Kauli za ''Rais Mwanamke''na Ubaguzi wa kijinsia

Yule mama hana mvuto wowote wa kisiasa kwa sasa, bahati mbaya hajui siasa, hana platform imara ya kusimamia siasa, hivyo njia nyepesi kwake kaona ni kukimbilia kwenye kichaka cha kijinsia, anasahau kuwa hicho ni kichaka cha nyasi kavu ndani ya msitu unaotunzwa na wanaume ambao wakiamua kukisambaratisha hutumia njiti moja tu ya kiberiti.

Ngoja waanze kumwachia moto ili akili zimkae.
 
Back
Top Bottom