Rafiki wa kike (Mwanamke) anayejielewa

fleet admiral

Member
Sep 24, 2021
7
11
Hello.

Natafuta rafiki wa kike (Mwanamke) wa kubadilishana naye mawazo na sometimes kwenda outings just for fun and enjoyment and so forth.

Awe ni mtu anayejiheshimu, muelewa, sio tegemezi na anahitaji rafiki wa kiume muelewa na mstaarabu kama nilivyo.

Umri asizidi miaka 45 na akiwa Dar itapendeza zaidi,

Mm nipo kwenye late 30s.. sio tegemezi na sipendi dramas.

That's all
 
Mbona unaonekana mkali Sana .nimeogopa kuja
 
Aisee unanikumbusha mbali sana wakati huo nina mshkaji wangu wa kike tulikuwa tunakula bata kwa sana. Yaani tunasafiri mikoa yote kwa gari bia clubs kwa sana tu maisha na age zikisogea maisha hubadilika kwakweli tumetoka mbali tukiwa na miaka 17 mpaka mwaka juzi imekuwa mwisho wetu. Ila nafasi yako kaichukuwa wife kwa sasa wala sijutii kwakweli ila memories huja mara moja moja tu. Yap

Lunatic
 
Alikua mshkaji tu ama ndiyo friends with benefits mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom