamke) wa kubadilishana naye mawazo na sometimes kwenda outings just for fun and enjoyment and so forth. Awe ni mtu anayejiheshimu, muelewa, sio tegemezi na anahitaji rafiki wa kiume muelewa na mstaarabu kama nilivyo. Umri asizidi miaka 45 na akiwa Dar...
  2. JamiiForums Tanzania Kuteua Waziri mwanamke Wizara ya ulinzi ni sawa?

    Idadi ya wanajeshi wanawake nchini ni ndogo sana. Wizara hii ni kama ni ya kiume zaidi katika muundo wake. Wanaume ni zaidi 90% ya askari wote. Kuwawekea Waziri mwanaume ni sawa na Wizara ya wanawake, jinsia na watoto kumteua mwanaume awe Waziri wao. Hii haifanyiki hata huko Marekani na...
  3. JamiiForums Tanzania Kisa cha ndoa ya Mpemba Swala Tano na mwanamke mchaga mkatoliki mwenye msimamo mkali

    Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali... SIKU WALIYOKUTANA KIMWILI KWA MARA YA KWANZA. Kati Kati ya tendo la Ndoa yule mwanamke Kwa kuzidiwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke hata uwe mzuri vipi mwanaume atachepuka tu, uzuri haumzuii mwanaume kuchepuka

    Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke. Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka kwani yeye huyo mwanamke anaamini mwanaume wake hana anchokikosa kwa sababu yeye ni mzuri. Utashangaa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni busara nikimuacha huyu mchumba? Nampenda nipeni ushauri

    Habari zenu wakuu Nikiwa chuo mwaka wa 3 nilipata msichana niliyekuwa nimemzidi mwaka mmoja wa masomo kwa kipindi hicho Nilimpenda nikaamua kuanzisha nae mahusiano yaliyokuja kuzaa uchumba mpaka muda huu. Tumedumu kwenye uchumba kwa miaka miwili Sasa. Tatizo kubwa lililofanya nije hapa Ni...
  6. JamiiForums Tanzania Utamtambuaje mwanamke anayetaka ndoa?

    Anakuwa na sifa hizi:- Anakuwa mnyenyekevu Ukimwambia kitu anakuwa sio mbishi, kama hajaelewa ataomba ufafanuzi kwa lugha ya upole Atapenda awe anakuja mara kwa mara nyumbani kwako Atakuwa anakuja mara kwa mara kukufanyia usafi, kupika n.k Anakuwa na mawazo ya maisha ya mbeleni Ukitaka kumtoa...
  7. JamiiForums Tanzania Tutakuwa tunakosea kama tutampeleka mtu Ikulu kisa ni mwanamke au mwanaume

    Kwa akili zetu tunatengeneza baadae ya taifa hili, ili ndio jambo la msingi tunalopaswa kulitambua, Baadae ya taifa hili itategemea mwelekeo wa fikra zetu. kila wakati lazima tutambue tutavuna tunachopanda. Mawazo yetu na fikra zetu ni mbegu. Na mwelekeo wa fikra zetu ndio utakaoamua destiny...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha hayako fair, kuna muda unakutana na mwanamke ana sifa zote unazotaka lakini Single Mother

    Kuna mambo yanaumiza sana moyo, unakutana na mdada unajisemea huyu ndiye niliyekuwa namuota siku zote, sifa zote unazopenda anazo pengine unamueleza hisia zako naye anakuelewa. Lakini kinachotokea unakuta kashazalishwa na mbaya zaidi baba mtoto bado yupo hai😃😃 Kuna muda mpaka unatamani ubebe...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

    Tanzania baada ya nusu mwongo hatimaye Rais personal wa JMT anatua Umoja wa Mataifa Kwamiaka mitano mfululizo iliyopita aliyekuwa rais wa JMT Hayati Dk John Pombe Joseph Magufuli yeye alituma wawakilishi marazote. Nikwamara ya kwanza Rais wa JMT anafika mwenyewe Baraza Kuu la Umoja wa...
  10. JamiiForums Tanzania Bukoba: Mwanamke akatwa mguu na hawara yake(picha zinasikitisha)

    Wana bodi. Nimesikitishwa na kitendo cha huyu dada muelimishaji rika mkazi wa Izimbya kucharangwa mapanga na kibaya zaidi kukatwa mguu na kuondolewa kabisa na mtu anayedaiwa ni hawala yake wala si mume. Sitaki kusema kinachoendelea kuhusu hii kesi lakini naweka namba ya huyu dada (ILI ASAIDIWE...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kauli za ''Rais Mwanamke''na Ubaguzi wa kijinsia

    Kuna hizi kauli anazopenda kutumia Rais wa Sasa wa awamu ya SITA: 1. Rais Mwanamke. 2.Mimi Mama yenu.
  12. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo mwanamke akichelewa kuamka?

