Huyu mwanamke kanikosa na njaa zake

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,856
Nimekutana nae kwenye gari natoka mikoa ya kaskazini mwa nchi hii, nimepanda Basi nimekuta kwenye siti kakaa peke yake kaweka begi lake alivyoniona kalitoa tukaa wote nikampa salaam akaitikia kidharau nikasema powa nami nikawa bize na simu zangu.

Tumefika Korogwe Basi ikacmama kuchimba dawa ndo demu akashuka kumcheki vzr amejaaliwa nyuma na ndo ugonjwa wangu alivorudi bado nikaendelea kuwa bize na simu zangu sijamwongelesha.

Pembeni yangu kuna jamaa wakaanzisha story za mpira na siasa tukaanze kula stori ubishi Safari ikawa tamu gafla.

Tumefika msata ndo demu ananiuliza unashuka wapi nikamwambia na yeye akanambia ikibidi tuanze kufahamina kiasi tukapeana namba tukafika mwisho wa Safari yetu.

Asubuhi nikamcheki umeamkaje kaanza oooh njaa sijala nikamrushia cha ten km baada ya siku mbili tena analia njaa nikatoa twenty, juzi cku ya uhuru asubuhi kaamka ana shida ya15 haraka sana nikatuma imefika mchana kanichek Niko wapi nikamwambia Bunju akanambia anatak kuniona nikamjibu njoo demu kaja kavaa kimitego nika kaa naye bar kidogo nikamwambie twende chumbani kajifanya kukataa kataa lkn mwisho kakubali huyo tukaelekea chumbani tukafany yetu, tumemaliza nikampa 10 nauli akasepa.

Cha ajabu alivofika kwake kanitumia text eti yaan umenigaragaza ivo unanipa 10tu hata sabuni ya kufulia chupi na kuogea haitoshi nikauliza kwani tulikua tunauziana na je hizo nilizokua nakutumia uko juzi nilikua napata nini eti nisamehe nimeamua kuachana nae tangu juzi linatuma sms na kupiga silijibu Mimi. Limenikosa halinipati teeena shenzi saana.
 
Hizo ndo mbishe zangu naweza nikakutumia hela hata mara nne kabla sijala mbususu siku nikiamka hovyo nafuta namba utajitumisha sms wala sisomi ni mwendo wa kudelete tu

Pesa yangu umekula
Mbususu yako sijala
Na maumivu wayapata
Sijui nini cha kuuma
Ah kisa mfereji umekata
 
Hizo ndo mbishe zangu naweza nikakutumia hela hata mara nne kabla sijala mbususu siku nikiamka hovyo nafuta namba utajitumisha sms wala sisomi ni mwendo wa kudelete tu

Pesa yangu umekula
Mbususu yako sijala
Na maumivu wayapata
Sijui nini cha kuuma
Ah kisa mfereji umekata
Hahahaaaaa haka ka mbinu katamu! Ten kitu gani bana!


Huwa wanaumia sn wadada ukimfanyia hivi
 
Mimi pesa yangu utakula baada ya kula mbususu hii mizinga mingine sijui sina vocha nakwambia mi si ndiyo nakupigia huwa najua vizuri sana kuipanchi ila ule mzinga wa nauli kutaka kuja geto ni dk 2 nimesha tuma.huwa ina niuma sana demu ale ela yangu na mbususu sijala ina nikata sana.
 
Em mtumie 50k tena uskie anasemaje. Maisha kusaidiana mkuu njaa mbaya hata ww ikikupata utatii na kulegea akili!
FB_IMG_16392841792402501.jpg
 
Back
Top Bottom