Kuna vitu si vya kukabidhi Mwanamke

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
4,138
10,538
Hello wanaume wenzangu kokote mliko. Nawaasa sana kokote mliko

Kama una familia ama hauna unaweza kuwa nayo after some time Kuna vitu katika haya maisha si vya kuweka katika miliki ya mwanamke. Utakuja kulia vibaya sana ama kujiua kama mstaafu wa Polisi kule Moshi

Naorodhesha vichache!
  • Hati zote Muhimu
  • Hati ya nyumba
  • Hati ya kiwanja
  • Gari nk.
Mali yoyote utakayonunua weka jina lako. Mwanamke hata akiishi na wewe miaka 40 mkazaa mkalea mkapata wajukuu, never trust her! Mwenyezi Mungu aliposema tuishi nao kwa Akili, yawezekana kuna Jambo lilimkuta zito sana😅😅 akaamua kutupa alert.

Naishia hapa

1643279971389.png

 
Kuishi nao kwa akili Haimaanisha akili hizo ulizo zisemea wewe. Alimanisha akili za kuwatawala na kuwaongoza.

Kuficha hati sio solution maana ata ww mwanaume unaweza zitumia vibaya na kuleta majanga kwenye familia yako.

NB: Sijasema muwape hati
 
Suluhisho la kweli na la kudumu ni kuhakikisha huna nyumba, kiwanja, gari wala kadi za benki in fact hata nguo nunua kanzu ili ukifa arithi apeleke kwa fundi yawe magauni.
 
Back
Top Bottom