    Leo nlikuwa nangalia youtube kuna wamama walikuwa wa naongea mara mmoja akasema mwanamke wa kiafrica hatakiwi kuchelewa kuamka. Anatakiwa aamke mapema saa 12 asubuhi 🤔 Nimeshangaa sna. Kwani kuna tatizo lolote mwanamke akichelewa kuamka? Mfano mimi km siku nko free siendi shule nakuwa nachelewa...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA iandae Mgombea Urais Mwanamke 2025 kuepuka ukatili wa kijinsia

    Baada ya Mama 'kutangaza' nia yake ya kuingia ulingoni 2025, ni vema chama kikuu cha upinzani kikaanza jitihada za kumtengeneza mwanamke atakayepambana na Chifu Hangaya kuwania kiti namba moja hapa nchini. Kuweka mgombea mwanaume itakuwa ni ukatili wa kijinsia na hoja hiyo itatumika kuwaangusha.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyowaandaa wanawake wamchague mwanamke 2025, vyama pinzani navyo viruhusiwe kufanya siasa kupambana na huyo Mwanamke

    Rais ametangaza rasmi kwamba wanawake watakuwa na kazi yakumpata Rais mwanamke 2025 means kwa kauli hii amewaambia chama chake kwamba mgombe atakuwa mwanamke aidha yeye au mwanamke mwingine. Hii inatoa tafsiri ya wazi kwamba wanaume kwa upande wake awataruhusiwa kupambana na mwanamke...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanaume unaweza kupata mapenzi ya kweli endapo umemzidi mwanamke miaka 13?

    Assume mimi ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, halafu namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mimi? Huyo binti hatonichukulia mimi kama babu yake au mtu mzima sana kwake? Hivyo kuwekwa kwenye category ya sponsor...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa namna hii hafai kwa mwanaume yeyote

    JF Napenda kuwakumbusha wanaume wenzangu kama mimi, hakuna kitu kinakaba koo kama mwanamke wako kugongwa na wanaume wengine. Ukiona mwanamke anamiongoni mwa tabia hizi huyo ni cha wote, wachana nae kabisa. * Mwanake mlevi anayejipeleka baa na viwanja mbali mbali kwaajili ya ulevi, huyo ni...
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa Kuwa mchumba Kisha nimuoe

    Mimi ni kijana wa miaka 31, Engineer by professional,mrefu wa futi 6 kasoro nchi 1,body la kiume na very humble. Nahitaji mwanamke wa kuoa,sifa kubwa zaidi hasiwe na gubu,awe msafi na mwonekano wake uwe presentable,kama ni mweusi awe mweusi natural,kama ni mweupe awe mweupe natural. ANGALIZO...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Tatizo la kutoa mahari ili kuweza kukubaliwa kuoa mke na tatizo hili humuumiza nani zaidi? Mwanamke au mwanaume?

    Ni kitu cha kushangaza mpaka leo huu mfumo wa kutoa mahali bado unaendelea. Tumefundishwa tokea tulivyo kuwa shule ya msingi ya kuwa mahali sio nzuri kwa mwanamke, inashusha thamani yake katika ndoa, lakini kwanini bado tunaitumia mpaka leo? Ndoa hutokea pale ambapo watu wawili wanapopendana na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere na vigezo vya uongozi kwa Mwanamke

    "Tunaweza kumpatia uongozi na madaraka mwanaume mlevi, lakini hatuwezi kumpa madaraka kama hayo mwanamke akiwa mlevi" Mwl. J.K Nyerere Mwalimu alimaanisha tunapotaka kutoa madaraka kwa wanawake lazima vigezo viwe tofauti na wanaume! Kwa wanawake vigezo vinakua vingi zaidi Lakini mimi sijaona...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa kumuelimisha Mwanamke hasa katika Jamii ya Afrika

    Ukweli ni kwamba kwa umuhimu wa elimu hakuna shaka kusema ndio kiungo kikubwa kwenye maisha ya binadamu kwasababu hiyo ili jamii iwe ni jamii kamili na yenye usawa na lazima kuwaelimisha wanawake ambao wao ni kiunganishi kikubwa kwa zaidi ya asilimia sabini kwanini nasema hivyo Kwa takwimu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…