Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,409
- 8,908
Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, ni kawaida sana kwa Mwanaume kusema Mke wangu hivi na vile, au hata kutambulisha huyu ni Mke wangu lkn kinyume chake ni nadra sana kusikia Mwanamke akisema Mume wangu hivi na vile au labda akitambulisha huyu ni Mume wangu, wengi akienda mbali sana atasema baba fulani akimaanisha mume wake sasa ni kwa nini?
Je ni culture yetu au Wanawake hawajiamini kiasi cha kuweza kutamka hilo neno“ Mume“ mbele ya Mume wake?
Je ni culture yetu au Wanawake hawajiamini kiasi cha kuweza kutamka hilo neno“ Mume“ mbele ya Mume wake?