Ni busara nikimuacha huyu mchumba? Nampenda nipeni ushauri

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,863
3,480
Habari zenu wakuu

Nikiwa chuo mwaka wa 3 nilipata msichana niliyekuwa nimemzidi mwaka mmoja wa masomo kwa kipindi hicho

Nilimpenda nikaamua kuanzisha nae mahusiano yaliyokuja kuzaa uchumba mpaka muda huu.

Tumedumu kwenye uchumba kwa miaka miwili Sasa.

Tatizo kubwa lililofanya nije hapa Ni kuwa
Mchumba wangu ana tatizo la kutokufika kileleni mapema tunapokua safarini

Naweza kutumia lisaa lizima Bila yeye kufika.

Nimetumia kila njia, mbinu zote mpaka ushauri wa madaktari ila hakuna mabadiriko yoyote.

Kuna muda huwa ananilaum kwa Nini simfikishi huku akiniambia hajawahi kufikishwa na mwanaume yoyote ( naifaham kidogo historia ya mahusiano yake).
Nampenda Sana mchumba wangu ila nikifikiria kuhusu faragha napata wasiwasi kuingia nae kwenye ndoa.

Wenye uzoefu na maswala ya ndoa mnishauri kijana wenu.

N:B hajapita kwa ngariba( clit ipo).
 
Anafika kwa kuchelewa Sana
& Hana hisia sehem nyingine zaidi ya clit

Sent using Jamii Forums mobile app
I hope unajua sex ni zaidi ya kuingiza uume. Kama mnapendana sioni kama ni tatizo. Unachotakiwa kufanya ni kupiga romance la muda mrefu na kushikana kwa sana. Tumia njia zaidi ya kuingiza tu uume wako. Tambua pia maneno ni muhimu sana. Kuna wengine wanapozaa hubadilika. MUHIMU: usikimbilia penetration na kupiga misele.

Utajichosha na kujitesa. Kila wakati wa sex ukifika utaona kama umeambiwa kulimia mpunga heka kumi kwa siku. Tumia tekniki za wewe kutofika kileleni kabla yake. Tumia viungo vyako vyote kusugua na siyo penetration tu.
 
I hope unajua sex ni zaidi ya kuingiza uume. Kama mnapendana sioni kama ni tatizo. Unachotakiwa kufanya ni kupiga romance la muda mrefu na kushikana kwa sana. Tumia njia zaidi ya kuingiza tu uume wako. Tambua pia maneno ni muhimu sana. Kuna wengine wanapozaa hubadilika. MUHIMU: usikimbilia penetration na kupiga misele. Utajichosha na kujitesa. Kila wakati wa sex ukifika utaona kama umeambiwa kulimia mpunga heka kumi kwa siku. Tumia tekniki za wewe kutofika kileleni kabla yake. Tumia viungo vyako vyote kusugua na siyo penetration tu.
Nimekuwa nikiitumia hii bila mafanikio mpaka nimekuja hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry to say this Mkuu, but I think shida ni wewe.

Thread 'Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa' Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa
kalisheshe kulingana na hii post yako nyingine nimegundua wewe unajaribu kuonyesha umwamba badala ya kutumia akili. Ukijifanya kutumia mbinu ya kupiga mashine kiufundi ujue utakuwa unajichosha wewe tu. Tumia akili zaidi ya nguvu. Na zaidi usiige ufundi wowote unaoona kwenye website za porn!

Hili wabongo wengi wameiga wakidhani ndilo litafanya wanawake wawakubali zaidi. Kama nilivyosema tatizo lenu ni dogo sana. Akuambie sehemu zake sensitive ucheze nazo zaidi. Unajua ule mtindo wa kihaya wa kupiga piga kinanii chake kama unapigilia msumari? Basi utumie kwa muda mrefu mpaka afike kileleni.
 
Aisee! Bila shaka wewe ni wa Dar.
Habari zenu wakuu

Nikiwa chuo mwaka wa 3 nilipata msichana niliyekuwa nimemzidi mwaka mmoja wa masomo kwa kipindi hicho

Nilimpenda nikaamua kuanzisha nae mahusiano yaliyokuja kuzaa uchumba mpaka muda huu.

Tumedumu kwenye uchumba kwa miaka miwili Sasa.

Tatizo kubwa lililofanya nije hapa Ni kuwa
Mchumba wangu ana tatizo la kutokufika kileleni mapema tunapokua safarini

Naweza kutumia lisaa lizima Bila yeye kufika.

Nimetumia kila njia, mbinu zote mpaka ushauri wa madaktari ila hakuna mabadiriko yoyote.

Kuna muda huwa ananilaum kwa Nini simfikishi huku akiniambia hajawahi kufikishwa na mwanaume yoyote ( naifaham kidogo historia ya mahusiano yake).
Nampenda Sana mchumba wangu ila nikifikiria kuhusu faragha napata wasiwasi kuingia nae kwenye ndoa.

Wenye uzoefu na maswala ya ndoa mnishauri kijana wenu.

N:B hajapita kwa ngariba( clit ipo).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom