mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo na mwenye mafanikio Afrika Mashariki na Kati

    Anaitwa Huddah Monroe! Amezaliwa mwaka 1995 october 10 huko Kenya. Elimu yake ni form 4 au high school kwa huko kenya. Amejizolea umaarafu kutokana na majarida ya ulaya na marekani kumtaja kama mwanamke mrembo zaidi kuwahi kutokea kwa africa mashariki na kati, ambapo inaaminika afrika mashariki...
  2. JamiiForums Tanzania Kifomula; Roho ya Mungu humshukia Mwanaume wakati Roho za kishetani humshukia Mwanamke. (Siri kuu)

    KIFOMULA; ROHO YA MUNGU HUMSHUKIA MWANAUME WAKATI ROHO ZA KISHETANI HUMSHUKIA MWANAMKE. Anaandika Robert Heriel. Hatuandiki kumkashifu yeyote Ila tunaandika kufundisha na kuleta Uelewa wa mambo katika ulimwengu wa kiroho na elimu ya kimwili. Katika Dunia hii zipo pande mbili zinazolingana...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke peke yake hawezi kumkuza mtoto wa kiume kuwa mwanaume

    PAKA JIKE HAWEZI KUKUZA SIMBA DUME Mwanamke pekee hawezi kumkuza mtoto wake wa kiume kwenye kizazi hiki kipya, hii haijalishi mwanamke kaelimik kiasi gani, cheo, pesa, n.k. itakuwa ni ngumu sana, ponea ya mtoto labda awe na wajomba, ndugu wa kiume, n.k wenye muda nae, pia watoto wengine...
  4. JamiiForums Tanzania Shanga zinasaidia nini akivaa mwanamke?

    Salama wakuu. Naleta Uzi huu kwenu mnipe ushauri napata shida kufikiri Sana kwamba shanga zinaongeza mahaba kwa mwanamke kivipi? Au zimewekewa ashiki kuwa mwanaume akiziona dushe linatuna na mahaba kedekede siyo mzoefu na kifupi sijawahi kula mwanamke wa shanga. Na shinikizo linakuja kwa watu...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu mwanamke huyu kwenye mzunguko wa hedhi, siku zake za hatari ni zipi?

    Hedhi anakaa siku 3 hadi 4, Mara nyingi kwenye siku anaingia kati ya tarehe 26, 27 na 28 kila mwezi. Je, kwenye mzunguko huu hapana tatizo?, je mzunguko huu ni wa siku ngapi? Je, kwenye mzunguko huu siku zake za hatari ni zipi?
  6. S

    JamiiForums Tanzania 2025 Rais Mwanamke, Spika Mwanamke, na Jaji Mkuu mwanamke?

    Ishara zinaonesha kuwa soon mihimili yote mitatu inaweza kuwa chini ya akina mama hodari, kwa sasa wawili washapatikana, watatu atakuwa nani? Namaanisha hii judiciary wingi mbona kama wako rigid and mascular sana, nao si watuletee mwana mama? ili tukamilishe utatu? mzee wa trend reading...
  7. JamiiForums Tanzania Usimuonee huruma Mwanamke

    Kwa mkono wa Robert Heriel. Wangestahili huruma lakini si sasa. Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi. Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa zama zile sio zama hizi. Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke Mwingine auwawa Arusha. Akutwa amepigwa kitu chenye ncha kali.

    Mwanamke Mmoja mkazi wa Njiro mkoani Arusha amekutwa amefariki baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali. Alikiwa akifahamika kwa jina Jenerose Dewasi. unfurl="true"]Mwanamke mwingine akutwa amekufa Arusha[/URL]
  9. JamiiForums Tanzania Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

    Ndugu zangu salam sana, nina mwanamke niliyemuoa takriban mwaka sasa. Shida imejitokeza, tangu nimuoe hataki tufanye tendo nyakati za mchana, atatoa kisingizio chochote cha kuumwa ili mradi asiliwe mchana. Ikifika usiku pia hataki mwanga wa taa yeyote tunapofanya tendo. Ninashindwa kumuelewa...
  10. JamiiForums Tanzania Japo Hakuna Kazi za Kike na za Kiume, Lakini Utangazaji Mpira Redioni, Ni Mwanamke Mmoja Tu Tanzania, Halima Mchuka.

    Wanabodi Kuna huu msemo, "Everything a man can do, a woman can do", kumaanisha hakuna kazi za kike na za kiume, kila kazi inayofanywa na mwanaume, inaweza kufanywa na mwanamke. Moja ya kazi rahisi sana ni kazi ya utangazaji, ila inahitaji kipaji. lakini kwa upande wa utangazaji wa mpira wa...
  11. JamiiForums Tanzania Boxing Day 2021: Kumbe Mwanamke akishalewa, usaliti ni nje nje!

    Ya Christmas: MWANAMKE Akilewa NI HATARI SANA KWENYE MAHUSIANO. Heri ya klisi-masi mabibi na mabwana[emoji4] Klisimasi ilikua na hekaheka nyingi Sana hasa hasa sisi wapenzi wa kuhama kiwanja hiki na kuhamia kiwanja kile. Jana ilkua sikU ya boxing day, Kama kawaida kujirusha hapa na pale...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki Sifa:awe mwanamke, umri 18-99 Awe muislamu Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe mweupe, awe mnene au mwembamba kiasu Asiwe mrefu wala. Mfupi Kabila: Lolote Awe mwajiriwa WASIFU WANGU Sio mnene sana wala mwembamba sana Sio mrefu sana wala mfupi sana Sio...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi

    Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi. tujitahidi
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiri watafanya mzaha na CCM kwa kuwa mwenyekiti ni mwanamke wajiandae kisaikolojia, kadhamiria kuchoma vichaka majoka yasijifiche

    Nyoka kikawaida ni muoga sana, anatumia mbinu rahisi sana kujilinda yaani kukimbilia kichakani, akiamini kwamba yupo sehemu salama na akifuatwa na adui atatumia werevu wake kumshambulia adui. Katika mchakato wa kuua nyoka kichakani muuaji pia anatakiwa mbinu ya kuchoka kichaka ili hata wadudu...
  15. JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke kwa miaka 2 bila kujua ni mke wa mtu

    Moderator please DELETE huu Uzi.
  16. JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke wa namna hii

    Habari! Usioe mwanamke wa namna hii; 1. Anayevaa mawigi 2. Anayeweka kucha za bandia 3. Anayeweka kope za bandia 4. Anayevaa shanga kiunoni 5. Ana smart phone na hana kazi 6. Ana ghetto na hana kazi au ana ghetto na anaishi karibu na wazazi. 7. Aliyekuambia mfanye siri mlipoanza mapenzi. 8...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu kusikia Mwanamke akisema “Mume wangu“?

    Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, ni kawaida sana kwa Mwanaume kusema Mke wangu hivi na vile, au hata kutambulisha huyu ni Mke wangu lkn kinyume chake ni nadra sana kusikia Mwanamke akisema Mume wangu hivi na vile au labda akitambulisha huyu ni Mume wangu, wengi akienda mbali sana...
  18. JamiiForums Tanzania Uliwezaje kudili na mwanamke aliyekuweka 'pending'?

    Wanaume uwa tunakutana na aina hii ya wanawake. Unamtongoza lakini asemi Hapana wala asemi Ndio. Mnawasiliana vizuri pengine unaweza dhani soon unakula tunda. Lakini upewi chochote. Sometimes unaamua kumpotezea ila yeye bado anatengeneza mazingira mawasiliano yasife. Kuna wengine anakua...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke akiingia peponi, wanaume wote hatuna dhambi

    Nimejaribu kuwaza sana mpaka nimefikia kusema hivyo bhasi nina uthibitisho kuhusiana nahili Mwanamke vs mwaume Tuanze na MAUMBILE Mwanamke Kaumbwa na viungo vyote lakini hajaridhika, kapewa kope anaona hazitoshi kaamua kuongeza za kwake za bandia aonekane mzuri, kapewa nywele asilia na za...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kushea nae mume

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…