mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 331
- 707
Wanaume uwa tunakutana na aina hii ya wanawake.
Unamtongoza lakini asemi Hapana wala asemi Ndio. Mnawasiliana vizuri pengine unaweza dhani soon unakula tunda. Lakini upewi chochote. Sometimes unaamua kumpotezea ila yeye bado anatengeneza mazingira mawasiliano yasife.
Kuna wengine anakua anaomba hela ila mwingine hataki chochote toka kwako. Ukimuita baby wala haimsumbui ila mzigo hatoi.
Wanawake wa hivi mnadili nao vipi?