mwanamke

  1. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Usiamini chozi la Mwanamke kamwe. Fanya maamuzi kwa akili yako

    Kama umemkamata mwanamke wako ana mapichapicha akaanza kutoa chozi na kulia isiwe kigezo cha kusamehe. Mwanamke hata akitoa machozi jaba zima ni namna yao ya kuku"fool mwanaume umuonee huruma kwa utopolo wake. "Oooh nilimkamata na nanii akaanza kulia sana ikabidi nimsamehe" ukaanza kusema "...
  2. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa Mwanamke aliyedate na rafiki yako?

    Kuna jamaa hapa kampata mtoto fulani hivi mkali sana. Pisi hii ipo kwenye moja ya Elite bank hapa nchini na anasukuma baby car fulani hiviii. LOL Sasa huyu jamaa akagundua hii pisi imedate na moja ya rafiki yake"EX' wa karibu sana, Wakati ndo anataka akamilishe zile taratibu za "kutukuka" na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe kumuita Babe mwanamke asiye wako ni kosa kisheria?

    Mwanaume anayetambulika kwa jina Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshutumiwa kwa kumuita mke wa mtu, Opeyemi Adegbesan "babe", jina ambalo sio analolitumia katika akaunti yake ya WhatsApp. Mwanaume huyu kwa sasa anashitaki kwa jaji kwasababu anasema yeye ndiye...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanaume na mwanamke, ni nani anyemhitaji mwenzake zaidi?

    Hii imetokana na kuwepo kwa changamoto zaidi kwenye mahusiano; mwanamke amekuwa akimtenda mwanaume, na wakati mwingine mwanaume hivyo hivyo amekuwa akimtenda mwanamke. Wakati mwingine, mwanaume anaambiwa ili apate mahusiano kwa mwanamke inabidi awe na kipato, au awe na uwezo wa kuhonga; mpaka...
  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwanamke kutopenda Kuomba Omba Hela kwa Mpenzi wake ina Maana gani?

    Nianze kwa kusema OLE OUT! Wanangu wa MAN-U na Leo tunakufa tena. Turudi kwenye Topic. Wakuu hapo nyuma nilikua na Mpenzi Dadek Pisi kali ya kwenda ila ilikua inapenda Pesa sana hela za Shopping ilikua kila week mara kusuka na ukweli alikua hakuna mda hajapendeza hadi Rafiki zangu walikua wana...
  6. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito? Mwenye majibu anisaidie hapo.
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Maisha husababisha Wanaume kuugua kwa wingi matatizo ya Afya ya Akili kuliko Mwanamke

    Wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wametaja sababu 10 zinazochangia wanaume kuongoza kuugua magonjwa ya afya ya akili ikilinganishwa na wanawake. Sababu hizo ni kuzongwa na majukumu, ugumu wa maisha, utafutaji, malezi, usiri, kukua kwa teknolojia, matarajio ya maisha, sonona, matukio...
  8. Leak

    JamiiForums Tanzania Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

    Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi lazima aseme kuwa yeye ni Rais mwanamke na yeye ni mwanamke. Amesema kuwa amekuwa akirudia mara kwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na Mwanamke niliyemtolea mahari

    Mimi ni kijana umri Miaka 28. Naishi Dar es Salaam. Baada ya kupata shauku kuoa niliamua kusafiri na kurudi kijijini kwetu ambako wazazi wanaishi. Nilifanya uchunguzi kwa binti kadhaa waliokuwepo kijijini. Kutokana na Mimi kutokuwepo kijijini kwa Muda mrefu ilikuwa ngumu kujua yupi ni mtu...
  10. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Ukichelewa kuoa hadi miaka 40 utapata shida kumpata mwanamke utayendana naye

    Kuna imani flani imejengeka kwa vijana wenye umri kuanzia 25-35 kwamba mwanaume umri wowote anaweza kuoa hata akichelewa hamna shida ataoa it's true kuoa mwanaume lakini kupata mwanamke wa ndoto yake ni ngumu sana 1. At the Age of 40 Kama atapata mwanamke mwenye umri kuanzia 29 hadi 39 hapo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

    Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21. Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia...
  12. Digging deeper

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mzuri nimempata

    Habari wana MMU Je, wewe mwanamke wa JF ni angle gani upo vizuri katika mahusiano kama vile kupika vizuri, kujari, kupiga vizinga na nyengine nyingi na wanaume ni angle gani unatamani sana kwa mwanamke wako awe vizuri sana kuliko zengine katika mahusiano.
  13. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Mambo matano (5) ambayo humfanya mwanaume ampende na kumthamini sana mwanamke wake

    1) UTII Kila mwanaume unaye muona huwa anapenda mwanamke wake awe na utii yaani akiambiwa Jambo basi asiwe mkaidi hata Kama siyo sahihi basi kitu Cha kwanza aoneshe kukubali kusikiliza halafu kwa baadaye ndipo aje na wazo lake ili mwafaka upatikane. Wanaume tunapenda wanawake ambao wanatii...
  14. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Usiangaike na mwanamke angaika kutafuta pesa

    Huo ndio ukweli Mchungu wanaume wenzangu, tuangaike kutafuta pesa sio kuangaikia mademu, Ukiwa na pesa hautaomba msamaha ata kama ulikuwa unakosa, Mwanamke anavumilia shida kwa muda mchache tu ila hawezi kudumu ndani yake. Atasema anakupenda kwa sababu unamchakata vizuri lakini akija mwenye...
  15. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Sitaoa mwanamke mwenye mtoto Ila nitaoa msichana asiye na mtoto. Na huyu Muingereza ndio na muandaa

    Mimi DJ. DON NALIMISON Ni Mwanamuziki hivyo lazima nioe Mwanamuziki. Mimi Ni producer wa Muziki hivyo lazima nioe producer ili mipango yangu ikae sawa. Mke wa kufanana naye katika makubaliano. Kama wote ni wasanii mtaishi na kuelewana na kuendana kitabia maana mko field moja. Mimi Sina mtoto...
  16. Kijana Wa Dar

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani hapa Dar naweza pata mwanamke wa kizungu?

    Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ? Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi Msaada please
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!

    Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!. Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana...
  18. Digging deeper

    JamiiForums Tanzania Unatamani kukutana na mwanamke gani wa JF?

    Habari wana MMU je, wewe mwanaume wa JF ni mwanamke gani wa JF ungependa kukutana naye hivyo hivyo kwa mwanamke ni mwanaume gani wa JF ungetamani kukutana naye?
  19. kinywanyuku

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kukataa kukutumia picha zake Whatsap ni ishara gani?

    Wadau imenitokea nipo katika mahusiano na mwanamke mmoja tuna miezi miwili na mipango kadhaa tatizo lake hataki kunitumia picha zake Whatsapp wala kupiga picha na mimi anadai hana muda wa kupiga picha sina hata picha yake ukimuomba mpige picha anakuwa mkali japo huduma zote natoa hata akisuka...
  20. nyboma

    JamiiForums Tanzania Kweli kuishi na watu kuna raha yake, leo yametimia nimekutana na mwanamke tuliopotezana nae ughaibuni

    Kwa ufupi ni kwamba nilipata bahati ya kusafiri na Kiongozi mkubwa, mtu mwenye mamlaka makubwa kwelikweli katika nchi hii awamu ya nne. Safari hii ilikuwa katika moja ya nchi kubwa Ulaya, kama mnavyofahamu malipo ya posho huwa katika dola pale mnaposafiri na kiongozi mkubwa katika big four na...
Back
Top Bottom